Search results

  1. kmwemtsi

    Mbuzi wa kufuga wanahitajika

    Nahitaji mbuzi kwa ajili ya kufuga, wakipatikana wanaozaa watoto wawili itakua poa zaidi. Idadi ni 50-200. Mtu yeyote anaeweza kuniuzia au kuniunganisha na muuzaji awasiliane nami kwa namba +255 627 509 498
  2. kmwemtsi

    Wazee CCM watetea ugali wao

    BARAZA la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, limempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa uamuzi wake wa kukubali kuandikwa upya kwa katiba ya Tanzania, huku wakilaani nguvu kubwa iliyotumika kumshinikiza akubaliane na suala hilo. Tamko hilo lililojaa shutuma dhidi ya makundi ya watu yaliyomshinikiza Rais...
  3. kmwemtsi

    CPA (T) Review classes

    Inspire Consultants itaanza kutoa mafunzo ya CPA 1. Mafunzo yatafanyika WEEKEND NA JIONI (SIKU ZA KAZI). 2. Waalimu: UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM BUSINESS SCHOOL EXPERIENCED STAFF 3. Venue: BIAFRA 4. Kuanzia: 11.1.2010 For more information contact 0713707375
Back
Top Bottom