Andika wewe kingereza safi uweke hapa...hujaelewa ndio maana una challenge na nilitegemea challenge kutoka kwa wenye wivu wa kike kama wewe sikushangai
mimi sihitaji ajira ya udiwani naitaji kuwatumikia wananchi kama maisha ninayo siku nyingi tena maisha bora na sio bora maisha kama unavyodhani usilolijua ni sawa na usiku wa giza wacha kuropoka
tuition ya kingereza maana yake nini? ungesema masomo ya ziada ya lugha ya kingereza ungeeleweka pia sioni unachokosoa na uli comment kama vina tofauti. kuhusu kutoielewa lugha ya kingereza lawama izo ipe serikali yako ya ccm kwa kukubania elimu sio mimi mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.