Search results

  1. W

    Familia Wanavunja Chungu

    naona kweli ni kigumu.
  2. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    nipo serious baba lao, ndo maana nimeianzisha hii thread, nikichambua jema na baya, asante pia kwa ushauri wako maana naucount pia.
  3. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    jf ni kila kitu madam, hata wanajimu wapo,
  4. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    Gaga mambo ya nyota yana ukwel wake bwana, ila kuupata huo ukwel ni process ndefu kidogo, watafute wanajimu wakusimulie.
  5. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    asante seto kwa ushauri nauheshimu pia.
  6. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    asante teller kwa ushauri wako nauheshimu pia.
  7. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    nimeipenda hii maana ipo transparent zaidi.
  8. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    nimekuacha hoi kwa lipi first lady?
  9. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    ambasada mambo ya herufi yanamatter kwa kiwango kikubwa. Ila zingatia zaidi lile original namaanisha ulilopewa na wazazi wakati wa kuzaliwa ndo linanguvu sana.
  10. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    asante chauro kwa ushauri wako, japo sijajua ni wapi huko kwenye hao waganga unaowasema.
  11. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    rose hizi iman bado zipo ndugu yangu, ni imani zilizoandikwa hata katika vitabu vya dini, japo sio msomaji sana jaribu kujisomea vitabu vya dini utagundua ukwel wa hizi iman.
  12. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    asante katavi kwa ushauri wako, nimeanzia janvini kwanza kabla sijaenda kwa hao wadau maana naamin humu pia wapo coz jf ni kila kitu.
  13. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    ndugu yangu kituko majina yana nguvu kubwa kuliko tarehe, elewa kwanza tarehe anapanga mungu ila majina wanatunga wazazi, sasa jina la mtu linanguvu sana ktk kuhusianisha na maisha ya mtu, fanya research binafsi ya jina lako ukihusianisha na maisha yako utagundua jambo.
  14. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    anapatikana wapi huyo mzizimkavu?
  15. W

    Bado siku 7 dowans walipwe.

    source: tanzania daima la leo, imefail kuupload ka vp itafute
  16. W

    Bado siku saba dowans walipwe

    tanzania daima ya leo. Imefail kuupload, ka vp itafute.
  17. W

    Bado siku 7 dowans walipwe.

    Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vya leo. Hapa tusipo kaa sawa huenda dowans wakalipwa wiki ijayo.
  18. W

    Bado siku saba dowans walipwe

    Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari vilivyotoka leo, hapa tusipokaa sawa huenda dowans wakalipwa hayo mabilion wiki ijayo.
  19. W

    Mimi ni W. nimempata P. je kinyota tunaendana?

    Naomba ushauri wenu watabibu wa masuala ya nyota.
  20. W

    udsm wacharuka na kibonde...

    ninashaka na elimu yako wewe, hata hujui four inaishia point ngapi? tena point 28 unazozitaja hauna hata hakika nazo bali unadhani tu! Usitake kuupotosha UMMA.
Back
Top Bottom