Search results

  1. N

    Natafuta shule nzuri kujiunga advance level

    Matokeo ya kidato cha nne hayakua mazuri ila nina B-english,C-kiswahili na C-biology.Niko tayari kwa shule yenye nafasi nzuri yenye kufaulisha wanafunzi wa kidato cha sita na yenye mazingira mazuri ya kusoma. Ikiwa hapa Dar es Salaam ni vizuri na nipo tayari kwa mchepuo wa ARTS.
  2. N

    Ununuzi na uuzaji wa hisa

    Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu kuhusu ununuzi na uuzaji wa hisa.Nitashukuru kama mtaniwezesha kujua kampuni ambazo hisa zinanunulika na kuuzika kwa urahisi, kwa muda mfupi na kwa faida nzuri. Ningependa kufahamu pia ni kwa jinsi gani naweza kufaidika kwa ununuzi wa vipande vya UMOJA FUND
  3. N

    natafuta house girl/msaidizi wa kazi za nyumbani

    Salaamu wakuu! Ninaishi Dar es Salaam,natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani mwenye sifa zifuatazo; Mwenye umri si chini ya miaka kumi na tano wala zaidi ya miaka 20 Anaejua kusoma na kuandika Napendelea wa kutoka mkoani hasa mkoa wa Iringa Awa smart na sharp Nitashukuru pia kama mnaweza...
  4. N

    Daycare

    Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule. nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama kujua mambo gani ya muhimu ya kuzingatia,leseni,location,changamoto na mtaji wa kuanzia unawezagharimu...
  5. N

    soko kwa ajili ya kuuza bata mzinga

    Salaam, Wakuu wapi naweza kupata soko kwa ajili ya kuuza bata mzinga?kwa sasa wapo Moshi ila bado si tatizo kubwa sana kama ntapata soko Dar.
  6. N

    Hello every one!

    It is my first time joining JF,I have gone through different threads/topis from when it started and find it more advanced,interesting and a nice web share different ideas and with my case ..... all about busness and economic ideas. Thanks to the founders! Cheers:cool:
Back
Top Bottom