Search results

  1. S

    watch tbc with airtel tigo na hata zantel na voda hapa

    jamani nisaisieni kwa yeyote aliye online muda huu mimi nimefata procedures zote za kuangalia TBC online ila baada ya ku 'paste' ile urrl yao imeniletea 'sign in halafu 'enter password nifanyeje?heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp
  2. S

    JK NDIYE MSOMI ZAIDI TZ kwa sasa (JK Vs Tumtemeke Sanga)

    jamani ee hii hapewi tu degree ya mambo ya kijamii cuz kwa mambo ya kijamii anaongoza kwelikweli!!!!!!!
  3. S

    Poor MUHAS!! Lots of shame......Prof Pallangyo.....!!

    mwaka huu hadi watamwita prof.:angry:
  4. S

    Mama mkwe ananinengulia je ni mtego au?

    mkwe mkweeeeeeeee babuu usipitwe:A S crown-1:
  5. S

    Kwa nini mikorogo? Uzuri ni nini?

    ladha kama mayai ya kisasa :redfaces:
  6. S

    Inatisha

    kwanini wanafunzi wa kike wa vyuoni wameanza kuwa wapenzi wao kwa wao!:angry:
  7. S

    Ukizoea chabo bana, inakuwa hivi.....

    mi nakufa kwa kucheka jamani
  8. S

    "Out-Of-Office" E-Mail Auto-Reply:

    uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mnaniua kwa vicheko
  9. S

    Mzomeeeeni, huyoooooooooooo.

    Msimjambishe tuu inabid hiyo picha tui-edit kwa stail ya kumvua nguo halafu yuko juu ya hizo pesa anazoziita vijisenti.
  10. S

    Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

    Jamani naomba mnitumie na mimi huo wimbo.katika dbelius2@yahoo.com
  11. S

    Kuundwa kwa baraza la wapambanaji wana chama wa chadema

    bonge la wazo i ever heard.tuungane kwa kuanza tujulishane tuko pande za wapi.uhakika katika kila chuo wapo wanaharakati wengi tu kama sisi.halafu organisation ikiwa kubwa tufanye kuonana tunapanga sikumoja tunakutana TANGAZO LITAWEKWA HUMUHUMU.kisha tunaendeleza mchakato au sio jamani?
  12. S

    Elections 2010 Mwandishi wa Uganda asema Kikwete aliiba kura

    totaly true.jamani ee nani hajui kuwa kura zimeibiwa?hebu toeni mawazo yenu tufanyeje?cuz tunaoumia n sisi wananchi wala sio hao watawala na wala sio hao wanasisiem....ninaposema wanasisiem simaanishi wavaa kofia na shati huku wakishangilia kawa hawana akil nzur NO!namaanisha hao wakubwa...
  13. S

    Kama huu ni Uzushi usisome!!

    really i cn die kwa ajil ya mafisadi.hv jamani watu hawaoniiiiiiiii?au ni elimu ndio haijafika kwa wananchi au ni kip kinachofanya watu wa mikoa ya moro,tanga mtwara na mingine kama hiyo kuwapa kura watu wasiowajali?JAMANI TUFANYEJE TUYATOE HAYA MAFISADI?YAMESHAJONGEA MJENGONI......nawaambia...
  14. S

    Stashangaa washabiki wa CCM na JK kufanya yafuatayo!!! SOMA NA TAKAFAKARI

    Huyo makame kaniboa hadi nahc usingizi.hivi wewe unamiliki viwanda vingapi?au gari kumi na ngapi?unataka kujifanya unaipenda sana ccm ee?kuwa na watu 1000 kama wewe wenye mawazo hayo bora tuwe na nguruwe milion miamoja nchini.think bro kwanini tuendelee kuteseka kiasi hiki wakati kila kitu...
  15. S

    What word starts with an 'F' and ends in 'K' that means a lot of heat and excitement?

    dup!dup!dup!hii ni kali.ebwana wee mnaniua kwa vicheko.
Back
Top Bottom