Search results

  1. Madenge Origino

    Magufuli kateua wabunge wangapi hadi sasa?

    Wana jamii natumai hamjambo. Huyu Dkt Magufuli ana nafasi kumi (10) pekee za kuteua wabunge. Je, kuna mwenye taarifa ni wabunge wangapi so far kawateua? Mimi Nawajua: 1. Tulia Mwansasu -Naibu spika wa bunge 2. Prof. Makame Mabarawa - Waziri wa maji na umwagiliaji 3. Dkt. Abdalla Posi - Naibu...
  2. Madenge Origino

    Tumuenzi Kamanda Mawazo kwa vitendo

    Mods tafadhali sticky hii mada! Kamanda Alphonce Mawazo, enzi za uhai wake, hakuwa tu ni Mwenyekiti wa Chadema wa mkoa wa Geita lakini pia alikuwa ni mwanachama mwenzetu hapa Jamii Forums na pia aligombea Ubunge jimbo la Busanda katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 basi ni vyema tukampa heshima...
  3. Madenge Origino

    Kufuta uchaguzi ni kukaribisha machafuko

    Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, yamefutwa. Uamuzi huo unaifanya Zanzibar kuwa miongoni mwa nchi ambazo matokeo ya uchaguzi yaliyoelekea kuvipa ushindi vyama vya upinzani kufutwa. Kufutwa kwa matokeo kwa kutumia Tume ya Uchaguzi au Mahakama ya Katiba au Jeshi hulenga...
  4. Madenge Origino

    Nduli wa Tanzania

    1. Idi Amin Dada - huyu alipigwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania mwaka 1978 2. Ni Chama Cha Mapinduzi- Huyu anapigwa na Wananchi wa Tanzania mwaka 2015. "Uwezo tunao, nia tunayo, lengo tunalo la kuikomboa Tanzania kutokana na ukoloni wa CCM"
  5. Madenge Origino

    Taarifa ya habari ya Asubuhi: 26/10/2015!

    Hii ni taarifa ya habari ya asubuhi kutoka televisheni yako ya Mabadiliko ya jijini Dar es salaam, Tanzania, msomaji ni mimi mwanamabadiliko! Habari za Kitaifa! Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) imemtangaza rasmi mgombea wa kiti Urais wa Chadema, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowasa kuwa...
  6. Madenge Origino

    Barua ya wazi kwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba

    Asalaam alaykum professor! Ni imani yangu ya kwamba umerejea salama kwenye safari yako ya kutekeleza nguzo muhimu ya Uisalamu ya Ibada ya Hijja. Napenda pia kuchukua nafasi hii kukupa pole wewe pamoja na Mahujaji wenzako kwa misuko suko yote muliyopta wakati mulipokuwa huko kwenye ibada ambapo...
  7. Madenge Origino

    Msaada kwa wenye kufahamu top ten ya waasisi wa CCM

    Wanajamii Bora naomba kujulishwa wale top ten ya waasisi wa CCM 'in sequence' . Majina yao, ni wangapi wapo hai na wangapi wamekufa! napendelea tujadili jee unafikiria wanaweza / wangeweza kuleta mchango gani katika kuinusuru CCM isikate roho kwa sasa? Sina hakika na hii list hapa chini kama ni...
  8. Madenge Origino

    Elections 2015 Mlinzi wa kura na mwizi wa kura ni nani anavunja amani?

    UKAWA wao wanadai linda kura yako ukishapiga. Ila CCM, polisi na NEC wao hawataki watu walinde kura. Huko nyuma CCM walishatamka kupitia Nape ya kwamba "ushindi ni ushindi tu hata kwa goli la mkono"! Sasa hebu tujadilane baina ya mlinzi na mwizi wa kura ni nani anaweza kuvuruga amani ya nchi hii?
  9. Madenge Origino

    Je, ni Jembe la mkono ama Trekta!

    WanaCCM wanamwita mgombea urais kwa kupitia Chama chao, ndugu Magufuli, jina la Jembe. Jembe la mkono kwa karne nyingi nyuma limetumika kwa kulimia mashambani na ukweli ni kwamba 'perfomance' yake ni ndogo kulinganisha na mbadala wake. Katika nchi ambazo zimepiga hatua kubwa kimaendeleo ya...
  10. Madenge Origino

    CCM ondoka nyumbani kwangu!

    Nasema toka CCM unanuka rushwa...tokaa, nasema toka CCM umejaa ufisadi... tokaa, nasema toka CCM umejaa ulaghai... tokaa, nasema toka CCM unanuka uongo... tokaa, nasema toka CCM umejaa kiburi... tokaa, Kitanda chako kina kunguni... tokaa, nataka nilichome moto godoro... tokaa, toka CCM kwa...
  11. Madenge Origino

    Mkono kwa mkono Lowasa hadi Ikulu

    Ewe Mtanzania mwenzangu zimebakia siku chache tu kuweza kuamua hatma ya maisha yako. Ni Imani yangu ya kwamba kila matnzania mwenye akili timamu na mwenye sifa ya kupiga kura basi atakuwa ni mwenye kupenda maendeleo, ukombozi au mabadiliko ya maisha yake. Itakapofika tarehe 25 oktoba mwaka huu...
  12. Madenge Origino

    Tutawasomesha Namba: 25.10.2015

    Watanzania tumeshaamua basi mara hii ni lazima #tuwafundishe namba hawa CCM. Hii namba 25.10.2015 wataikumbuka milele #Tutawafundisha Namba
  13. Madenge Origino

    Toroka Uje!!!

    Tangazo hili ni ajili ya WATANZANIA wote ambao bado wako kwenye chama chenye umri wa zaidi ya miaka 38 na ambao; -wana uchungu wa nchi hii, -wenye kutaka mabadiliko, -wenye kupenda maendeleo, -wasiopenda rusha na Ufisadi, -wenye kuhitaji maisha, elimu na Afya bora, -wasiopenda ubaguzi wa aina...
Back
Top Bottom