Search results

  1. Jackson Makala

    Taarifa batili kuhusu mimi kusimamishwa uanachama na BAVICHA taifa!

    NAPENDA KUTOA MAELEZO MAFUPI KUHUSU HABARI ILIYOANDIKWA NA GAZETI LA TANZANIA DAIMA JANA: Mimi Jackson Wilson Makala sijasimamishwa uanachama na Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) kama ilivyotaarifiwa na gazeti la Tanzania Daima. Nimewasiliana na mhariri wa habari wa gazeti la Tanzania Daima...
  2. Jackson Makala

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    SUALA SIO SHIBUDA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI SOMENI HILI TAMKO LA BAVICHA VIZURI: BAVICHA imepokea kwa mshituko mkubwa kauli ya ndugu Shibuda kuwa yeye atagombea Urais na Meneja wake wa Kampeni atakuwa Mwenyekiti wa CCM ndugu Jakaya Kikwete, na alitoa kauli hiyo kwenye kikao cha NEC ya...
  3. Jackson Makala

    Diwani wa Lugata - Sengerema ajiunga Chadema

    Diwani wa kata ya Lugata Sengerema Bw. Adrian Chiziba amejiunga na CHADEMA rasmi. Hii ni katika mkutano wa hadhara unaofanyika Geita chana huu ukihutubiwa na Dr. Slaa na Godbless Lema.
  4. Jackson Makala

    Suluhisho la matokeo duni form 4

    Hii ya prezidaa part 1 s1930 j. M. Kikwete secondary school div-i = 0 div-ii = 4 div-iii = 2 div-iv = 29 fld = 52 hii ya prezidaa part 2 s2008 jakaya kikwete secondary school div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 5 div-iv = 48 fld = 76 hii ya festi lady s3561 salma kikwete secondary school div-i = 3...
Back
Top Bottom