Search results

  1. M

    Tsh Milion tatu (3,000,000) tasilimu

    mmmh, hii ndo inaitwa " hijacking " , but its nice hijack
  2. M

    uzalendo umetushinda

    photoshop oyeee
  3. M

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    Tutor B, nakubaliana na wewe you can hold as long as even 10 hours , but remember hiyo siyo vita "MAKING LOVE can be more ENJOYABLE than JUST SEX" , you can do it in a very short time but to the climax of no example, na ki ukweli, ukimwandaa mamaa mapema, in the bed IS THE FINISHING TOUCHES and...
  4. M

    Mke wangu ataniua... Hii siyo haki kabisa!

    nakuunga mkono, uwazi ni mzuri, na wakati unataka kumweleza mwenzako, lazima uweke mazingira mazuri, ya upendo na kumwonyesha unamjali. but further more make sure u "HOLD" it t least for 10 to 15 min, kwani "the man" akiwa well erect you can make her reach the "heavens" na kwa kweli hapo ndo...
  5. M

    chanzo cha foleni maofisini

    inabidi computer ziwe zinawageukia wateja
  6. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    nimeona picha nyingi sana za wanafunzi wanpiga pamoja ka class, hvi siku hizi kuna tabia kama hii, au ndo zile tunaona tu wanapiga mabwenini wamekumbatiana au nusu uchi, good memory for alumni
  7. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    leo hii kila mbunge na shangingi, au na ndege au helikopita, na hii ni juzi tu hapa 1984, UZALENDO, UMEKWENDA WAPI MMMMH JAMANI....
  8. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    haswaaa, na hii picha hapa chini, kwa upande wa kulia ndipo lipo jengo la EXM sasa, halafu hii barabara a hapa karibu, ndo ipo nyuma ya posta mpya........... loh
  9. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    duh , hii kali, hivi walifungwa au walishinda??????????
  10. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    nina wasi wasi kama picha hii imepigwa ENZI HIZO, inawezekana imepigwa siku ya siku ambayo watu ni wachache, check hata mlima kilimajnaro barfu ilivyokwisha, enzi hizo kipara chote cheupe, barafu tupu... mmmmh
  11. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    unaona vazi la taifa...!!!????
  12. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    why not, hii ni historia tu, mwenye nazo weka hapa....
  13. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    that is long time sign for PEACE AND LOVE, chadema wameiga tu....
  14. M

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    ni kweli miji ilikuwa misafi sana, lakini nafikiri uchache wa watu nao ulichangia miji kuwa misafi, manake watu tunapokuwa wengi kila mtu ana akili zake, na tabia kuzi control ni kazi sana, check hapa mtaa mkubwa mtu mmoja tu na ni mchana kweupeeee
  15. M

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    nafikiri kuchoma hayo majengo si kitu,,, kikubwa wakristu muwe na moyo wa subira... Na msamaha, hakuna kulipiza kisasi... Wakusanyikapo wawili au watatu mungu yupo.. Wakristu watasali popote
  16. M

    Tetesi: kanisa la Anglican Zanzibar limechomwa moto

    jamani wekeni habari mkishakuwa na uhakika, namna hii ndo mnawapa mawazo watu kitu gani cha kufanya. tumwogope Mungu...
  17. M

    Hali ya Hatari Tandika!!

    hata mie imecheka sana, mgalatia !!1 duh
  18. M

    information security law

    Hello JF, does Tanzania have any legislation governing information security, and if person caught breaching network and steal information what are the consequences? is there any cyber law, at large? Regards, mja
  19. M

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    zile helkopta za uchaguzi zipo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mtusaidie sasa, ndo wakati tunapozihitaji sana, mungu tusaidie
Back
Top Bottom