Search results

  1. kishumbaz

    Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Hawa mbumbu wamesharidhika na mafanikio ya robo faina wakati mashabiki wa Yanga wanaumia waliitaka Fainali
  2. kishumbaz

    Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Wenzao wanakaa wanaumiza vichwa kuandika proposal wao wanatembea na upepo wa wenzao, haya kailalamikieni na Crdb kwa kuidhamini safari ya Yanga afrika kusini[emoji1787]
  3. kishumbaz

    Namuona Amos Makalla akichua mikoba ya Makonda na John Mongela akichukua nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Anamringi Macha!

    Makala siyo mzuri kwenye siasa yule mzuri kiutendeji, kwanini wasimrudishe Nape then Makala akawe waziri! Nape siyo mtendaji wala Mwigulu wale wangefaa zaidi kukipushi chama
  4. kishumbaz

    Kwanini screen za matangazo uwanja wa Mkapa hazifanyi kazi?

    Quality ya uwanja wa Taifa bado ipo chini sana hata level ya ubora wa Azam complex bado sana sijui kama bado kuna ukarabati unaendelea!
  5. kishumbaz

    Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Waandishi wa michezo Tz ni changamoto! Naangaliaga press za makocha ikifika kipindi cha maswali nazima tv! Just imagine mwandishi anamuuliza kocha wa kimataifa " unawaogopa Yanga"[emoji1787][emoji1787]
  6. kishumbaz

    Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

    Hii issue masai vs gavo ngojea nitengeneze slip!
  7. kishumbaz

    Hivi ndivo Yanga sc atakavyomuua Mamelod leo

    Msauz atake asitake leo lazima afe yan
  8. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Lazima kivanyike kitu, tukipuuza hili itakuwa precedent, kila atakaingia pale atatoka kwa mbinde yan
  9. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    kabisa mkuu...hili zee la hovyo sana, liachie madaraka tupate mawazo mapya!
  10. kishumbaz

    Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Simba wana viongoz waajabu sana, wamevizia yanga walivyotangaza mzunguko bure, wenyewe wakaja na ticket zote sold out[emoji1787][emoji1787][emoji1787]viongoz wa Simba acheni utoto!
  11. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Tunajua mifumo ya uchaguzi huru ameshaivuruga, wajumbe wa uchuguzi ameshajaza watu wake, na akikuona tu threat kwenye uchaguzi anakuchinjilia mbali, mfano Shafii dauda na baadhi wengi wameshatupiliwa nje ya mfumo!
  12. kishumbaz

    Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    Mbona waziri juz pale Serena kwenye event ya Simba alijinasibu kabisa kuwa yeye ni mnyama lialia[emoji3]
  13. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Mbona wenzake wote walikuwa wanakaa madarakani kwa term 2! Kuanzia Ndolanga, Tenga wote walikuwa hawapendi hiyo fursa ya kukaa milele! Na kama Karia siyo mroho wa madaraka, kwanini asibadilishe katiba na astaafu kama wenzake waliopita na kuheshimu misingi ya utawala bora!
  14. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Hana jipya apishe watu wengine wenye vision
  15. kishumbaz

    Very disappointed! Tff wabadili terms za uchaguzi!

    Raisi wa Tff amesema ana muda wa terms 2 za kugombea baada ya kufanya amendment kwenye katiba! Anasema wanaanzia kuhesabu terms zake pale amendments ilipofanyika, utumishi uliokuwa nyuma ya ile amendment hauhesabiki[emoji1787][emoji56] Huu ni udeckteta, uchu wa madaraka, haikubaliki!
  16. kishumbaz

    Waziri Mchengerwa Kuhusu Udart kuwa hata na aibu

    Mimi nikishaona mradi unasimamiwa na hii serikali najua tu utafeli sababu ya upigaji yan
  17. kishumbaz

    Kwa imani ya Kikatoliki, Hayati Magufuli alibahatika kupata Kifo chema

    Huyu mzee alikuwa mzalendo na jasiri sana, hakika tulipoteza kiongozi mwema mwenye hofu ya Mungu, hili Taifa tokea baba wa taifa alivyofariki Makufuli pekee angalau ukimwangalia alikuwa na chembechembe za hofu ya Mungu! Hakika tulipoteza jembe, kama alivyotutabiria tutamkumbuka, na kweli...
Back
Top Bottom