Search results

  1. M

    Ni muda sasa wa kuwa na Mihimili miwili ya Serikali

    Maoni huru. Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla. Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati kabisa kwamba mihimili wa Bunge haulisaidii taifa, na pengine tungeendelea zaidi Kwa kutokuwa na kundi...
  2. M

    Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  3. M

    Washindi wa michongo pesa

    Habari za muda huu wanajamvi Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi. Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho. Sasa najiuliza, mbona...
  4. M

    Unyanyasaji wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia. Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
  5. M

    Kauli za ''Rais Mwanamke''na Ubaguzi wa kijinsia

    Kuna hizi kauli anazopenda kutumia Rais wa Sasa wa awamu ya SITA: 1. Rais Mwanamke. 2.Mimi Mama yenu.
  6. M

    Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  7. M

    Nataka kuacha kazi, niendeshe Ubber. Ushauri.

    Habar za Wikiendi. Mimi ni kati ya wale tuliochoshwa na Ajira. Nimefikiria sana naona bora nianze ubber. Naomba ushauri kwa wazoefu wa ubber.
  8. M

    Amepata ufaulu wa daraja la tatu mchepuo wa CBG! Je, anaweza kupata chuo cha Serikali?

    Habari za wakati huu? Naomba msaada wa mawazo. Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3). Sasa naomba mwenye ujuzi anisaidie kama huyu kijana anaweza kupata chuo cha serikali, na pia Course itakayomfaa huko...
  9. M

    Natafuta mchumba

    Mimi ni kijana wa kiume(25). Ndo kwanza nmemaliza Chuo. Sijawahi kuwa na serious relationship. Kwa sasa sina kipato cha uhakika. Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi na baadae Wanandoa. Kama yupo naomba ani PM. Naomba Hoja hii ichukuliwe kwa uzito wake.
  10. M

    Hali ya mtaani kwako baada ya Matokeo ya NEC

    Poleni kwa Mihangaiko ya kutafuta riziki Wakuu, Huku nilipo Kumepoa sana, yaani kila mtu hana hamu ya chochote baada ya NEC kumtangaza mshindi wa uchaguzi mkuu hapo jana. Ningependa kujua mtaani kwako hali ikoje?
  11. M

    Mbona unalialia?

    Wakuu poleni kwa miangaiko na mishe mishe za kampeni iliyoisha hivi punde. Leo baada ya mkutano ulioisha hivi punde huku kanda ya ziwa, Lile tangazo la Mangi na mteja wake limepata umaaarufu mkubwa. Wadau wanasema eti " Mkulu wa Kaya" analia lia na Mh Edo. Alikuwa wapi mpaka leo, na kwann...
  12. M

    Tunaposema Mfumo Mzima wa serikali Unahitaji Mabadiliko tunamaanisha nini?

    Katiba ya nchi yetu inaeleza vizuri namna ya mfumo wa uendeshaji wa nchi unavyopaswa kuwa. Katika Uongozi wa juu kabisa kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz na Makamu wa rais. Kutakuwa pia na waziri Mkuu ambaye ni Kiongoz mkuu wa shughuli za Serikali. Hiyo ni kwa upande wa...
  13. M

    Tanzania haitabadilika katika karne hii au ijayo

    Zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR limekamilika, tena kwa mafanikio makubwa. Pamoja na wananchi kutahadharishwa kutunza kadi zao za kupiga kura, Tahadhari hiyo imekuwa kama kumpigia mbuzi jitaa. Jana baada ya kutoka kazini niliamua kupita sehemu...
Back
Top Bottom