Search results

  1. flagship

    Madaktari wa Kenya wachanganya upasuaji.

    Four Kenyan medics have been suspended after cutting open the skull of the wrong patient at a hospital in Nairobi. One patient needed surgery for a blood clot on the brain, the other only non-invasive treatment for swelling. But a horrifying mix-up of identification tags saw the wrong man...
  2. flagship

    Nahisi wazee wa Dar es salaam wamechangia kuyumba kwa CCM Dar.

    Habari za uzima wanajamvi? Naanza kwa kuainisha mambo machache ambaye huenda yamechangia hawa wazee kuwa na kinyongo. Kwanza CCM imekuwa ikiwasahau wazee hawa na kutumia pesa nyingi kupambana na wapinzani. Wazee hawa siku hizi hawashirikishwi katika mazungumzo na rais. Pia tabia ya mkuu wa...
  3. flagship

    Je smartphones hazitaadimika nchini?

    Najiuliza tu kutokana na jinsi ambavyo mfumo unajitahidi kudhibiti upashanaji wa habari. Baada ya mafanikio ya kudhibiti radio, TV na magazeti pia aina nyingine za media kama blogs. Je wataweza kudhibiti mitandao ya kijamii? Na kama wakishindwa hawatatumia mbinu nyingine kama kudhibiti...
  4. flagship

    Aibu: Nzega Bus Stand ni sawa na kituo cha daladala

    Hii stand ifanyiwe utaratibu wa kuhamishwa haraka maana hiatoshi na wala haina sifa za kupewa hadhi ya Stand Kuu kulingana na wakati.Ikitokea bahati mbaya magari 10 yakakutana kwa pamoja stand inajaa na kufanya magari mengine yashindwe kuingia na kusababisha foleni kama za jijini.Bashe yupo bize...
  5. flagship

    Mwaka wa kumi umekuwa mgumu sana Kwetu

  6. flagship

    Jamani Kupatana tuoneane huruma

  7. flagship

    Shinyanga: Lori la mafuta Kampuni ya GBP latumbukia daraja la mto Manonga

    Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo.Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo wa dereva wa lori hilo la mafuta ambaye alikuwa kwenye mwendo mkali kuelekea kwenye daraja hilo ambalo ni jembamba lenye kona.Baada ya kukaribia darajani lilitokea lori jingine likiwa limewashaa taa zenye mwanga...
  8. flagship

    Mwili kuwa na umeme baada au wakati wa kufanya mapenzi

    Habari wana jamvi?nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya hili jambo leo nimeona niliweke jukwaani ili watu waliokutana nalo au wenye uelewa waweze kunipa elimu. Imenitokea mara kadhaa ninapo-kiss na partner wangu huhisi kitu kama shoti ya umeme. Pia mara kadhaa nimekuwa nikikutana na hii hali...
  9. flagship

    Wachochezi karibuni tuchochee

    Kuni mbichi na muda unazidi kwenda. Baba ametenga sufuria la ugali na ametuahidi anakwenda kutafuta kitoweo lakini mpaka sasa mambo hayajaeleweka. Njaa inazidi kuwa kali na kila jirani ana uadui na baba na wale waliokuwa naye karibu wote aliwatenga kabla kuni hazijalowa na mvua. Mimi naona...
  10. flagship

    Wanaojua hali ilivyo huko ukanda wa makinikia tujuzane.

    Bila kupoteza muda lengo langu ni kujua mazungumzo yamefikia wapi na kuna dalili chanya au hasi.Maana nilishtuka baada ya kukutana na malori yakitokea mgodini kakola yakiwa yamebeba vifaa mbalimbali vya ujenzi ambavyo hutumika katika shughuli za mgodini.Pia Kakola panazidi kupooza na shughuli za...
  11. flagship

    Watu wenye jinsia mbili wanawezaje kumudu mahusiano ya kimapenzi?

    Ni muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya hili suala.Mtu mwenye jinsia mbili yaani "ke" na "me" anawezaje kuwa na mahusiano ikiwa sehemu zake zote za siri zinafanya kazi?Suala la kuoa au kuolewa likoje?Je kuna matibabu ambayo watu hawa wanaweza kuyapata ili kuweza kubakiza jinsia moja?Nahitaji...
  12. flagship

    Naona moto wa wapinzani ukiwaka kama moto wa pumba.

    Moto wa pumba huwa hautabiriki kwa kuwa unaweza kutia miguu kwa kudhani umezimika kumbe unawakia chini.Hali hii ndio ninayoiona katika siasa za nchi zinazoendelea za kufungana midomo kwa nguvu ya dola.Je ni yupi bora kati ya adui anayefanya mikakati ya wazi au anayefanya kimyakimya?Wakati mgumu...
  13. flagship

    Nipo maeneo ya Nzega Stand, watu wanapiga Picha na Jimmy Master kwa 2000 kila kichwa

    Jamaa wamekataza MTU kuwapiga Picha kwa simu so sijajua kuwa wanaogopa au VP.Magu anapata vipi kodi hapa? J PLUS, Jimmy Mponda 'Master', ni bingwa wa fani ya mapigano aliyejizolea sifa kwenye filamu za mapigano zikiwemo mfulilizo wa filamu zake za Misukosuko katika tasinia ya Bongo Movie.
  14. flagship

    Je ni kweli Jumuiya ya Mabaharia imeingiliwa na wanasiasa?

    Ni muda mrefu kumekuwa na harakati za mabaharia wa Tanzania kupitia jumuiya yao Tanzania Seafarers Community lakini mafanikio yamekuwa ni ndoto.Lengo hasa la mabaharia ni kutambuliwa rasmi na serikali kisha kupatiwa ajira katika bandari mbalimbali.Madai ya mabaharia ni kuwa wamekamilisha kila...
  15. flagship

    Ili mtu awe mwanasiasa anatakiwa awe na sifa zipi?

    Ni swali hilo,nahitaji majibu tafadhali.
  16. flagship

    Bado siku 7 Kupiga Kura, unaona nini mbele?Old is Gold

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/956360/ Bado siku 7 Kupiga Kura, unaona nini mbele?
Back
Top Bottom