Search results

  1. K

    Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

    MNAOWAPA SADAKA MAASKOFU WA AINA HII MNATANGAZA INJILI YA SHETANI
  2. K

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar: Masauni amelewa Pombe gani?

    Nimesoma maoni ya wengi nimegundua kizazi hiki hakiwezi kusoma vitabu. Ni tatizo la kizazi cha cha fasta fasta
  3. K

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Anthony Komu, Kubenea na yatarajiwayo

    Wafukuzeni ili muendelee kuifurahisha CCM kwa manufaa na ustawi wa CCM. Viginevyo uongozi wowote wa upinzani wenye hekima hata kidogo tu hauwezi kufukuza mwanachama katika kipindi hiki kigumu kwao. Yatakuwa maamuzi yenye kushinikizwa na CCM na naaza kuamini Chadema itakuwa imeanza kukubali...
  4. K

    Lissu nakushauri usitoe matamko mpaka upone kabisa

    JF endeleeni kutetea uhuru wa kujieleza wakuu, ndiyo maana tunaona hata waliotindikiwa akili kama huyu aliyeanzisha uzi huu naye akipata fursa ya kujieleza nawapongeza sana Mungu atawalipa
  5. K

    Ya Argentina yanatimia kwa TISS?

    Acha ujinga jina tu haliwezi kuwa hoja unaijua mother tongue yake? jibu hoja si blahblah za majina
  6. K

    Wagombea 17 wajitokeza kuwania Jimbo la Nyalandu Singida Kaskazini

    Siwaoni hao 17 labda nitajieni
  7. K

    Tuacheni uongo, kwa mtaji huu upinzani wajikite kwenye ubunge

    Watanzania bana akijua vineno viwili vya kizungu anakuja jf na u great thinker et nacheka hadi najinyea
  8. K

    Peter Msigwa: Rais kuwaandikia barua Wakuu wa Mikoa kwenye majanga sio sahihi

    Tatizo watanzania wengi wana vyeti fake uelewa fake hivi hawaelewi nini? Mkuu wa mkoa ni mwakilishi wa rais kwenye MKOA siyo muwakilishi wa wananchi mkoani, sasa logic ya kawaida kama kweli rais yuko bize anataka awape pole wananchi wafiwa kwa nini asiwakilishe salamu hizo kwa wananchi wenyewe...
  9. K

    Pole sana ndugu yangu mh. Godbless Lema, nina ujumbe wako nakupatia leo

    Kuna watu waliota ndoto za kishetani kuwa Lowasa atakufa muda wowote nashangaa hawako gerezani na Lema!
  10. K

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Ndiyo wakome mtu utafanyaje biashara na chama cha siasa badala ya serikali? Chama kinakusanya kodi?
  11. K

    Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

    Posho kubwa ni ngapi? Au ujinga ujinga tu
  12. K

    Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

    Ama kweli wahenga walisema ujinga haupunguzi ukubwa wa kichwa kichwa cha mtu! Kingekutambulisha
  13. K

    Kwa uchunguzi huu ni dhahiri CUF imepata hasara kuliko faida ndani ya UKAWA

    T Sidhani kama kuna mbumbumbu ndani ya jamii forums asiyejua kuwa kura za urais huwa hazichangii ruzuku ya Chama, kura zinazochangia ni za ubunge tu, sidhani kama Kuna mwenye takwimu za mchango wa kura za urais kwenye ruzuku za vyama aweke wazi. Kukurupuka kusema ni ujuha. CUF kimepata wabunge...
  14. K

    Bunge la EAC laidhinisha Kiswahili kuwa lugha rasmi

    Kama mnataka watoto wenu wawe watumwa wang'ang'anizeni kiswahili chenu hicho, maana mpaka sasa descent employment kutoka makampuni ya ndani na ya nje ni kwa watoto waliosoma shule za kingereza au nje ya nchi
  15. K

    Mwenyekiti UVCCM Rombo aliyetuhumiwa kuwa na Uhusiano na Ben Saanane aongea na waandishi wa Habari

    Duh kuna mtu kasema huyu na kina Zitto na Mnyika wanawake watawaua
  16. K

    Mwenyekiti UVCCM Rombo aliyetuhumiwa kuwa na Uhusiano na Ben Saanane aongea na waandishi wa Habari

    Dah au huyo Katibu Mwenezi alitoswa? Ila Ben nae apunguze kuwa womaniser. Kuna mdau kasema huyu dogo na akina Zitto Wanawake ndio watakaowamaliza
  17. K

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Mtwara ni ujerumani duh maccm anawapa shida huyu mzee, mtaomba sana mwisho wa yote nyie ndo yatawapata, hamwezi kukufuru kiasi hicho halafu mungu awe nanyi
  18. K

    Huyu Mwanasiasa Kijana wa Makao Makuu CHADEMA aliyetajwa kwenye tamko la CCM ni nani?

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUJIUZULU KWA MWENYEKITI WA VIJANA BEATRICE CONDRAD SHIRIMA 06/09/2015 Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo kinasikitishwa na taarifa zisizo za ukweli zilizotolewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa umoja wa vijana Rombo Beatrice Shirima kuwa amechukua hatua...
  19. K

    Wafanyakazi wa gazeti la Uhuru wagoma

    Miezi mitano bila kulipwa mshahara kwa watumishi wa vyombo vya habari ni kawaida yao maana majuzi tu nilikuwa naongea na na mtumishi mmoja wa sahara media group(wamiliki wa startv na RFA) anasema nao hawajalipwa mishahara miezi minne na muda wowote watagoma mtashangaa kuoma muziki tu ukipigwa...
Back
Top Bottom