Search results

  1. Kakole

    Wake za watu kudanga waume zao wamekosea wapi?

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, sijajua shida iko wapi na wanakosa nini na kwanini hawaridhiki na maisha na uwezo walionayo yeye na mwenzie[mume wake]
  2. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Engineer! Soma hiyoooooo......poa poa mtoto mzuri east Afrika na kati na jangwa la zahara!
  3. Kakole

    Wanawake wanapenda ma handsome

    Uhandsome ni moja ya sifa kati ya sifa chunguzima, kwahiyo km ww ni handsome jitahitahidi kuongeza sifa zingine km vile utafutaji pesa,mazoezi[kuwa na mwili wa kiume], mipango ya mda mfupi na ya mda mrefu mpenda maendeleo pamoja na kujua kutulia kwa yule umpendae[ubavu wako] kiujumla sifa ni...
  4. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Ww ndio uliquote mara ya kwanza pengine ulkosea badala ya kajole ukaniquote mm
  5. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Hata mimi nimeshindwa kushangaa kwakweli
  6. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Wewe panya buku umetokea wapi tena? Sijawahi kufahamiana na raia yeyote nje ya jf kwahiyo tuliza mapepe yako huko huko uliko.
  7. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    Hivi umenijibu mm au reply yako imeenda kwa mtu tofauti kaaaah! Sio kwa kuniita tapeli mbona sina sifa hizo mkuu wangu ila nashukuru kwa yote
  8. Kakole

    Mada maalum kwa wanandoa

    Ndoa tamu sana kila mtu ana namna anavyoichukulia ila asilimia kubwa ni faraja sn kuwa na watoto na mama yao pamoja
  9. Kakole

    Mwanaume akijua huna kazi anakuacha. Najiuliza kwanini?

    Tuliostaafu kutongoza sababu ya vizinga visivyo na formula tunacomment wapi?
  10. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    hahahaha.......unataka uje inichune kikokotooo changu!!
  11. Kakole

    Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

    engineer soma hiyooooo.........ni kwa vile nimestaafu ningekuja kusoma hiyo maneno aisee
  12. Kakole

    Rais Magufuli: TRA Sijawatuma mkusanye kodi ya dhuluma

    Serikali kupitia TRA wasipobadilika na kwa kuweka kodi rafiki kwa wafanyabiashara basi watakosa hata kile kidogo walichokuwa wanakipata zaman
  13. Kakole

    Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    Haina noma kichaa wangu
  14. Kakole

    Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    naendelea kujifunza hapa
  15. Kakole

    Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    Asante sana kwa uelewa wako mkuu
  16. Kakole

    Sina bahati ya kupata mwanamke asiye tegemezi

    Hakika nahesabu kama ni hasara sana kwangu maana kila ninapomtokea demu kadri tunapoendelea kufahamiana kumbe nagundua ni bonge la tegemezi japokuwa wengine huonekana kuwa wagharama sana kwa muonekano lakini baada ya muda naanza kupigwa mizinga wakati mwingine hata kabla ya kutangaza nia sasa...
  17. Kakole

    Wadada wengi siku hizi wameharibika

    nakuombea heri pia na Mungu akupatie hitaji la moyo wako
  18. Kakole

    Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa

    hahahahahaha........acha nicheke niongeze siku za kuishi
Back
Top Bottom