Search results

  1. M

    Na hili nalo linasubiri Rais aseme? Kunyanyasa wenye maduka siku ya Jumamosi

    Kwa hili Heshima na Taadhima niwaombe Viongozi wetu kua nzia Mtaa Kijiji Kata Tarafa Wilaya Mkoa Ngazi ya Taifa Walitafakari Zoezi hili la Usafi linaendeshwa Vipi?Katika Utafiti niliyoufanya na kuongea na Watu wengi ni Kama Sasa hivi watu ikifika JUMAMOSI ni kama vile ni kigezo cha watu kulala...
  2. M

    Ndugai: Hamna cha kesi, Mimi ndio spika watakaa benchi mwaka mzima

    Kuna sheria ambayo kazi ya Mahakama ni kutafsiri na kuna Kanuni ya Bunge ambayo msimamizi mkuu wa Kanuni zote ni Spika wa Bunge,akisaidiwa na Kamati ya Nidhamu na Maadili Bunge.Hivyo basi Maamuzi yatolewayo Bungeni kuhusiana na Nidhamu Maadili ndani ya Bunge Spika ndiyo Top.
  3. M

    ACACIA haikusajiliwa kimkakati ili kukwepa wajibu wowote kisheria iwapo itadaiwa chochote

    Kutoandikishwa BRELA ni mkakati wa makusudi kwa nia lengo lilowekwa wazi na Kamati jana.Ifikie mahala wasomi wetu wawonee huruma Watanzania.Pamoja na Sifa ya kisomi (phd na Masters).Mh.Raisi sifa ya uadilifu/Uzalendo iwe Kigezo cha mtu kupewa kitengo .
  4. M

    ACACIA kufanya mkutano na waandishi wa habari huko Uingereza

    Angalia hii Taarifa ACACIA,wameonesha na kuwa pamoja na Serikali na hata hivyo wanaonyesha wapo tayari kuongea.Ni tofauti kabisa na hao Wapiga Filimbi wanavyotoka mapovu humu JF.Wao matukio ndiyo Jukwaa la Kufanya Siasa kana vile wapo.
  5. M

    Maamuzi dhidi ya TMAA ni ukiukwaji wa haki za asili.

    Usitetee Wapiga Dili, Ni wapi nchi gani mzalishaji wa mađini anakupangia wewe ofisa wa TMAA Grade za madini yaliyozalishwa!!!!! Na Ofisa anakubaliana na kupitisha Grades kisha mzigo unapigiwa hesabu ya royalty.Na vitego hivi vinashikiliwa na mfanyakazi wa mwekezaji na hutakuta Mtanzania ktk...
  6. M

    Maafisa wa serikali wanaotuhumiwa kuhongwa tutawatia hatiani kwa ushahidi upi?

    Unatafuta Ushahidi? Ukwasi walionao unatosha kabisa kuwapeleka mbele ya Pilato kujibu mashtaka kwa kipato kipi au biashara ipi.Tusiwe watu wa kutetea dhulma.
  7. M

    Kutoka Ikulu: Kamanda Simon Sirro aapishwa kuwa IGP, amrithi Ernest Mangu

    UKABILA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTANI.FULL STOP Rejea hotuba za Baba wa Taifa Mwl.Nyerere.
  8. M

    Kama kweli ACACIA wanaonewa kwanini vyombo vya habari vya nje havitangazi?

    Wanaosema bila CCM Wangekuwa mbali nchi hii Tanzania.Swali la kujiuliza wangeanzia wapi bila CCM?Ima ni wavivu wa kujisomea Historia ya nchi yetu wamebakia kulishwa maneno
  9. M

    Tanzania daima waanza tena kuhujumu Vita ya wizi wa madini.

    Chezea High Table ilivyovamiwa ya Kikao unategemea nini.Wenye Sera za Matukio na ndo mana Gazeti hilo limekuja na habari hiyo.Lakini Mungu anawaona
  10. M

    Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

    Hayati Baba wa Taifa aliwahi kusema nanukuu"YAACHENI HAYAOZI HAYA ,HADI HAPO WATANZANIA WANGU WATASOMA".
  11. M

    Rais Magufuli, mwishoni mwa sakata la "mchanga" tutawahitaji Kikwete na Mkapa

    Hivi sasa tumepata kuelewa kwa nini Mh.Raisi wetu hatembei,na watu wengine kulalama Raisi atoke kwenda nje.Utaona kazi kubwa aliyonayo Mh.Raisi anapitia kila Kitu pale Magogoni .Naona jibu tunalo.Mh. Raisi Mwenyezi Mungu akupe Afya na Ujasiri kwa Watanzania uliyowaahidi kuwatumikia.Tunakuunga Mkono.
  12. M

