Katika pitapita zangu nilipita Chato kwa mh. Na kuona kituo kimoja kinaitwa CHATO VIEW OPEN SCHOOL. Jamaa hawa wanatisha kitaaluma maana matokeo yao ya kidato cha nne walikuwa na Div IV 3 tu za 28 na mbili za 26. Wanafunzi wao wengine wote walifaulu vizuri.
Kwa waliofanya mtihani wa maarifa...
Pamoja na uwepo wa uwanja wa mwanza, mkoa wa Geita hauna uwanja wa ndege. Katoro kuna wafanyabiashara wanaochukua bidhaa zao nje ya nchi. Uwanja huu utawasaidia bila kusahau watu wa Bukoba na maeneo ya jirani
Who is Lisu by the way?
Nachelea kusema kuwa #Lisu ni mmoja kati ya wanasheria wazuri sana Afrika mashariki lakini anaitumia vibaya elimu yake ya sheria.
Ni moja kati ya wanasheria wanaotumia kivuli cha sheria kutaka kuigombanisha serikali na wananchi wake. Ni mwanasheria #conservative ambaye...
Asante sana ticha!! Naomba niulize tena,
Unaweza nunua domain au server online!? Au lazma ununue CD uinstall?
Na je ni hatua zipi za muhimu ambazo unazifuata ukiwa unatengeneza blog au website!? Asante sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.