Search results

  1. lynch

    MSAADA: Connection la chimbo la saa za smart wanao uza Jumla jumla

    Habari za asubuhi: Moja kwa moja kwenye maada,Naomba connection au chimbo la saa za smart(Smart watches) kwa bei ya jumla jumla tufanye kazi. Jamii forum ni kubwa na inatukutanisha na watu mbali mbali wenye utashi na weledi mbali mbali,Naamin siwezi toka kapa kwenye hili.Natanguliza shukran na...
  2. lynch

    Msaada: Nahitaji kuagiza mzigo kupitia Alibaba au Ali Express

    Habari za asbh ndugu zangu, Moja kwa moja kwenye Mada, Kutokana na changamoto ya ajira nimeamua kujichanganya na nianzishe biashara ya yangu mwenyewe ya kuagiza mzigo kutoka alibaba au aliexpress then ntakuwa nausukuma mtaani. Changamoto ninayokutana nayo,nashindwa jinsi ya kuagiza hiyo...
  3. lynch

    Saikolojia ya wanawake juu ya rangi kwenye mahusiano Ikoje?

    Habari za mihangaiko ndugu zangu,Poleni na pilika pilika za hapa na pale.Na mimi leo nimejitokeza kwa mara nyingine kuomba utashi wenu juu ya hili linalonitatiza kuhusu uelewa wa hawa dada zetu kupenda mwanaume alie na rangi nyeusi na kutamani kuzaa watoto walio na rangi nyeupe. Mama au...
  4. lynch

    Msaada kuhusu kozi ya Logistics

    MTU anapokuambia anasomea Logistics anakuwa ana manisha nn,na ni masomo yapi anakuwa amechukua tangu akiwa A-Level.mana mwenye ujuz na utash juu ya hili anisaidie kudadavua
  5. lynch

    Ukigundua girlfriend anachepuka, huwa mnasuluhisha vipi hizi kesi?

    Habar za mida wana MMU...nimekuwa msomaj mzur wa thread za watu humu na kutoa support ya ku comment nyuz zao.ss na mm yamenikuta nisiyoyatarajia Kwa mfano ukagundua girL wako ana chepuka na njemba nyingine huwa mna soLve vp hiz ishu maana nahs najikuta nakosa jib sahihi kwa bishost@nawaza...
Back
Top Bottom