Search results

  1. T

    Fununu Fununu za Freeman Mbowe kuwa PM

    Mkuu hebu amka kumeshakucha sasa, acha kuota
  2. T

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Jana kwenye vyombo mbalimbali tulimuona Mrema (Mbunge wa Vunjo anayemaliza muda wake) akimnadi mgombea wa uraisi kupitia CCM bila ya kujali kama chama chake (TLP) kimesimamisha mgombea wa urais, sasa hii inamaanisha nini? Je mgombea waliomsimamisha hana uwezo wa kuongoza nchi? Na kama jibu ni...
  3. T

    Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Ni muda umepita bila kusikia chochote kutoka kwa mgombea mwenza wa Lowasa ambaye ni Haji Duni (Babu Duni), je anaendelea na kampeni kimyakimya au vp? kwa anayejua hebu atujuze hapa tafadhal
  4. T

    Magufuli: Nakerwa na vigezo vya uzoefu kuomba ajira

    Kwa hoja hiyo hata mimi ninaunga mkono
  5. T

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Halafu post kama hii ikifutwa pia unalalamika
  6. T

    Siasa zisizokuwa na tija

    Hivi karibuni tumeona baadhi ya wanasiasa wakitumia muda mwingi sana kuongea mabaya wa watu ili wao waonekane ni bora kwa jamii, unakuta mtu anapanda jukwaani lakini cha kushangaza mpaka anashuka haelezi sera zake bali kuponda vyama vingine. Nadhani watu wanaokuja kwenye mikutano ya kampeni...
  7. T

    Shirika la Umeme (TANESCO) limetangaza Nchi kuwa gizani kwa siku 7

    Wala wasingetoa tangazo kwa sababu kila siku Nchi ipo gizani
  8. T

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Sidhani kama ulimeikiliza Dr. Slaa kwa umakini, hakusema alikutana na Mwakyembe kwa ajili ya kufanya utafiti, kabla ya kuandika hapa ungejiuliza kwanza kama kuna utafiti unaoweza kufanyika ndani ya masaa machache na kupata hitimisho? Dr alikutana na Mwakyembe kwa ajili ya kupata nyaraka ambazo...
  9. T

    Star TV should declare their interest

    Mkuu ukitakiwa kulitolea ushahidi hili uliloliandika hapa unaweza kufanya hivyo?
  10. T

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    Hizi tetesi sasa tumezichoka, jana mlisema Lipumba, leo Dr. Slaa kesho mtasema nani?
  11. T

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Acha kuwa na mawazo mepesi kiasi hicho, kwani huamini kama kuna watu wa cdm wamebadili mawazo yao baada ya kusikia kile kilichosemwa na Dr. Slaa? Jaribu kufikiria zaidi mkuu
  12. T

    Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Tatizo ni kupanda ndege? Tatizo ni kwenda USA? Au tatizo ni nini?
  13. T

    Dr. Slaa tolea maelezo hii picha tafadhali

    Mkuu kula mihogo inawezekana ni lugha ya picha inayoakisi ualisia wa maisha ya mtanzania wa kawaida, Hata sisi wenye maisha ya kawaida huwa kuna kipindi tunakula vizuri, so hiyo picha isiwe ndio mwisho wako wa ku conclude kama Dr. Slaa amedananya umma
  14. T

    Kweli CHADEMA ni chama komavu!!!

    Kumbuka kama hao wananchi ni mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja
  15. T

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Leo ndio Dr. Slaa hafai baada ya kuweka misimamo yake?
  16. T

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Inawezekana ukawa ni mmoja wa watu walimpinga sana Lowasa alipokuwa CCM ila baada ya Kwenda Cdm mambo yamebadilika, tujaribu kuwa na consistency
  17. T

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Wewe umeamua kukaa upande wa Lissu, na mm kama nikiamua kukaa upande wa Dr. Slaa nadhani tutaendelea kubishana tuu
  18. T

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Hapo ndio tunatakiwa tujaribu kufikiria zaidi
  19. T

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Sidhani kama hilo lingewezekana, Lowasa atoke kugombania uraisi then ahame chama aje kuwa mwanachama wa kawaida? Si bora angeedelea kubaki CCM. Hebu tujaribu kufikiria zaidi ya hapo
Back
Top Bottom