Search results

  1. C

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nilikuwa operation miaka 30 ya uhuru Makutupora. Kuna magumu mengi na pia kuna mafunzo mengi. Nikikutana na nilokuwa nao shule na chuo huwa nafurahi but nikikutana na nilokuwa nsye jeshini huwa nafurahia zaidi maaba ni jambo la onky 1yr lkn lenye kumbux2 nyingi.
  2. C

    Sofa coach zinauzwa

    Endapo bado zipo naomba kuja kuziona
  3. C

    Sofa coach zinauzwa

    Bado zipo au zimepata mteja.
  4. C

    Sofa coach zinauzwa

    Ni material gani na naomba kwa 350000
  5. C

    Kanisa la Kunduchi-Salasala laungua kwa radi

    Ni kanisa la abandant life christian fellowship ndo limeungua. Lilikuwa makuti style. Radi imepiga likaitika. Poleni mlioathirika. Binafsi nilipita nikaona linateketea.
  6. C

    Yaliyojiri, Matokeo ya maeneo yaliyorudia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 21 Disemba, 2014

    Safiiiii. Aluu! Fuatilia Kasungu, ulindwanoni nk endapo waweza kuyapata. Tunahitaji elimu ya uraia iende hadi Igagara nk.
  7. C

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa Anne Kilango vipi. Kwa Chenge mzee wa kuchakachua katiba ktk uandishi na jirani yake Cheyo Momose kukoje?
  8. C

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa hiyo matokeo ya kilimahewa baada ya vurugu wameyatangaza au yatarudiwa? Vurugu inapelekea uchakachuaji.
  9. C

    Azaboy, Jangwani, Zanaki, Kisutu, tukutane hapa

    Tegisa alikuwa like an iron lady. Ninajivunia kusoma Jangwani. Azajangwa ilikuwa ndiyo mpango mzima.
  10. C

    Naomba msaada tatizo la camera kwenye Galax note 10

    Asanteni, nitamtafuta mtaalam wa hizi android aangalie upande wa camera.
  11. C

    Naomba msaada tatizo la camera kwenye Galax note 10

    Nimekuwa natumia ipad sumsung galaxy note 10.1 lakini kwa siwezi piga picha coz nikifungua tu camera inaleta msg ' unknown error by errorcallback'
  12. C

    Kwa wale mnaopenda kula hotel ya Aljazeera

    Kuna cku tulinunua take away chips kuku aljazira nikiwa na brother wangu. Mwenzangu ktkt ya chips kakutana na nywele. Mimi nikakutana na bawa la mende. Hapafai
  13. C

    Barabara ya New Bagamoyo

    Nadhani mtoa mada alitaka kueleza mapungufu ktk makutani ya barabara. Hawakuwa wabaweka nafasi ya kutosha kumwezesha dereva kukata kona. Hii inafanya aidha magari kugongana au kupinduka wanapojaribu kukwepana.Mf mbuyuni makutano na barabara iendayo salasala. Etc
Back
Top Bottom