Search results

  1. M

    Mchungaji mwanafunzi Caslida kutoka Ufufuo na Uzima amezidiwa!

    Bi Caslida (50years) alikuwa kwenye Chuo cha Uchungaji kinachomilikiwa na Askof Gwajima amezidiwa na sasa amekimbizwa Mhimbili. Tatitizo lake ni kuvimba tumbo na anasema amepata madhara hayo baada ya mfungo wa siku kadhaa hapo chuoni na kwamba amechelewa kufika Hospitalini KWA SASA HANA...
  2. M

    Huu ni Wakati wa Serikali kujua na kutambua Viongozi wa dini na maadili ya Dini

    MWAKA HUU 2017 KUTAKUWA NA MATUKIO MENGI SANA: 1.MZEE WA UPAKO AMEONEKANA NA KUPIMWA AKIWA MLEVI CHAKALI.POLISI WAMEPIMA UELEVI HUO LAKINI HAWAJACHUKUA HATUA YOYOTE 2.MAKONDA PAUL NI MUUMINI WA ASKOF GWAJIMA NA WOTE NI WASUKUMA.KAMA KIONGOZI WA DINI GWAJIMA ANA SIRI NYINGI ZA MAKONDA.GWAJIMA...
  3. M

    Askari wa Usalama Barabarani Dodoma mnaonea madereva

    Tangia jana Traffick Mkoani Dodoma wanakamata Magari na vyombo vingine kwa kukosa Sticker ya Usalama barabarani Jambo la kushangaza Sticker hizo hazipo Polisi Madereva wakienda kukata wana ambiwa zimekwisha 1.Sticker hizo ni Kati ya Tshs3000 2.Dereva akikamatwa ana ambiwa alipe faini Tshs30,000...
  4. M

    Waraka wangu kwa viongozi wa dini kuhusu ulevi wa Mzee wa Upako!

    1. Mch Antony Lusekelo , anayejiita Mzee wa Upako amethibitishwa na makao wa makuu ya Polisi Dar kuwa alikuwa na ulevi wa kupindundukia. 2. Taarifa zisizo na Shaka na video zimeonyesha wazi kuwa Mch.Antony Lusekelo alionekana amelewa chakali huku anatukana matusi mazito manayeshewa mvua na hana...
  5. M

    Eng.Gervance Lwenge:Nipeni Kura Jimbo la Wanging'ombe ili niwe waziri wa Ujenzi!

    Wakati wa Kampeni Engineer Gernvance Lwenge alikuwa anawambia wananchi wa Wanging'ombe kuwa wampe kura ili apate kuteuliwa uwaziri ili apate kuteuliwa na Mangufuli kuwa waziri wa ujenzi . Lwenge aliwahi kufanya kazi Tanroad hivyo alikuwa anatamba kuwa Mangufuli ni rafiki yake sasa Nafasi ya...
  6. M

    NEMC vipi kesi ya Jumba la mama Rwakatare? Wanyonge wamebomolewa!

    Hivi ni nani aliyepiga Picha ya Kitanda Chumbani Kwa Mama Rwalatare ?? Maana Mama Rwakatare hana Mume!!!!
  7. M

    Ada ya mtoto wa Shule ya msingi ni kubwa kuliko ada ya mwanafunzi Chuo Kikuu!

    Kuna Mjadala unaendelea juu ya Ada Kwa Shule za Sekondary na Msingi (1) Serikali ya Mangufuli imetangaza kuwa Ada kwa Shule za Serikali imefutwa lakini barua za Shule hizo bado zinasistiza ada. (2 )Ada kwa Shule za Primary International ni kati ya 1.2m hadi 2.5m. (3) Ada kwa Shule za...
  8. M

    Wapo wafanyabiashara waliochangia pesa Kampeni Za Mangufuli ila Mangufuli hawajui!!!

    Upo Ushahidi wa Kutosha kuwa Wapo Wafanyabiashara amabo walichangia pesa Kampeni za Mangufuli , ila Mangufuli alipo ambiwa wakati ule alikataa na kundi hilo likatafutiwa utaratibu mwingine. Ukitaka kujua hili muulize Lukuvi na huyo anaye endelea kusafili nje ya nchi!! Ipo siku Bomu hili...
  9. M

    Uwezo wa Magufuli kupambana na dawa za kulevya wahojiwa

    RAIS mpya wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameambiwa kama ni kweli amenuia kukomesha biashara ya madawa ya kulevya nchini, basi awashughulikie wafanyabiashara wakubwa wanaoingiza bidhaa hiyo. Anaweza kuanza kwa kuifanyia kazi orodha ya wafanyabiashara 104 magwiji wa madawa hayo, orodha ambayo...
  10. M

    T.B Joshua na Askofu Gwajima!

