Search results

  1. M

    Kiswahili kuwa lugha rasmi ya mawasiliano UDSM

    Ndo tabia tumejengewa na mkoloni, kujidharau na kuona chako si kitu. Matokeo yake tumekuwa malimbukeni. Kibaya zaidi hata hicho kiingereza hatukijui...ovyo kabisa.
  2. M

    Kiswahili kuwa lugha rasmi ya mawasiliano UDSM

    Juni 16, mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa bungeni alisema Serikali inatarajia kuanza kutumia Kiswahili katika mikutano yote ya kimataifa itakayowakilishwa na viongozi wake baada ya kutuma wataalamu watakaokitafsiri kwa watumiaji wa lugha nyingine duniani. Katika kuunga mkono juhudi...
  3. M

    Rais Magufuli aamua hotuba zake zote ziwe kwa Kiswahili

    Rais John Pombe Magufuli Amesema hotuba aliyotoa Nchini Rwanda Kwa Kiingereza ndo itakuwa hotuba yake ya Mwisho kuhutubia kwa kutumia Lugha Hiyo. Hotuba zote zitakazofuata zitakuwa kwa Lugha ya Kiswahili. Bravo Bravo Magufuli. Jivunie Lugha Yako! Msikilize Kwenye Audio.
  4. M

    Consultancy Opportunity: EXPRESSION OF INTEREST FOR PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES OF PROVIDING D

    Hi, Mi siko Taasisi hiyo. Wakiona wenyewe watakujibu...Aksante.
  5. M

    Consultancy Opportunity: EXPRESSION OF INTEREST FOR PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES OF PROVIDING D

    Please see forwarded message below...Kwa wenye uzoefu... REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST FOR PROVISION OF CONSULTANCY SERVICES OF PROVIDING DEMAND DRIVEN TRAININGS SERVICES Introduction Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) in collaboration with Financial Sector Deepening Trust...
  6. M

    ITV huu sasa ni upendeleo wa wazi wazi kwenye habari zenu

    Taarifa za Habari ITV title zake ziko very biased...utasikia mgombea wa ukawa apata mapokezi makubwa wakati habari inayofata ya Magufuli hawasemi amepata mapokezi makubwa ingawa unakuta uwanja umefurika. Sijui TCRA wamelala.
  7. M

    tofaut kat ya biashara na siasa zielewke startv

    Hata Taarifa za Habari ITV title zake ziko very biased...utasikia mgombea wa ukawa apata mapokezi makubwa wakati habari inayofata ya Magufuli hawasemi amepata mapokezi makubwa ingawa unakuta uwanja umefurika. Sijui TCRA wamelala.
  8. M

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Yeah nimeona. Hata Channel Ten ukiangalia wanaposoma habari yao SAA moja ni same trend. TCRA wafanye kazi yao. Watatuharibia nchi hawa majamaa. Wanataka kuaminisha watu in a very biased way.
  9. M

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Taarifa za Habari ITV title zake ziko very biased...utasikia mgombea wa ukawa apata mapokezi makubwa wakati habari inayofata ya Magufuli hawasemi amepata mapokezi makubwa ingawa unakuta uwanja umefurika. TCRA wawachunguze na ITV.
  10. M

    Looking for content specialist

    Nimetumiwa hii kazi kwenye email. Wenye ujuzi wao wachangamkie...TOR attached. ' Interested individuals are invited to apply for the above mentioned vacancy. All candidates should submit a cover letter, latest CV and copies of their qualification to Executive Director, Tanzania Private...
  11. M

    Looking for communication and marketing specialist

    Nimetumiwa hii kazi kwenye email. Wenye ujuzi wao wachangamkie...TOR attached. ' Interested individuals are invited to apply for the above mentioned vacancy. All candidates should submit a cover letter, latest CV and copies of their qualification to Executive Director, Tanzania Private Sector...
  12. M

    Mining concession fees hike; is the timing right?

    Found this article somewhere....it might be worth reading and commenting.. Mining concession fees hike; is the timing right? Those in the mining and exploration sectors are deeply concerned about recent changes implemented by the Ministry of Energy and Mining (MEM). As expected, these changes...
  13. M

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Hii ni kumbukumbu nzito sana. Wakati huo 1996, nilikuwa nasoma darasa la saba Nyamagana primary school na nilikuwa nasoma darasa moja na Haji Rume, Mtoto wa captain wa meli hiyo. Alikuja mwalimu mkuu, Mr. Paskal na kwa sauti akaita...Haji, Kuja hapa Baba!!....na kumpa taarifa ya ajali. Darasa...
  14. M

    Job opportunities at UNDP

    A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer / Senior Regional Advisor -East Africa, based in Seattle, has told me that they have failed to find qualified Tanzanians to...
  15. M

    Niliyoyaona ubalozi wa Tz UAE yamenishangaza

    Nadhani ni kawaida kwa balozi kuajiri watu wengine. Mfano, hebu nenda ubalozi wa finland au sweden au canada, utakuta masecretary ni watanzania. Labda point ya msingi ni kuwa huyo secretary anatakiwa aweze kuongea lugha ya watu wa hapo...maana dhana ni kuhudumia wazawa ambao wakati mwingine...
  16. M

    Ni wanawake tu

    Tupe moyo baba !!
  17. M

    Ni wanawake tu

    (Kiswahili cha jirani...uelewe tu...) Wanawake to ndio wenye... 1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!! Tuhurumie Baba 2. Ako na furushi la nguo kwa nyumba lakini hanaga kitu ya kuvaa mkienda mahali!! Tuonekanie Baba 3. Anakasirika...
  18. M

    AIDS is a hoax! Biologist Christl Meyer explodes the HIV-AIDS conspiracy

    The one who knows nothing, has to believe everything.
  19. M

    AIDS is a hoax! Biologist Christl Meyer explodes the HIV-AIDS conspiracy

    The more I watch these videos, the more I get a really picture!!. These videos claim that HIV was engineered by American companies and injected to Africa's and African-American by means of vaccination spearhead by WHO. 'You test positive after vaccination. Another one claim that because...
  20. M

    Serengeti- Reccomended Among the 10 places to visit before you die

    Umenena kweli kabisa. Kuna nchi ukienda sehemu wanazoita national park unabaki mdomo wazi....unakuta ni vi pori tu kama mabwepande. Nadhani tutaamka siku wanyama wote watakapoisha kwa kuwindwa na wakubwa :)
Back
Top Bottom