Search results

  1. H

    Trump ashinda tena Nevada, aelekea kuteuliwa Republican

    Ndo waafrika watakubali sa
  2. H

    Mbatia na Magufuli nani ni bingwa wa kumbukumbu?

    Waga sina mbavu nikiisikia video hii,kwamba sio sadam ni gadaff sadam ni wa kuweit uuuwwwiiiii
  3. H

    Natafuta Bajaji Aina ya TVS

    Ya mizigo au?
  4. H

    Mtangazaji wa ITV Farhia Middle mwenye number yake!

    Farhia hyu ananikuna balaaaa,kumbeñ weng waga tunawaza eee mwenyewe hnina zawadi yake et, napenda anavyo tangaza ama hakika anatangaza uzur balaaa!!!halafu anatabasum mhuuu,angalia hasa wakat anakaribishwa kusoma habar za biashara duuu!!
  5. H

    Wabunge wa Marekani wamuombea Magufuli

    Tunataka clip
  6. H

    Ndege ya Marekani yakamatwa Zimbabwe ikiwa na maiti na fedha za kiafrika

    Ndege ya Marekani yakamatwa Zimbabwe ikiwa imebeba mamilion ya pesa na maiti ya mtu mmoja, nini nia ya wa Marekani kufanya hivi? ============ Body discovered after BLOOD dripped from US plane with millions of rand stuffed in hold was 'stowaway' who had boarded previous flight A body...
  7. H

    Ikatokea kombora la nyuklia linarushwa kuelekea Marekani

    Inamaan nuclear hiyo itateketeza watu wote duniani pamoja na wao? Au wao watabaki namanisha hizo nchi mbili za nuclear
  8. H

    "Ole wako uzitumie vibaya" haikuwa kauli sahihi kutoka kwa rais kumueleza Meck Sadick hadharani!

    Mbona yuko sawa tu bana tena hyo meck bas tu huwez kuwa mkuu wa mkoa tena dar yenye mapato makubwa kias kile na una mkoa mchafu nadhani kuliko yote hapa nchin maana yake nn? Hakuna kitu hapo nae ni jipu tu,kauli nzur sana hiyo,rais anajua kila kitu mpaka kutoa kauli hiyo
  9. H

    Kashfa ambazo Rais Magufuli hazitaji wala kuziongelea hadharani

    Sasa mambo hayo yalishapita huko nyuma yy anachoangalia ni yale ya kwake tu.
  10. H

    Dakika 5 baada ya kuachiwa huru( mandela)

    Ilikuwa mwka gani hapo
  11. H

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    nimecheka sana huu uzi kwamba ni ugonjwa mpya duuu.
  12. H

    Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    Unatakiwa umwambie mmeo hali halis ukimuomba kutoka hapo kwa mda,ukakae sehen ingne kwanza huku ukiomba sana,na jibidishe kufanya kaz za kuchosha.
  13. H

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Inaonekana hutend haki wale wote ambao hawatend haki lazima umchukie magufuli,siung hoja hata kidogo
  14. H

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Hata mie naunga hoja kijana sana pa 100%
  15. H

    Ali Kiba - Lupela

    Huyu jamaaaa angeacha tu kuimba,ilikuwa dhamani ka makimga,sindelela nk....lakin saiv kiba ningeshauli atulie kwa mda flani halafu aje upya tena kwa sasa hakuna kanisa nyimbo zake haz heat ila komaaa kaka.
  16. H

    Nabii awapa mimba waumini wake zaidi ya 20, wakiwepo wake za watu huko nchini Nigeria

    Kumbe ni kweli mi nilidhani uongo diiu! Gija mng aje wataona hasira yake mhuuu!!!
  17. H

    Watano wapanda kizimbani kwa kuwakejeli wasukuma

    Siu amini huu uzi hata kidogo hakuna kabila linalopenda matani kama wasukuma mbona tunaona kawaida sana
Back
Top Bottom