Search results

  1. Pianist

    Kutumia majina ya watu vibaya kwenye Nyimbo za wasanii

    Ahmada umelewa- Offside Trick, Bibi Kidude Mtoto wa Jakaya- CowBama
  2. Pianist

    Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwa Ngwea

    Dakika Moja. Huu kuusikiliza mpaka ununue albamu. Redio zilikuwa zinaucheza wikiendi kwa kibali maalum.
  3. Pianist

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Luis anazingua bora angeanza Baleke.
  4. Pianist

    Mabroo acheni kuwasakama wadogo zenu ambao hawajatoboa

    Mkuu umeandika mambo ya maana sana. Hii ishu ya sibling rivarly ipo sana kwenye familia zetu. Muda mwingine mtu mtu hatoi msaada kwa siblings wenzake iwe mali, mawazo, connection, ajira au muda kisa tu anahisi/anaona haheshimiwi. Na muda mwingine unakuta wazee ambao ni ndugu wako 60s, 70s au...
  5. Pianist

    Ajira mpya: Ushauri wa kuacha Kazi

    Baada ya mwaka ukithibitishwa omba ruhusa ya kusoma Master ya jioni Dar.
  6. Pianist

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Siku Nature akialikwa ku-perform Simba/Yanga day ndiyo utaijua thamani yake.
  7. Pianist

    Juma Nature akataa kushiriki Wasafi Festival kisa malipo kidogo ya laki tano

    Wimbo wa Hillgame ni zaidi ya nyimbo zote zilizotoka bongo post 2008 ukiziunganisha. Nature apewe heshima yake. Kudharau waliofikisha sanaa hapa ni upotofu mkubwa.
  8. Pianist

    FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Nahisi kipa wao anaitwa Andrea
  9. Pianist

    Kataa daladala: Ni usafiri wa ovyo na unadhalilisha sana

    "Maendeleo sio matajiri kuendesha magari ya kifahari, bali ni matajiri kutumia usafiri wa umma."
  10. Pianist

    FIFA waja na sheria mpya ya Offside, je hili litavuruga soka au ni bora?

    Bila ya sheria ya kuotea hamna mpira hapo. Wakianza kuilegeza hii sheria wanaua mpira.
  11. Pianist

    CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

    Hamna filimbi wacheze mpaka muda uishe.
  12. Pianist

    CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

    Hawa wajinga wakiaandaa world cup watakuja na mioshi uwanjani.
  13. Pianist

    Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

    Kama wewe ni mshabiki kweli wa Manchester United usitumie hilo neno. Scousers walikuwa wanatumia hilo neno kama dhihaka ya ajali ya 1958.
Back
Top Bottom