Search results

  1. K

    Jambo la kujifunza kwa chadema

    Great Thinkers! Someni ujumbe huu muhimu na kujiridhisha kujiandaa kisaikolojia kwa sababu wengi wanachanganya mada. Serikali hata kama Chadema itakuwa madarakani itakutana na ORDERS. Hiki ndicho ambacho CCM imekuwa ikisaidia Tanzania kwa muda wote huu kuweka uwiano. Naomba kuwaalika na...
  2. K

    Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

    ___________________________________________________________________________________________ NO PERFECT RELATIONSHIP IN THIS WORLD, AND FORGIVENESS IS SPECIAL WORD TO FILL THE GAP, WHY NI KWA SABABU KILA MTU ANA MTAZAMO WAKE BUT AT LAST WE MUST UNDERSTAND KAMA UNAPENDA KUHUKUMU THIS IS YOUR...
  3. K

    Tanzania yajinasua kundi la nchi maskini sana duniani

    Ni sawa kwa mtazamao wako wa haraka haraka lakini ni muhimu kujua kwamba Ulaya na Marekani wamewekeza sana Asia kwa ajili ya kufuata "Cheap Labour" na "Cheap Commodity" kwa maana Ulaya na Marekani hawataki kuharibu mazingira nd they want this Asian countries to remain dumping areas this will be...
  4. K

    Siri ya Dr.Slaa na Dr.Ayub Rioba kuwa na msimamo sawa kuhusu Amani

    Radhia Sweety, Kila kitu chema hutoka juu, jambo ambalo lilikuwa linamaanishwa na Mr Ryoba na Dr. Slaa ni zaidi ya maombi, unatakiwa kuitafuta amani kwa bidii sawa na maandiko "Tafuteni kwa Bidii kuwa na AMANI na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna mtu atamwona MUNGU asipokuwa nao" Kwa...
  5. K

    Siri ya Dr.Slaa na Dr.Ayub Rioba kuwa na msimamo sawa kuhusu Amani

    chinemba, soma Fayol on impersonal relationship between organization properties Vs personal properties, unatakiwa kutoa muda kwa udhaifu wa mwenzako. Thats why we have love your enemy, at the end atakuwa baraka kwako.
  6. K

    Siri ya Dr.Slaa na Dr.Ayub Rioba kuwa na msimamo sawa kuhusu Amani

    Radhia Sweety, Kila kitu chema hutoka juu, jambo ambalo lilikuwa linamaanishwa na Mr Ryoba na Dr. Slaa ni zaidi ya maombi, unatakiwa kuitafuta amani kwa bidii sawa na maandiko "Tafuteni kwa Bidii kuwa na AMANI na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna mtu atamwona MUNGU asipokuwa nao" Kwa...
  7. K

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    Hatua iliyobaki kwa usalama wa Ndugu yetu Ulimboka ni kumpeleka kwenye maombi kule Nigeria kwa TB Joshua kwa ajili ya msaada wa Mungu. Human hand has come to its END Mungu pekee ndiye anayeweza kufanya kila kitu kwa upya. Please naomba madaktari kwa sababu ya usalama wake hapa Tanzania...
  8. K

    Tunasubiri matamko kulaani shambulio la Dr. Ulimboka kutoka vyama vya siasa

    Tayari Chadema imelaani shambulio la Dk Ulimboka Wednesday, 27 June 2012 Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika Boniface Meena CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), kimelaani kukamatwa na kushambuliwa kwa viongozi wa madaktari ikiwamo Dk Ulimboka Steven ikieleza kuwa...
  9. K

    UISILAMU dini huwezi kuitafautisha na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha

    Ni matamshi mara kadhaa yamekuwa yakirudiwa na wanazuoni wa Kiislamu kuwa huwezi kutenganisha uislamu na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha. Bila shaka jambo hili linahitaji mtazamo makini kwa kile ambacho kinaonekana kutofautina na wanachoeleza, vinginevyo siku za baadaye watajikuta wanazuoni...
  10. K

    Wassira azomewa vibaya mkutanoni na kuondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi!

    JINAMIZI la zomeazomea limezidi kumwandama mbunge wa jimbo la Bunda, Steven Wasira, ambapo jana tena alizomewa na wananchi baada ya kushindwa kujibu maswali waliyomuuliza. Wassira alikumbwa na zahma hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya stendi ya zamani ya mjini Bunda...
  11. K

    Rais Kikwete safarini Ethiopia

    Siamini!
  12. K

    Kifo cha mwenyekiti wa CHADEMA Usa river-Arumeru - Arusha

    Ni kweli ni suala la subira, bado wako makini lakini masuala ya jamii/ watu wengi yanahitaji takwimu/ bird watching/ busara/ hekima kuja kwenye mrejesho na hatimaye maamuzi magumu. Lets give ourselves time!:clap2:
  13. K

    Mtafaruku mkubwa CCM Mkuranga

    Nakubaliana nawe na namkubali Mkurugenzi SIPORA LIANA kuwa ni Mwadilifu na anazingatia
  14. K

    Mbowe: Muungano lazima ujadiliwe

    Muungano huu amba Tanzania Visiwani wanautaka wa kuwa na haki sawa kati ya Zanzibar na Tanzania Bara haupo, Angalia Idadi ya watu, angalia eneo la ardhi, mahitaji n,k. Tanzania Visiwani wakati miaka ya 70s tulikuwa tunajua ni mikoa miwili ya Tanzania. Leo wanakuwa wakali kuambiwa mikoa wanataka...
  15. K

    Baraza jipya: VIJANA Wasichaguliwe Uwaziri

    Hiki ni Kipindi cha watoto wanaoitwa babby boon ni tatizo all over the world, ila kwa Ulaya wamekuwa smart kwa sababu wako bright na wanatunza uzalendo katika nchi zao, kwa Tanzania maadili ni tatizo (youth are deviants) kuvunjika kwa utarajibu wa JKT umesababisha vijana wengi wasitulie (no...
  16. K

    Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

    Isaya 41:6 - Wakasaidiana, kila mtu na mwenzake, kila mtu akamwambia ndugu yake; Uwe na moyo mkuu. 7 Seremala akamtia moyo mfua dhahabu, na yeye alainishaye kwa nyundo akamhimiza yule apigaye fuawe, akiisifu kazi ya kuunga, akisema, Ni kazi njema; naye akaikaza kwa misumari isitikisike...
  17. K

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Pamoja na kutokuwa na mshiko na umbea CDM inataka mabadiliko na kama unafuatilia Bunge hiyo kazi inayofanywa na CCM ni msukumo, lakini kwa nini Rais ahitaji CC ya CCM wakati anatangaza Mawaziri alifanya uteuzi IKULU?
  18. K

    Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Nakumbuka hii statement na nimeshtuka niliposikia viongozi wa CCM wameondoka Arumeru saa 8 za usiku, nikasema ndio safari ya MATERNITY WARD kujifungua kutokana na kauli za Lusinde za atakayeshindwa leo atajifungua. This guy is outside
  19. K

    Mkullo: Uchumi wa Tanzania umeporomoka; Kila mtu atakula kwa jasho lake

    ----------------------------------------------- Nilishapata habari kwamba Mkulo sio mtanzania hivyo ni miongoni mwa watu ambao hawashughuliki na kuwa na uchungu wa nchi hii. Otherwise Wizara ya fedha imevamiwa na watusi.
Back
Top Bottom