    (1) T.B Joshua alitabiri kuwa Lowasa atashinda kwa Kishindo Urai 2015. (2) CCM wakasema Lowasa amefuata Uchawi Nigeria. (3) Wakati wa Kura za Maoni CCM wakakata Jina la Lowasa ili kufifisha Ndoto ya Urais. (4) Askof Gwajima akajitokeza na Kumshawishi LOWASA ahamie UKAWA. (5) Rais Johnathan...
  11. M

    Mabadiliko ya Venue Mitihani ya Nbaa tawi la DODOMA Nov 2015!!!

    NBAA wamefanya mabadiliko ya Ukumbi wa kufanyia Mitihani ya NBAA Nov 2015 ambayo ina anza Wiki ijayo Kituo kimehama kutoka CCT-Dodoma kwenda CBE Dodoma Cumpus New Hall Kila mdau amwambie Mwenzake Pia unaweza kuangalia kwenye webe site yao
  12. M

    Lowassa awaingiza mjini wananchi wa njombe, vijana wa bodaboda walioahidiwa mshiko washikwa butwaa

    Waziri Mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya Richmond,Edward Lowassa, amesitisha ghafla ziara yake ya kutafuta wadhamini mkoani Njombe iliyokuwa aifanye leo na kulazimika kulala Iringa. Haijafahamika sababu za kusitisha ziara hiyo. Tangu saa sita mchana vijana wa bodaboda na wananchi waliokuwa...
  13. M

    Kuna nini ndani ya moyo wa Lowassa?

    Hivi Lowassa anawaza nini hapa?? waliosomea saikolojia watusadie Naomba wale viongozi wa Dini wanaomuunga Mkono Lowasa msadieni kutatua ,Mambo yanayomsumbua Lowasa na Kama hali hii itaendelea ni hatari!! Hoja hapa Kuna nini Ndani ya Moyo wa Lowasa???
  14. M

    Mwakyembe aelezea suala la mabehewa feki, ajibu yaliyoandikwa Nipashe

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI HABARI YA UPOTOSHWAJI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA NIPASHE KUNIHUSISHA NA KASHFA YA MABEHEWA FEKI YA TRL JOTO la uchaguzi mkuu limezidi kupanda baada ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk...
  15. M

    Ziara ya Pinda Mbeya: Mwandishi wa Nipashe awatosa wenzake

    ZIARA ya Waziri Mkuu mizengo Pinda Mkoani Mbeya, imezua utata kwa waandishi wa habari, kutokana na kile kinachoonekana kuwepo kwa ubaguzi kwa vyombo vya habari kutohusishwa katika ziara hiyo. Utata huo umeibuka jana, katika kikao maalum kilichoitishwa na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  16. M

    Maswali muhimu kwa Tume ya Uchaguzi na Msajili wa Vyama vya siasa!

    Watendaji wote wa Tume ya Uchaguzi na msajiri wa Vyama vya siasa wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye kwa sasa ni Rais Kikwete . Namba maswali haya yajibike Mapema Kabla wananchi hawajakasirika. 1.Tume ya Uchaguzi inawezaji kusimamia uchaguzi ambao mgombea ni Rais Kikwete?? 2.Wakurungenzi...
  17. M

    Kakobe: JK Kavuruga Mchakato wa Katiba, amtaka aombe radhi

    Kakobe amlaumu Kikwete Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe, amemshambulia Rais Kikwete kwamba ndiye aliyevuruga mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Kakobe amewataka wajumbe wa UKAWA kutorejea katika Bunge Maalum la Katiba ambalo alidai limejazwa...
  18. M

    Mandamano UDSM!!

    Wakuu Nasikia LeoJumamosi Saa Mbili Asubuhi Kuna maandamano Barabara ya UDSM Yana anzia Chuo Cha maji Engineering Tunaomba mliopo huko mtujuze! Up date: Kesho tunaanza rasimi matembezi ya shukrani kwa MUNGU wetu kutupitisha kwny mabonde na milima ya Imani matembezi yatakayo anzia viwanja...
  19. M

    Viongozi wa Mbeya Press Club watwangana ngumi ni kati ya Mwandishi wa NIPASHE na MWANANCHI

    CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata aibu ya mwaka baada ya Katibu wake,Emanuel Lengwa ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la NIPASHE kutwangana ngumi na Mweka Hazina wa MBPC,Brandy Nelson ambaye ni mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ofisini wakati wa kikao.Sababu za...
Back
Top Bottom