Search results

  1. Jagermaster

    Nyumba inauzwa- prime area ukuni bagamoyo

    Nyumba inauzwa eneo la Ukuni Bagamoyo. Ipo planned area Ukuni Bagamoyo. Kiwanja kina hati. House designed for middle class family. Ina vyumba vitatu vikubwa,(one self contained). Kiwanja kina ukubwa wa sqm 1009 na kimejengwa nusu, nusu nyingine imebaki for future use.For any serious buyer call...
  2. Jagermaster

    Natafuta kiwanja maeneo ya Goba

    Habari wana JF Natafuta kiwanja eneo la Goba Dar Es Salaam chenye ukubwa wa medium au low density, pia kisiwe kwenye mwinuko mkali. Mwenye kuwa nacho anipm pamoja na bei anayokiuza. Natanguliza shukrani.
  3. Jagermaster

    Wadau ebu tuipe maneno hii picha

    Tusaidiane kuipa maneno hii picha. JK akiwasili kwenye ufunguzi wa mkutano mkuu wa polisi CCP Moshi mapema week hii
  4. Jagermaster

    Nyerere katika kuwabeba wahindi na matokeo yake kwa Mtanzania wa sasa

    Nimekuwa muumini mkubwa wa Mwalimu Nyerere baba wa Taifa hili kwenye mambo mengi aliyofanya Tanzania wakati wa utawala wake. Kama mtanzania mweusi wa Taifa la Tanganyika naomba tu nilikili kuwa katika vitu ambavyo Mwalimu aliboronga katika utawala wake, ama kwa makusudi kabisa au kwa wivu wake...
  5. Jagermaster

    Is President Kagame behind General Imran Kombe's assasination?

    I was shocked, niliposoma kuhisiwa Kagame na CIA kuhusika kwa mauaji ya huyu former Mkugenzi wetu wa TISS. Kipande cha report soma hapa chini na ukitaka report nzima kuhusu oparation za CIA na Ushiriki wa Kagame na Mseven in great lakes. Report kamili kuhusu US policy on Africa - Blood Money...
  6. Jagermaster

    Ebu ipe maneno hii picha

    Mimi naona hapo Mamvi kimoyomoyo anasema.. Kijana nitakunasa vibao mimi, shukuru tupo katika hii kadamnasi. Harafu Sumaye naona kama anacheka vile. Serukamba kwa nyuma anazomea ..mmmmmmmh Mnafiki huyo. Wadau ebu leta maneno kwenye picha hii
  7. Jagermaster

    Nahitaji SPSS version yeyote

    Niko Dar naomba msaada mwenye hiyo program anisaidie nahitaji kwa ajili research yangu. I need any version but i will be more grad for latest one. We can negociate for payment contribution.
  8. Jagermaster

    Message from Gadaffi to Africans

    A Message from Colonel Mu’ummar Qaddafi - MUST READ SHARE your thoughts genuinely - Hearts Africa
  9. Jagermaster

    Wana JF wenye ufahamu na Itifaki tusadiane hili

    Hii picha inaonyesha kikao kimojawapo muhimu katika maandalizi ya Bunge huko Dodoma. Katika viongozi waliokaa hapo, anaonekana katibu wa Bunge, Spika, Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar. Nataka kuuliza hivi makamu wa pili wa rais wa Zanzibar hapo...
  10. Jagermaster

    Tujadili Tanganyika

    This opinion is exclusive for Tanganyika's.. Eti wana jukwaa la siasa katika muungano huu wa serikali mbili upande wetu huu wa Tanganyika kupitia ofisi yetu ya Waziri mkuu Tawala za mikoa na Serikari za mitaa tukiamua kuipa hadhi mikoa yote ya Tanganyika kuwa na serikali zao na wakuu wa...
Back
Top Bottom