Search results

  1. nsanzu

    Hili Hapa Ndio Geti Lililojengwa na TANAPA Kuingia Hifadhi ya Nyerere Kwa Shilingi Bilioni 2.

    Mbona habari picha na maelezo ya chini ni vitu viwili tofauti? Huu uchonganishi utaisha lini?
  2. nsanzu

    Wapi pameandikwa hela za mwanamke ni za matumizi ya kwake tu?

    Kaa ukiyafahamu haya Kuna Sheria, Kanuni na Utaratibu. Unatakiwa ufahamu kipi kinatakiwa kikae wapi.
  3. nsanzu

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Hebu tuhamie sirini kama hutojali
  4. nsanzu

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Salama kabisa, habari huko ulipo
  5. nsanzu

    Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Makiwendo popote ulipo, fahamu kabisa huku sina hali. For real
  6. nsanzu

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Sio lazima ukubaliane nayo ila wapenzi wa Mapiano wanaelewa
  7. nsanzu

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    Niwakumbushe tu wapenzi wa Mapiano, mpaka leo hii tuna Mapiano Nne tu! 1. Mang'dakiwe 2. Single Again 3. Kabza de Small ft Dj Mapholisa, Master Piece rmx 4 Zotata ya Pcee
  8. nsanzu

    Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Basi halitakiwi kuwepo, tena ukiwa ni mwanachama wao lazima wajue unamapenzi na nani kwenye hiyo kata yenu na unamkubali mbunge yupi jimboni kwenu. Kwa ufupi kuna upumbavu mwingi mnoo!
  9. nsanzu

    Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Ndugu, Ondoa hilo neno Tetesi, kwani huo ni ukweli ulio dhahiri kwani mimi mwenyewe binafsi nimewahi kufuatilia mkopo huo na kigezo kikuu kilikuwa ni uwe mwanachama tena uwe na kadi ya uanachama. Anaepinga yeyote juu ya hili aje. Ilinibidi nifocus kwenye mambo mengine tu.
  10. nsanzu

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Unataka tukushauri usenge wako? Ulimtaka, mjuba kakuachia bila hata kumtia shurba mwilini wataka nini kingine?
  11. nsanzu

    Hakikisha unaamka kumwangalia mwenza wako kalalaje

    Huna usingizi wewe? Yeye hana akili kwani
  12. nsanzu

    Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

    Mtambaa Panya, kwa niaba yaa
  13. nsanzu

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Nyumbani kwao kulikuwa na hali ngumu mnooo! Akawa amechaguliwa chuo akaenda kibishi sasa namna ya ku sustain maisha ya chuo ilikuwa ni kazi ngumu sanaa! Hiko kipindi sikuwa na shughuli rasmi ila nilijitahidi sana kumsupport upande wa chakula. Nilimsupport sana sababu najua alichokuwa anapitia na...
  14. nsanzu

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    2012. July, 25 Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu...
  15. nsanzu

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Tatizo unakuja huku tayari una majibu yako unatuchosha tu jomba sema, Ungekuwa karibu ningekutia kerub ya karibu na sikio na shingo ili niistue kidogo Medula naona Plug haichomi kabisa. Nilishasema humu, kama imechacha ishachacha tu!
  16. nsanzu

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Hivi huu ujasiri wa kusema ni nchi ndogo mara watu wachache, huwa mnautoa wapi? Ninyi wenye watu wengi patengenezeni basi hata Njombe au Makambako pawe pa kuvutia ili iwe mfano!?
  17. nsanzu

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    Punguza sauti kidogo braza 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣
  18. nsanzu

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Niongeze jambo hapo mkubwa Ukitaka maisha yako yakunyookee, usiogope kuwa strict katika mambo yote ya msingi bila ya kuvunja sheria za nchi. Kamwe! Usitake kusifiwa kwa kuwapendeza watu ili hali unafahamu dhahir kabisa madhara yatakayokutokea baada ya muda fulani. Achana na mambo ya kujifanya...
Back
Top Bottom