Search results

  1. sajo

    TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Wasilisha malalamiko TCRA unaweza kupata milioni 2 kwa sababu ulikatwa Tshs. 300 tu
  2. sajo

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Mfano, wazungu wakiweka hizo title utaona sawa na watanzania kuziweka?? Kwa maana ya mzungu akifanya jambo basi wengine mkiiga inakua haina shida kabisa?
  3. sajo

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Ni mara chache au kama sio zote kumkuta wakili anaanza kujiita Adv. ABCD, ila hao watu wa CPA na wahandisi, wanapenda sana. Lakini sio kesi, wamepambania taaluma hizo acha wajiite watakavyo
  4. sajo

    TARURA na Mbunge wa Kibamba, barabara ya Kibamba-Hondogo-Kidimu ni mbovu sana. Tutengenezeeni

    Niliona mahali wanasema mwaka wa fedha 2024/25 mradi wa DMDP utajenga kilometa 36 kwa kiwango cha lami kwa wilaya ya Ubungo. BARABARA ZA MITAA ZITAKAZOJENGWA NA DMDP Kwa wilaya ya Ubungo, jumla ya kilomita 36.11 zitajengwa kwenye maeneo zaidi ya 20 kwa umbali tofauti. Katika maeneo yote...
  5. sajo

    DOKEZO Agent wa Fedex Tanzania (Rangel Logistics) Achunguzwe kwa kuhujumu uchumi

    Ni sahihi mkuu. Sasa kinachoshangaza ni Cainiao kuleta mizigo yenye label hivyohivyo ila pasipo mteja kulipa chochote zaidi ya gharama ya kusafirisha. Hata shirika la Posta tu, mtu unalipia shipping charge na sio waybill ya document yako mwenyewe, na hapo mizigo yote imekuja kwa ndege na kupita...
  6. sajo

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Nje ya box, KFC anachouzia ni ile brand name, kama tu CocaCola na Pepsi wanavyouza soda zao. Kwa huo mtaji wa Bilioni 4 si mtu uanzishe kabisa brand yako ila uuze na kuandaa kuku kama hao KFC mpaka packaging, unaweza kutoboa zaidi maana faida yote itakua yako. Hao wanaotamani kununua bidhaa za...
  7. sajo

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Mkuu, Alibaba na Ali Express ni app za kampuni moja. Alibaba ni kwa ajili ya manunuzi ya jumla (utauziwa bei ya jumla na mzigo unakuwa una idadi ya kuanzia - labda pisi 5 na kuendelea) huku aliexpress ni ni kwa ajili ya manunuzi ya rejareja, unanunua hata kitu kimoja tu.
  8. sajo

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Lakini nae inasemwa kuwa aliibiwa madini sana na PK kwenye ukuta aliojenga Mererani
  9. sajo

    Tumetoka kusali jumuiya kwa Baba ambae ni Mkatoliki na Mama ni msabato. Kiukweli kipengele cha kuangalia dini kwenye mahusiano ni cha muhimu sana

    Sasa usabato na ukatoliki, ni dini moja ya ukristo. Hapo Kunakua hakuna mwanandoa aliyebadili dini / imani.
  10. sajo

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Basi arudishwe kuwa mtangazaji, maana kwa sasa redio imekuwa mbaya mno. Asubuhi imekua na vipindi kama vya kina Mwijaku na kina Baba Levo.. yaani zile content kama za JK (John Karani) enzi za the Morning Kiss (Topic of the day) vimekufa kabisa
  11. sajo

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Ninajua tu ni ile makelele, sauti kutoka kwa njia mbili. Wenyewe wanaita mchicha. Au naelewa vibaya mkuu?
  12. sajo

    10 Most Underrated TV Shows

    Banshee na The Spy utainjoi sana mkuu
  13. sajo

    TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Pamoja na yote, sound ya kiss FM na RFA sio mchezo. Ni baba lao, Mono ya maana, sio michele michele (stereo) ya radio ya wafu na nyinginezo. Ile mono ya kiss fm ukiweka na jingle yao ile..dah Hapo Jumamosi unasikiliza The Weekend Top 30 na Ryan Seacrest..unyama sana🔥💥
  14. sajo

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Kwenye andiko uliloweka hakukua na neno sherehe, bali kumtukuza Mungu. Sasa kumtukuza Mungu ni jambo la kila siku, haimaanishi kusherehekea. Mimi nimerejea mitandaoni maana kwenye quran haipo, sawq tu ilivyo pasaka. Kwa hiyo unapouliza chanzo cha Easter ni sawa na kuuliza chanzo cha idd el...
  15. sajo

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Mkuu, hapo ukisoma hakuna maelezo kuwa watu washerehekee eid. Ukisoma mitandaoni kupata origin ya sherehe ya eid el fitr wanaeleza kuwa ni Mtume SAW alikuwa akisherehekea ushindi wa vita ya Badr. Kwa hiyo unakuta haihusiani chochote na mwezi wa Ramadhan (kufunga) ingawa vita hiyo ilipigwa...
  16. sajo

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Upo sawa kabisa mkuu.
  17. sajo

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Mkuu, unajua msingi wa mada ni ku-attack ukristo. Obvious dhidi ya dini nyingine ikiwemo na uislamu. Sasa mfano, Idd el fitri chanzo chake ni kipi? Na je kama haipo kwenye quran, ina uharamu wowote kwa waislamu?
  18. sajo

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Hii ni tamaduni tu, kama ilivyo krismasi. Hazijawekwa kibiblia, hazijaagizwa na Mungu. Ila Yesu aliagiza wanafunzi wake wale mkate (chakula cha Bwana) kukumbuka mwili wake na pia wanywe divai kukumbuka damu yake iliyomwagika msalabani. Haya yapo Kibiblia na hufanyika kabla ya Pasaka (easter)...
Back
Top Bottom