Search results

  1. winlicious

    Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

    Hili nalo mkalitazame kwa undani.
  2. winlicious

    Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

    Subiri akikufia ndio utajua hujui...mapenzi sio vita jamani. Kaa nae chini mwambie kwa upendo...vurugu zipo ila sio mpaka za kung'atana na kutoana damu khaa!!!
  3. winlicious

    Hezbollah yawafanyia machezo ya "tisha toto" Israel

    FaizaFoxy calendar yako inarudi kinyume nyume?2023??
  4. winlicious

    Afya yangu yazidi kunichanganya

    Nakubaliana na wewe
  5. winlicious

    JamiiForums Usiku wa manane

    Team popo
  6. winlicious

    Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'

    Hujui power of pussy wewe....toka enzi na enzi!!! Glenn njoo utoe darasa
  7. winlicious

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    Shoo ya kibabe eeh
  8. winlicious

    Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Basi wahusika wamekusikia hamtalipa tena mahari usihofu.
  9. winlicious

    Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Nyie mnatembea na wangapi mpaka kuoa? Acheni mfumo dume, bikra pande zote. Mtaendelea kudanganywa tu
  10. winlicious

    Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Wapi nimesema nna kipato? Nyie ndio mnafanya wanawake wawape bikra feki mchina anauza bei cheee....
  11. winlicious

    Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Ajira huna, mahari utaweza kulipa? Tungekua tunawalipia na wanaume kipimo kingekua nini? Life itself is complicated bado na wewe unacomplicate
  12. winlicious

    Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Namfahamu vizuri, ndugu zake walijichanga wakamjengea mama yao nyumba. Mama akamuita jamaa aje na mkewe waishi nae baada ya kuona maisha yamewachapa, alichofanya akaiba documents za manunuzi ya kiwanja akaenda kutengeneza hati miliki kwa jina lake halafu akawa anatumia hati kudhamini watu...
Back
Top Bottom