Search results

  1. samirnasri

    Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Viwango vya elimu gani unazungumzia shule imeingia top ten kitaifa Mara moja tu Tena wakati huo ikiwa imesajili shule mbili ndani ya eneo moja. Walioingia top ten walikuwa wanafunzi wenye uwezo wa juu ambao walikuwa 42 tu
  2. samirnasri

    Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Hilo la kumuhamisha halina mjadala nimeshaipata shule mbadala ila hapaswi kuendelea na upuuzi huu. Uniform zenyewe anauza garama ajabu.
  3. samirnasri

    Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  4. samirnasri

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    hivi kwa mtazamo wako unaona kuna uchaguzi siku hizi
  5. samirnasri

    Kwa matokeo haya, uongozi mzima wa CHADEMA unapaswa kujitathmini na kuachia madaraka

    duh bado tuna safari ndefu sana watanzania
  6. samirnasri

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Aliyekwambia hawana imani ni nani?
  7. samirnasri

    Kauli hii ya Rais ndiyo matokeo ya chaguzi hizi za hovyo

    weka video kuthibitisha kwambaalisema hayo maneno vingenevyo yatahesabika kama ni uzushi tu
  8. samirnasri

    Misungwi, Mwanza: Aenda jela miezi 6 kwa kosa la kumdhihaki Rais Magufuli

    inawezekana hakupata wakili wa kumtetea ushndi ulikuwa nnjennje
  9. samirnasri

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    hata kama dr slaa angeendelea kuwepo kwa mbinu hizi zinazotumika mambo yangekuwa yaleyale
  10. samirnasri

    Waliohamia CCM hiki ndicho kitawapata!

    Watapata tabu sana wameamua kuacha mbachao kwa msaala upitao
  11. samirnasri

    Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    kama hakuongelea kuhusu vyeti vyake basi ni kweli atakuwa alitumia vyeti vya mtu
  12. samirnasri

    Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Kwa taarifa tu kabla ata ya mpango wa magu wa serikali kuhamia Dodoma kila waziri na naibu waziri alikuwa na Nyumba Dodoma. Pili, kwa mujibu wa standing order professor anastahili kupewa nyumba. Hivyo taarifa hizi mzipuuze hazina ukweli wowote. Ukweli ni kwamba baadhi wa wahadhiri waliokuwa...
  13. samirnasri

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    ni haki yao ya kikatiba kujiunga na chama chochote wanachokitaka
  14. samirnasri

    Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    Hivi ukiwachukua lipumba na Slaa upande mmoja halafu ukiwachukua ray na aunt upande mwingine ni watu gani wenye ushawishi kisiasa. Kama wameondoka Slaa na lipumba itakuja kuwa ray na aunt!!!!. Kwa kifupi hao wasanii hawana ushawishi wowote
  15. samirnasri

    Wana CCM shangilieni kwa raha zenu, ushindi tayari Kwani Kaka kuona leo ametabiri Rais ajaye!

    Umesema kakakuona aligoma kabisa kwenda kwenye picha ya lowassa na ulipomlazimisha akakung'ata. Sasa imekuwaje tena kakakuona huyo akaichana picha ya lowassa bila kuifuata? Kajipange upya binti.
Back
Top Bottom