Search results

  1. R

    Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

    Kichwa chako kina matope,Usitumie jina la Muhammad halikufai
  2. R

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Hongera Radio imani "MESSEJI IS SENT" Kuna mtu anadai Radio imani haina wasikilizaji wengi . Coverage yake inakaribia "Radio free africa ya mwanza na inawasikilizaji wengi kuliko radio yoyote Tanzani MIKOA AMBAYO RADIO FREE INAFIKA NA PAMOJA NA DAR ES SAAM,PWANI,MOROGORO,TANGA...
  3. R

    Why are Jews so powerful?

    The point here is the Muslim invented Coffee and spread to the rest of the world, it doesn't matter weather from middle east or from Ethiopia. International coffee organization/The Story Of Coffee
  4. R

    Why are Jews so powerful?

    Nafikiri hawajui, Wanaanzisha ugomvi wasio uweza
  5. R

    Why are Jews so powerful?

    Si mwamedi ,Ni Muhammad(S.A.W) Wazungu wenyewe wanamkubali katika Wanadamu wenye "ATHARI" duniani na yeye yupo. Ama unataka tulete data!!!!!!!!!!!
  6. R

    Why are Jews so powerful?

    "From coffee to cheques and the three-course meal, the Muslim world has given us many innovations that we in the West take for granted. Here are 20 of their most influential innovations: (1) The story goes that an Arab named Khalid was tending his goats in the Kaffa region of...
  7. R

    Madaktari wasema Zitto alisumbuliwa na kuchafuka tumbo

    Naomba nitoe angalizi huyu kijana wetu zitto huku kigoma tunamkubali sana,kama kuna njama za kutaka kumtanguliza ahela tunaomba zisitishwe.tutafanya dua maalum kumuombea kwa mungu amuepushe na maadui wa kila aina.hatuto kubali kuona yaliomkuta chacha wangwe yanamkuta zitto.tumesha wasitukia...
  8. R

    Wikileaks founder julian assange lived in tanzania ?

    UNAJUA BONGO NI NCHI YA WOTE,KUNA WAGENI WENGI na UHAMIAJI WANATAARIFA WACHINA,WAHINDI,WASOMALI ,WAKONGO,WATUSI ,MAKABURU,WAARABU.WAMEJAA ,HAWAJULIKANI WANAFANY NINI ? UHAMIAJI WANAENDA WANAVUTA kitu kidogo . Inawezekana maofisa wetu walidaka kitu kidogo jamaa kaishi , Ila inawezekana...
  9. R

    Wikileaks founder julian assange lived in tanzania ?

    Dar es Salaam. The Australian man at the centre of the worldwide storm over leaked top secret United States' diplomatic cables posted on the Internet has stayed in Tanzania in the past.Government authorities said yesterday that they were on the alert over an International Police (Interpol)...
  10. R

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    mkuu yani uliyoyasema nimeyakubali kabisa na nina kubaliaza na wewe huyu jamaa ni mnafiki kuna tetesi ambazo mimi sijazithibitisha huyu jamaa yeye na kapuya walishindwa uchaguzi 2010,walichakachua,kama kweli ,kachakachua kura ili aje kuchanganya watu? mimi kiukweli kabisa huyu jamaa mimi...
  11. R

    Waswahili tunatawaliwa na waarabu ?

    Sikazi rahisi Rahisi kupunguza maneno ya kiarabu kwenye kiswahili kwa sababu maneno ni mengi sana kiasi kwamba unaweza ukapewa PHD ya heshima endapo utafanikiwa kufanya hivyo. Ngoja niwaongezee maneno mengine 11 ambayo kila mmoja wetu anayatumia kila siku,Haya maneno tumeyachukua kama yalivyo...
  12. R

    Natafuta laptop ya kununua.

    NILINUNUA LAPTOP KWA HAWA JAMAA NILILIPA KWA WESTERN UNION ,LAPTOP NILIPATA NA NDIO NINAYOTUMIA Tanzania Laptops. Laptops Direct to Tanzania from USA Notebook.
  13. R

    Waziri Sitta: Dowans ni genge la ulaji wa vigogo watatu; tusiwalipe!

    Kama kuna kitu kimeniuzi katika baraza la mawaziri la raisi kikwete ni kumuweka huyu jamaa.ilitakiwa hivi sasa mvua zinanyesha analima tumbaku urambo,anasubili kikao cha bunge mwakani. Kikwete amuangalie atakuja kuvujisha siri za vikao vya baraza la mawaziri kwa sababu bado ana kisasi cha uspika
  14. R

    Fisadi ni Mtu anayechukua wake za watu?

    ninavyo fahamu mimi neno fisadi limetokana na neno la kiarabu(FASIDI) likiwa na maana kufanya uharibifu , Qur-an 2:11"Na wanapo ambiwa:Msifanye ufisadi ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji" When it is said to them: "Make not mischief on the earth," they say: "Why, we only want to...
  15. R

    Waswahili tunatawaliwa na waarabu ?

    Lugha ya kiswahili ilianza takriban miaka 800-1000 iliyopita,Kiswahili ni sarufi na msamiati wa Kibantu pamoja na maneno mengi ya Kiarabu. zaidi ya theluthi moja ya maneno ya Kiswahili yana asili ya Kiarabu.kuna maneno machache ya kiajemi,kihindi ,kireno na kingereza. waswahili bado...
  16. R

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    Wana JF mimi nilimaliza UDSM BSC Comp Engineering, Form 4 DiV I point 8,Form 6 Div I point 3,FOE GPA 3.0. Nilivyoingia FOE ,nilijipanga kuweka first class.Mambo yakawa tofauti.Nilishukuru hata kumaliza Chuo.Yupo jamaa yangu wa karibu alidisco mwaka 3.Alingia chuo na point 4 za form 6.
  17. R

    Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?

    Kwani kuna ubaya gani, kikwete kuoa.kwa kuwa anaapa kwa kubebe Msaafu,naamini anauwezo wote ,Ana ruhusa ya Wake 4.
  18. R

    PhD za heshima

    Wana JF naomba msaada,Mimi sielewi kwa nini Wanasiasa wengi siku hizi wanapewa PHD na vyuo mbalimbali Mfano:DR.Amani abedi Karume,Dr J K Kikwete Leo nimeona kwenye TV Uongozi wa UDOM ukimkabidhi Kikwete na Mke wa Kawawa PHD. Hivi ni lazima Kila mwana siasa kupewa PHD.Je kupewa PHD na vyuo ni...
  19. R

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    OIC:Hamna kuna tatizo kwa Tanzania kujiunga na OIC.Wizara ya mambo ya nje ya Tanzania ilishafanya utafiti na Kuconclude kwamba hamna tatizo lolote.,na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa JK, Dk Bernard Membe alitangaza wazi wazi mbele ya waandishi wa habari (23 October...
Back
Top Bottom