    Rais Magufuli, mwishoni mwa sakata la "mchanga" tutawahitaji Kikwete na Mkapa

    Kuna mtu ametajwa hapa na hana Kinga ye yote huyu ndie aliongoza Kampeni za Uraisi na hata hii 2015 na alitajwa kuwa ndie anaepanga ni nani awe Raisi bali alikutana na Mwamba.Huyu mwanzoni alipewa Tenda ya kubeba mchanga wa Almasi mwadui kwa mbwebwe zote na kupata mkopo wa Hazina (Rejeeni...
  13. M

    Ilianza Zimbabwe sasa Tanzania inafuatia

    Mmeambiwa Tusubiri Ripoti ya pili mbona watu wameanza Kusema sana kana vile Serikali imeshatoa Tamko.Tusubiri ila tumpongeze Mh.Raisi kubadili ule mtindo wa kupokea Ripoti kisha kufungiwa Kabatini.Mh.Raisi amethubutu na ana utashi wa kubadili yale ya business as usual .Tusubirini Ripoti ya pili...
  14. M

    Kafulia amkubali Rais Magufuli! Wapinzani wengine join the battle

    Iwe ilitamkwa miaka 20 iliyopita lakini sasa ule utashi na uthubutu wa kutekelezwa Mh.Raisi anaonesha njia pasipo shaka.Mungu amjalie na tunakuunga mkono Mh.Raisi kwa maelfu na mamilioni ya Watanzania isipokuwa wale waliyoshikwa kooni mayowe mengi
  15. M

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Ni ukweli usiyo shaka Tume nyingi zilishaundwa na kuwasilisha.Na mara baada ya kupokelewa hufungiwa Kabatini.Hivi sasa kwa Awamu hii Mh.Raisi anachukua hatua mara baada ya kupokea Ripoti na hili ndilo limewakuta baadhi ya watu kutotegemea nini Awamu ya Uongozi wa Tano chini ya Uongozi shupavu wa...
  16. M

    Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Mh.Raisi hakika umepiga penyewe watu wanajifanya hawakuelewi.Usitishike Tulifunga mikanda na hatukufa.Mali zetu zikae haziozi,kulikoni watu wachache wakashiba.Umejitoa kwa Taifa kulitumikia.Mh. Raisi mbele kwa mbele wasiyo wachache wagawane Rasimali zetu kama zao na kuloga sana na vitisho...
  17. M

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Kwa nini leo aje hapa kuongea yeye kama Kamishina wa madini na waliomfuata wote ni lazima wanahusika kwa namna ye yote na kwa nini hawakujitokeza mwanzoni? Na ndiyo maana akavaa viatu vya aliekuwa mbunge wa jimbo kwa namna moja ama nyingine ndie master mind hadi leo forbes ianamtambua na siku ya...
  18. M

    MASAHIHISHO: Report ya mchanga ina maswali mengi ya kujibu

    Hapa Wizara na TMAA hawa watendaji kwa Tamaa zao na ubinafsi wao ulliyojikita ndiyo wabebeshwe Msalaba Nchi iliwaamini wakapewa Dhamana ya kuhakikisha Kodi stahiki inakusanywa.Wametenda kinyume kwa kushirikiana na hao ambao Hawakujuua za mwizi ni Arobaini.Haya ya kulaumu sijui Tume na mengineyo...
  19. M

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Tufahamu lengo kuu wa Uzuiaji mchanga huo ambao tayari upo Bandarini kuondoka ni Kujiridhisha je Kodi yetu iliyokusanywa ni sahihi na kilichomo ndani ya Makontena?Na Je, hawa TMAA wamefanya kazi yao vizuri wakiwa na Idara ya Madini Wizarani?Hilo moja la pili tusubiri Ripoti ya pili nayo,Kuanza...
  20. M

    Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

    Kiswahili ni lugha pana na ngumu kuielewa.Mh.Raisi lugha aliyoitumia ya mafuso na landrover moja ni kutolea mfano kwa Wananchi waliyo wengi wapate kuelewa KINADHARIA ni nini haswa,Kwa mazoea tuliyozoea ya mtu wa Kawaida.Ndipo hapo ukiulizwa kilo moja ya pamba na jiwe ipi nzito,Kisha uje uangalie...
Back
Top Bottom