Search results

  1. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba! Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki[emoji1787][emoji56] Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!
  2. kishumbaz

    Kuna pesa zozote zilizotolewa na TFF!

    Raisi wa CAF kasema kuna pesa zinatolewa kwa ajili ya ukarabati wa miundo mbinu ya soka Africa, Najiuliza nchini kwetu kuna ukarabati wowote wa miundo mbinu uliofanywa na TFF!
  3. kishumbaz

    Viongozi wa simba mpira haundeshwi kihuni hivyo! Mchezaji akiumia ni jukumu la timu kumgharamia matibabu!

    "Aubin Kramo anasumbuliwa na goti, huenda tatizo lake lilianzia ASEC [emoji1081] lakini limekuja kujitokeza Simba. Tumempa ruhusa kwenda Nchini kwao (Ivory coast) kujitibu zaidi kisha atarejea. Madaktari wamesema kama tungeendelea kumchezesha huenda angepoteza career yake Ahmed Ally
  4. kishumbaz

    Azam ndiyo mnatupandishia vifurushi kwa hizi boxing za walevi wa chang'aa!

    Hawa mabondia sidhani kama wanafanya hata mazoezi ya boxing[emoji3][emoji3] Kama hili pambano la Joseph Mchapeni ndiyo kituko, hayo mapambano siyo ya kupoteza mda kupeleka makamera na kurusha kwenye tv, ni kituko!
  5. kishumbaz

    Ushauri wa wazi kwa viongozi wa Simba SC!

    Kwanini viongozi msiombe kibali cha kwenda Serengeti national park, mkazindue jezi zenu pamoja na kundi la Simba nao wafurahi! Siyo mbaya mkachagua baadhi ya viongozi lia lia kama kina Mangungu, Ahmedi na Try Again.
  6. kishumbaz

    Viongozi wa simba tumewachoka!

    Ifike mda muheshimu na muelewe Simba ni timu kubwa na yenye heshima kubwa Afrika, Hiki ni nini sasa!
  7. kishumbaz

    tiGO Pesa, Airtel Money na M-PESA mnatufilisi mawakala

    Kama mmeshindwa kuweka security kwa mawakala wenu kwenye huduma za kusitisha miamala, hii huduma iondoeni inatufilisi mawakala. Jana mfanyakazi wangu kapigwa 50k tigo pesa, mtu ametoa hela umempa cash, katoka kaomba kusitisha muamala, ikala Kwangu wakala, ujinga huu!
  8. kishumbaz

    Engineer Hersi akili na personality yake hastahili kuwepo kwenye football ya Tanzania

    Jana nimemsikiliza kwa makini Hersi akitoa speech pale Ikulu, sikutamani kabisa amalize, very composure and calm. Huyu jamaa ni big brain, ana kipawa cha uongozi, mama ampe kitengo aisaidie nchi, hadhi yake ni kubwa kuliko kukaa na vilaza huku kwenye mpira wetu unaoendeshwa kihuni huni!
  9. kishumbaz

    Kwanini kila mvua ikinyesha Yanga anafungwa!

    Nimefanya utafiti games 3 alizocheza Yanga mvua ikinyesha 2 kapigwa! Yanga vs Simba nk Je ni wakati sahihi kuamini Yanga mvua ndiyo ulozi mkubwa kwao!
  10. kishumbaz

    Kuna haja ya serikali kuingilia kati kwenye uchaguzi ujao wa TFF

    Kwa jinsi wapenda mpira tunavyoumizwa, kuna haja ya serikali kuingilia kati katika uchaguzi ujao. Tunajua jana TFF waliwaangushia jumba bovu serikali, kotokana na conflict of interest zao, sababu mazingira ya lile tamko lao lilionyesha dhahiri kama waliwatengenezea Bomu serikali liwalipukie...
  11. kishumbaz

    Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

    Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]
  12. kishumbaz

    Kwa jirani kunaungua!!!!!

    [emoji22][emoji22]
  13. kishumbaz

    Logo ya Simba v logo ya African Lyon

    Mbona kama copy and paste .
  14. kishumbaz

    Kwa uelewa wangu Morrison vs Yanga.

    Yanga wametolewa kafara kukwepa aibu na uozo wa TFF na kamati yake. Mwanasheria wa yanga kasema mkataba una ingredients zote muhimu za contract, una consent, capacity to contract una kitu muhimu ambacho ni consideration (pesa aliyochukua Morrison). Sasa Mwanjala hukumu yake haileweki, imeacha...
  15. kishumbaz

    Hiki kipindi cha Sports Arena kinaboa

    Yani mda wote watangazaji na wachambuzi kazi ni kupokea simu na kusoma SMS tu na si kuchambua na kudadavua mambo ya soka kiundani kama tulivyotarajia wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kishumbaz

    Kusipokuwa na rushwa ligi kuu ya vodacom

    Nawahakikishieni kombe linaenda mikoani....hizi simba na yanga zinapambwa na vyombo vya habari ila kihalisia uwanjan hamna kitu.... Huu ndiyo ukweli... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kishumbaz

    Wana Yanga muwe wavumilivu kwenye hichi kipindi cha mpito...

    Naona wengi wanamtupia lawama kocha, kiukweli kocha hana makosa, makosa yapo kwa wachezaji. Kwa mfano goli kama alilojifunga Ally Sonzo utamlaumuje kocha!....mipira inafika kwa mastrika hawafungi unamlaumuje kocha! Tukubali tu walioaminiwa kusajili baadhi ya wachezaji kama yule ndugu wa...
  18. kishumbaz

    Ukweli ni mchungu

    yanga acheni kuwafanya wachezaji wenu watumwa...
  19. kishumbaz

    Yanga angalieni hili kwa jicho la tatu

    Huyu Zahera uropokaji wake utai-cost timu. Anaonesha dharau za wazi kwa mashabiki; wasipokuwa makini, huyu mtu ataua hamasa yote viongozi wanayoipigania. Ikumbukwe kuwa 90% ya usajili huu pesa zimechangwa na wanachama.
  20. kishumbaz

    Viongozi wa Yanga mnakwama hapa....

    Uwazi na kutokuwa na kipya kwenye utendaji wenu... Jitahidin ku-updates mapato na matumizi na kuwa na utamadun wa kuelezea mashabiki na wanachama mikataba ya udhamin mliyoingia na thaman zake na club inafaidika nini kwenye hiyo mikataba...na mfute migogoro na wachezaji... Muelewe nyie ndiyo...
Back
Top Bottom