Search results

  1. G

    Hivi ndivyo Marekani inavyojimaliza yenyewe,na haizuiliki kwani si mipango yake tena

    Ni uzi una facts lkn aliyesema umebuma hajaelewa mawazo ya mleta mada
  2. G

    Labda Simba kwenda Kombe la Shirikisho ni jambo jema kwa sasa

    Umesoma kanuni na kuelewa kifuatacho baada ya hayo mashindano kufutwa, au unabwabwaja tu?
  3. G

    Yupo wapi Micky Jr aliyetumika na Simba sc kusambaza propaganda za kumtia preha Azizi k??

    Unafanya maksudi au? unajua kabisa kuwa jamaa yuko kule X, sasa huku ulikoleta unataka nani akujibie?
  4. G

    Mkisema Itavaliwa Mara 2, Pia Msisahau

    Inabidi ufanye utafiti ujue hiyo rekodi mkuu
  5. G

    Mkisema Itavaliwa Mara 2, Pia Msisahau

    Hadi ume comment utakuwa umeelewa
  6. G

    Mkisema Itavaliwa Mara 2, Pia Msisahau

    Mnapoleta porojo zenu, msisahau kusema pia ni jezi iliyowahi kuweka rekodi, yaani jezi ambayo imevaliwa mara 2 na ikaiingizia timu Billion 5 point, hapo Simba ana hasara gani?
  7. G

    Simba yazindua Jezi mpya kuelekea African Football League

    Kwa kuwa damu yako ni chafu, sasa utapendaje vitu vyekundu wkti muda wte vinakukumbusha mauti yako!
  8. G

    Group D Yanga ndio kibonde kuliko wote, Hatoboi

    Mimi nimeacha mkuu!
  9. G

    CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Mkuu weka update kwenye front page kule
  10. G

    CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Mbna hutowei update sasa
  11. G

    Kuna namna Yanga inahujumiwa, ni ngumu kushinda ubingwa msimu huu

    Kumbe kuna gol wamefunga likakataliwa?
  12. G

    Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    Yaani zaidi ya siku 10 bdo unahitaji uongezwe zingine, kweli hii timu yetu hata viongozi ni mapunga
  13. G

    Israel Mwenda asipojifunza kwa Gadiel Michael na Beno Kakolanya kipaji chake kitaishia kwenye benchi la Simba SC

    Mwana yanga utoapo maoni kumwelekeza mchezaji wa Sinba, kikubwa ni kwamba atakudharau, tangu lini wewe umtakie mchezaji anayechezea Simba mema? Uwe unaona Aibu wkt mwingine kutoa ushauri kwa vitu vinavyoihusu Simba.
Back
Top Bottom