Search results

  1. festroby

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    Ili kuweza kuibadili gas Yetu iwe katika kimiminika na kusafirishwa kwa njia ya mitungi, Project inaweza kugharimu kiasi gani cha fedha? Kwasababu hili likiwezekana ni hakika tutaifaidi Gas hii maradufu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  2. festroby

    Mambo ya kujua kabla ya kuingia kwenye kilimo na ufugaji

    Dalali dalaliii, kakaa tu hajui taabu ulizozipata mkulima Yeye anapiga pesa kiulainii
  3. festroby

    Waziri Mwijage: Kwa sasa Tanzania ina zaidi ya viwanda 52, 000

    Unajua kujenga hoja hongera sana kwa swali zuri
  4. festroby

    Bachelor of Education in Informatics and Mathematics

    Ipo imejumuishwa kwenye bachelor of science with education, ukifika chuo ndo unachagua unataka kusoma mathematics na informatics au masomo mengine,
  5. festroby

    Bachelor of Education in Informatics and Mathematics

    Nipo sua napiga hii ipo poa sana kwa darasani kwetu tuna mkopo wote, karibu
  6. festroby

    HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

    Samahani una uraia wa nchi gani?
  7. festroby

    HESLB mwogopeni Mungu. Ku-apply 87,100, mkopo 77,100

    Kumbe bado mpo? Huku kwetu wenzako wote washatubia dhambi zao
  8. festroby

    Duka la Madawa(MSD) linapokuwa Chato na Ruangwa na sio Geita na Lindi

    Kumbe hana nguo zingine zaidi ya hizo za kijani basi sio kosa lake,
  9. festroby

    Tujikumbushe Tukio hili Lililotokea Njombe secondary 2014

    Speshooo, alichoma AF ukapigwa wewe pole mwanangu mi nlikuwa zangu kihesa!
  10. festroby

    Vitu muhimu vya kujua kuhusu alama ya mnyama(RFID chip/666)

    Umejibu vyema na upo sahihi kabisa
  11. festroby

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Unaweza ukawa sahihi lakini tulitakiwa kufuata democrasia ndani ya nchi zetu za Africa ili kuhakikisha hao unao waita vibaraka wakose cha kutusemea, sasa wewe unatembea na kinyesi afu unataka inzi wasikufuate?
  12. festroby

    Majibu second round ni lini?

    Mbona ya dgo bado IPO tofauti haipo km yako yeye bado kaandikiwa hv
  13. festroby

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    inapendeza tusome biblia tupate maalifa na sio mapokeo ya wanadamu kwani hekima ya mwanadamu kwa MUNGU ni upumbavu
  14. festroby

    Kanisa la Waadventista Wasabato Mererani SDA Arusha, limteketea kwa moto

    pole ziwafikie waadventst wasabato popote walipo
  15. festroby

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    hyo mahakama ianze na walopga pesa za escrow
  16. festroby

    Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    we jamaa acha uongo,unatuletea picha za wenyevit wa mitaa
  17. festroby

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    mbona unalialia kwani we ulijipangaje?
  18. festroby

    Ni wakati wa kurudisha shukrani kwa chama cha mapinduzi

    ulisoma somo linaitwa uraia?
  19. festroby

    Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    kitambulisho si kina picha atawezaje kupewa mtu mwingine?
Back
Top Bottom