Search results

  1. T

    CHADEMA Pwani

    watu wa pwani elimu ndogo wanachukua muda mrefu kutafakari jambo ndio aana nyerere alitoka bara kaamia dar 1953 akachukua uhuru mikononi mwao
  2. T

    shemeji na wifi

    kuna jamaa aliwahi kumkandamiza bibi yake alipobanwa akasema analipa kisasi kwa dingi yake kwa nini anamkandamiza mama yake na yeye anamkandamizia mama yake(bibi)
  3. T

    Ni lini Kikwete atatulia Nchini?

    safari zingine haziepukiki kwani anaudhuria mkutano muhimu pia kuna world economic forum hawezi kukosa hiyo ni muhimu pia hata nyerere alikuwa anasafiri kama kuna umuhimu
  4. T

    How will you remember JK.......comfortable overseas..but locally..........Mmmmmmmh

    tatizo lugha nina wasiwasi na kiinglish chake
  5. T

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    kiswahili fasaha ni waziri mkuu wa zamani period,mambo ya mstaafu ,sijui aliyejiuzuru ni kupoteza nguvu na muda,mbona sokoine haitwi waziri mkuu aliyekufa?
  6. T

    Hebu tujikumbushe hizi movie na majumba ya cinema

    usisahau hata nyimbo za michael jackson kama thriler nazo zilitamba sana huku kama movie tu,wapi james bond 007
  7. T

    CV ya Mkulu wa Bangoi (JK)

    kama ni cv anayao dk salim ahmed salim wengine wote wanatuzingua tu
  8. T

    Kamati Kuu CCM moto, baridi leo!

    alafu kuna hii kitu huwaga najiuliza how come kamati kuu ya ccm ikutane ikulu badala ya lumumba
  9. T

    Masoud Kipanya - Mpiganaji

    ni kweli jamaa ni darasa la saba pale kijitonyama primary school LY 88 ila ile katuni ukiitafsiri kwa jicho la tatu ni kwamba polisi wanavyozidi kuua raia ndio wanawapa umaarufu cdm,au nyie mnaonaje
  10. T

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    walitaka kuhujumu mdahalo wa nkrumah wakaweka mkutano wao diamond jubilee kesho yake habari zao zikaandikwa na magazeti machache kwa ufipi hazikuwa coverage yakutosha hii ilinifurahisha sana kwa sababu watanzania wako tayari kusikia mambo ya maana ya wanazuoni wa kiislamu kama shivji na...
  11. T

    Kitila Mkumbo na Issa Shivji

    siungi mkono hoja kwa nini kupoteza muda na hela hizo bilioni ulizotaja itakuwa dowans nyingine kama sio kagoda kengine,kama ulifuatilia mjadala wa jmosi pale nkrumah kuna mchangiaji mmoja alisema serikali sio sikivu tutaandaa semina, warsha ,kongamano ,kigoda,mikutano,mbongi nk lakini hiyo yote...
  12. T

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    chuo cha kiislamu morogoro nacho msikisahau
  13. T

    shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall

    Muda ni saa nne kamili asubuhi wadau wa katiba wote wameshaalikwa AG,na waziri wa sheria na katiba
  14. T

    shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall

    kesho jumamosi professa Issa Shivji na Jenerali Ulimwengu watakuwa na kongamano endelevu juu ya katiba mpya katika ukumbi wa nkurumah chuo kikuu kuanzia saa nne wote mnakaribishwa hata kama sio wana jamii ya mlimani,natamani hata Dk.Yusuf makamba angekuwepo
  15. T

    Muarobaini unaitwaje kwa lugha ya kibiologia!

    Unaitwa mforty
  16. T

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete nani mkali wa English?

    jamani sisi wengine tumezaliwa enzi za mkapa hatukuwahi kupata bahati ya kusikia hotuba za kiiingereza za mwinyi wala nyerere,ningependa kujua kati ya hao wanne nani ni mkali wa kucheza na lugha namaanisha kiingereza,majina yafuate mtiririko
  17. T

    Dr Slaa: Maggid, Umetuchukia CHADEMA!

    msanii tu huyo kwanza muongo,pili anapenda kujisifia mbona michuzi hajisifii kuhivyo,then mnafiki,anajifanya anajua kuanalise socer kumbe wapi siasa nako hola,fani yake mwalimu wa chekechea
  18. T

    Mtoto wa Mengi kubambikiwa Madawa - VIGOGO POLISI KORTINI

    Mengi naye anatuzingua nindumila kuwili anasapoti CCM huku anapiga vita ufisadi while CCM = Ufisadi
Back
Top Bottom