Search results

  1. V

    Energy never dies

    Energy cannot be created nor destroyed but can be changed from one form to another. Is there death if the energy never dies? death change energy from one form to another
  2. V

    Mbinu rahisi za kuendesha gari (msaada wenu)

    Nenda Driving school kwa muda wa mwezi mmoja. Inaweza kukugharimu angalau laki mbili lakini ukimaliza utakuwa na ujasiri wa kuingia barabarani pamoja na mambo mengine ya usalama barabarani.
  3. V

    Kujengwa kwa viwanda vya mbolea na plastic Mtwara kutokana na gas

    Mitambo inayojengwa Madimba mtwara vijijini ni mitambo ya kusafisha gesi ( processing facility) na siyo mitambo ya kusukuma gesi. hatuhitaji mitambo ya kusukuma gesi kwani gesi iliyopatikana Tanzania ina pressure kubwa inatosheleza kusafirisha gesi hiyo. Product kubwa inayopatikana baada ya gesi...
  4. V

    Norwegian Scholarship for petroleum Engineers and Geoscience

    Applications are therefore invited from qualified candidates for scholarships to pursue Master of Science in Petroleum Engineering and Petroleum Geosciences (2012-2014). The scholarship provides for Students from Tanzania to spend one year at NTNU in Norway and the second year at the...
  5. V

    Kwa wanawake tu

    Yeyote aliye ni-PM nitamjibu kila mmoja kwa wakati wake.
  6. V

    Kwa wanawake tu

    Naomba mniwie radhi kwa wawe ambao nitawakwaza. Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto mmoja au wawili, asiwe na umri wa zaidi ya miaka 38. Tafadhali kama unahitaji hilo naomba uni-PM. Sababu za hitaji langu na jinsi ya kutunza watoto/mtoto tutafahamishana baada ya kupata PM yako. Pia taarifa...
  7. V

    Amelazimika Kunywa Maji

    Ni mkazi mmoja wa mkoa wa Pwani, kama alivyonaswa na kamera ya mpiga picha wa magazeti ya Serikali, akinywa maji baada ya kuzidiwa na kiu, maji ambayo....! (sidhani kama ninahitaji kuandika lolote maana ni mengi yatokanayo na picha hiyo, kuanzia usalama wa afya hadi nani alaumiwe kwa kushindwa...
  8. V

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    Kama wameshakupa internet accounting ID na password, then unaweza kupata huduma zote za internet banking ambazo ni kuhamisha fedha kutoka kwenye account yako na kwenda kwenye account ya mtu mwingine wa CRDB pekee, hawatoi huduma kama huyo mtu anayemtumia hayupo CRDB. Hii huduma nimeitumia mpaka...
  9. V

    jinsi ya kutumia crdb internet banking

    1) Hakikisha huyo unayetaka kumtumia fedha umemsaji : Ukiwa ume-login kwenye internet banking page yako, upande wa kushoto chagua PAYEES - New third party hapo mtamsajili huyo unayetaka kumtumia Jina lake na Account yake. NOTE: CRDB account ina herufi "J" hii ni herufi kubwa, ukiweka herufi...
  10. V

    Nyufa kubwa na mfumo mbaya wa maji taka vya hatarisha udom

    Vyombo vya habari vimetuonyesha katibu uenezi na itikadi wa chama cha mapinduzi (CCM) ndugu Nape Nnauye akiwa katika ziara ya kikazi pale University of Dodoma (UDOM). Mambo aliyoyafanya ni pamoja na kukagua majengo na miundombinu ya Chuo lakini pia alitoa maagizo kwa uongozi wa chuo...
  11. V

    TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

    kweli mwaka huu tutaona mengi.Hivi CCM kila mtu au juimuia ina haki ya kujisemea jinsi inavyo jisikia? hakuna utaratibu wa kutoa matamko? kweli CCM imefilisika.
  12. V

    Gamba Linapo Goma Kuvuka

    Hii carton imenifurahisha sana. "Gamba Linapo Goma Kutoka"
  13. V

    Kauli ya katibu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu kukamatwa kwa wabunge wa chadema

    KAULI YA KATIBU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KUHUSU VITENDO VYA JESHI LA POLISI KWA RAIA NA KUKAMATWA KWA WABUNGE WA CHADEMA Katibu wa Wabunge wa Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na CHADEMA nalaani vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi kwa kusababisha mauji ya raia na...
  14. V

    Msaada karibu napata presha

    Kuhusu suala la fedha hiyo ni haki yako kujua mapato na matumizi vinginevyo hiyo biasha inaweza kufa na hasara itakuwa kwa familia na siyo kwa mke wako. Kinachotakiwa ni kumuelimisha mkeo juu ya umuhimu wa kukagua hiyo biashara tumia lugha nzuri, ukiona anaendelea kukataa jua kuna mchezo...
  15. V

    Kama husema Kofi la mpenzi haliumi, Je, ukiombwa utatoa?

    Mjibu, ashindwe na alegee pia kemea huyo pepo wa matusi amtoke.
  16. V

    Utanashati wa mwanaume ni nini..?

    Natamani nikuone, Tafadhali kama umeridhia ni PM.
  17. V

    Siri za wizi alizofichwa Mkaguzi Mkuu nje nje

    CCM walitumia hizi fedha kufanyia kampenzi zao, hizo kampuni ni mali ya vigogo wa CCm na serikali. Nimeamini ufisadi ccm upo kwenye damu na dawa ya nyoka ni ku-muua na siyo kujivua gamba. 2015 ccm lazima watoke madaraka hata kama ni mapambano kama Libya.
  18. V

    Mbona madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wengi wao ni wanaume kulikoni!?

    Elimu ya udakitari ni ngumu, inahitaji watu wenye uelewa mzuri wa masomo ya sayansi na inachukua muda mrefu kuipata. Wanawake wengi hawapendi masomo ya sayansi kutokana na changamoto zake na hii ni kwa mataifa yote duniani japo kwenye nchi masikini hali ni mbaya zaidi.
  19. V

    Wanawake darasa la saba washamba/ vihiyo wa mapenzi?

    Mkuu hujawatendea haki hili kundi la wanawake ambalo umelishutumu. Kumbuka mapenzi yalikuwepo hata kabla ya elimu hivyo huwezi kutumia kigezo cha elimu kupima ufanisi wa mapenzi. Mepenzi ni mahitaji ya mtu binafsi kulingana na matakwa ya moyo wake, ndio maana kila mwanadamu ana haki ya kumchagua...
  20. V

    JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

    Mkuu umeeleza vizuri sana lakini hapo nilipo weka rangi nyekundu imeharibu post yote. Kiongozi anaweze kuweka marafiki zake madarakani na wote wakawa wametoka katika dini moja hii haina maana wametumwa na dini fulani na huwezi kuhusisha dini hiyo na hawa watu kwani wamewekana kwa maslahi yao...
Back
Top Bottom