Search results

  1. C

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Kama ni kweli Boss uhamiaji alipigwa risasi hivi karibuni na polisi hapo mwanza IGP anakazi inaelekea iko kitu...... au laana ya mwangosi?????
  2. C

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Pinda yuko Sawa Tena hatakiwi kutetereka
  3. C

    Mkullo kamdesa Kikwete?

    No hivyo ndivyo ilivyotakiwa sio kila mtu aje na lwake mwanakijiji vipi weye
  4. C

    Mkapa Complex

    Jamani kuna hili la uwanja mpya kuhangaikiwa kupewa jina kwa nini asipewe Brother Beni ambaye ndie tunaweza kusema alihakikisha unajengwa? na shangazwa na TFF kwa kutomualika hata katika mechi ya kwanza kuchezwa pale na hakuna kiomgozi yeyote anayestahili kubeba jina la uwanja ule...
  5. C

    RICHA PWAAAAAAAAA-----Miss World atoka China

    Pipikali Unaundugu na Lundenga????? mwanakijiji nijuze kosa la Rica ni Kuhonga na Kupewa taji akijua haendo popote labda ni ule Mkoko ( Kagari) waulizeni washiriki wenzake na Kosa la Lundenga ni kuwa hajui kuandaa mashindano ya Urembo bali maonyesho ya Biashara kwani Miss Tanzania 2007 ilikuwa...
  6. C

    Miaka 15 Ijayo; Usishangae ............

    Unajua unatakiwa kujiuliza inakuwaje issue kubwa ama hii alafu kichwa cha State kimetulia kunani wazee wa Forum tujuzane kulikoni?????????
  7. C

    East African Federation (EAF) public Views

    Jamani hili jambo mimi linaniingia kivingine kama aqlivyosema Junior kuna sehemu namuunga mkono na kwengine sikubaliani nae.. Kwa ujumla mimi silikubali Shirikishi hili hasa kwa maslahi wa watanzania wote wa mijini na vijijini kwani hata wenye nchi yao (watanzania) hawaelewi chochote juu ya...
  8. C

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    Ndugu hawa wabongo ukiwaambia Wadhamini kujenga uwanja mwingine watasuasua sasa kama watatokea watu kudhamini safari ya madrid its ok ilimradi isiwe hela ya serikali ambayo ni jasho la watanzania maskini pia kumbuka kuwa hawa mabigwa wa ulaya wakija watatoa hamasa kwa wabongo kujali michezo hasa...
  9. C

    ~ Majuto - Ufalme wa Tandu ~ A novel...

    Hongera mtunzi ukumaliza sema nami niteleta bonge la stori
Back
Top Bottom