Search results

  1. TUJITEGEMEE

    Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

    Tunahitaji na za mandalini medium na za Russia medium...ili kufanya Taifa la kufika popote!!
  2. TUJITEGEMEE

    Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Hili shirika lilikuwa na changamoto kiasi cha injinia wake kusema maneno hadharani yaliyomgharimu...! Hizo changamoto zilifanyiwa kazi kuziondoa?
  3. TUJITEGEMEE

    Hivi ndivyo hela zilivyopigwa kwenye Bohari ya Madawa

    Faiza Foxy anasema wewe tumia furusa!
  4. TUJITEGEMEE

    Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    https://southfront.press/iran-launched-hundreds-of-missiles-drones-in-first-ever-direct-attacks-against-israel-videos/
  5. TUJITEGEMEE

    Mahakama Kujikita Kwenye Kasoro za Kiufundi Katika Kutoa Maamuzi Yenye Tija kwa Taifa ni Ishara ya Udhaifu na Uoga Dhidi ya Serikali

    Kama kichwa cha habari cha uzi huu kilivyo, ndivyo Antipasu alivyobobea kwenye eneo hili....!!! Anaweza kutumia kukosekana kwa nukta juu ya herufi "I" kupora haki ya mwenye haki!!!
  6. TUJITEGEMEE

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Hivi mleta mada ya kumbukiza yamekutosha Sasa unataka yasiyo ambukiza mfano stress!?
  7. TUJITEGEMEE

    Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

    Iran, on the other hand, is one of the world’s top developers and manufacturers of advanced missiles, drones, and other weaponry, which has proven more than a match even for military systems possessed by the US, and produced at a lower cost (a former advisor to Israel’s chief of staff complained...
  8. TUJITEGEMEE

    Dark days 17/03/20...

    Uzi haufutwi bali uhifadhiwa....!! Hasa kikwazo cha where we dare to talk openly kinapo kuwa hatarishi (Nawaza)!
  9. TUJITEGEMEE

    Netanyahu asitisha mpango wa kulipiza kisasi kwa Iran baada ya kukosa sapoti ya Marekani

    Inasemekana Kambi mbili za Jeshi ni irreparable!!
  10. TUJITEGEMEE

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    It was also made clear during the call that any retaliatory action by Israel would not be supported by Washington, the American outlet reported. === Muziki ulikuwa mkubwa...! Iran si Libya.
  11. TUJITEGEMEE

    Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

    ...hawajachelewa Hata muda huu wafanye kama alivyofanya Iran kurusha makombola kutoka ndani ya aridhi yake. Israel ndiye muoga anatumia mbinu za KIGAIDI!!!
  12. TUJITEGEMEE

    Afrika tutafika lini uwezo huu? Makombora yote hayo ya Iran yamefaulu kumjeruhi binti mmoja tu!

    Kweli u-gaidi...!! Ndiyo maana unashabikia Israel na Ukraine kuua raia wa kawaida na watoto. Kwa taarifa yako Iran wanatumia akili, hawatumii mihemko! Pia kwa namna fulani wanautu Hata wafanyiwapo hiyana! Malengo ya Iran Ilikuwa kupiga Kambi za Kijeshi ndani ya Israel. Kwa taarifa za uhakika...
  13. TUJITEGEMEE

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Medvedev alishawaambia haitaji POW wenye asili ya Ufaransa au nchi nyingine zaidi ya waukraine!
  14. TUJITEGEMEE

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Asante sana kwa kueleza ukubwa wa changamoto...Hata hivyo, najua una maanisha nini unapoandika "...tumezubaa sana...". Maana hiyo itafanyiwa kazi kwa manufaa ya wote.
  15. TUJITEGEMEE

    Kwanini Tume ya Uchaguzi haijabadili jina kwenye barua yake ikiwa wanasema kwa sasa wanaitwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi?

    Mleta mada, kiutaratibu Mgeni ukaribishwa na utambulishwa na mwenyeji kwenye hadhara.
  16. TUJITEGEMEE

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Naam, ni ushauri mzuri lakini kamwe sitatumia furusa zinazowadhoofisha watanzania wenzangu na Afrika wanaopigania maendeleo na Uhuru wa kweli wa kiuchumi kutoka kwa ukoloni mambo Leo. Bali ujue Afrika na wa Tanzania tutapata Uhuru huo, unataka ama hutaki hivi karibuni au baadaye!
  17. TUJITEGEMEE

    Makamba: Itachukua misimu miwili ya mvua kujaza Bwawa la Nyerere

    Hata Truong alifikiri amewaacha mbali wavietinamu. ==== Truong My Lan (C) looks on as she is sentenced to death at a court in Ho Chi Minh city, Vietnam, April 11, 2024 © AFP / STR Real estate developer Truong My Lan has been sentenced to death by a Vietnamese court for her role in Southeast...
Back
Top Bottom