Search results

  1. famicho

    Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

    Habari za masiku wanajukwaa. Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+ Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
  2. famicho

    Naomba Connection ya Wakala/Muuzaji wa PoolTable

    Salaam wanaJF! Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table. Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani. Wasalaam
  3. famicho

    Ushauri kwa Viongozi wa Vyama vya Upinzani juu ya waliounga juhudi na wametoswa Kura za Maoni

    Habari wanaJF, Kuna hawa akina Lijuakali na wenzake ambao wameunga Juhudi kwa kebehi, dharau na Tambo nyingi juu ya Vyama vyao ambavyo viliwakuza hadi kuonekana watu kwa jamii lakini malipo yao yakawa hivyo. Baada ya kuliwa vichwa wengi wao wametamani kurudi walikotoka (Nina uhakika na hili)...
  4. famicho

    Je Kitu/Taarifa Gani Ambayo Unatamani Ujue Ukweli/Uhalisia Wake?

    Kama mada inavyojieleza, binafsi napenda nijue ukweli wa mambo/vitu hivi hapa chini:- 1. Kupungua/kushuka kwa mauzo ya kitimoto katika kipindi mfungo wa Mwezi wa Ramadhan 2. Ukweli wa nguvu ya Bashite dhidi ya viongozi wengine, kwa sababu kwa sasa naweza sema hakuna anayemuogopa 3. 4. Karibuni...
  5. famicho

    Hakuna nyakati wadada wanalika sana kama hizi

    1. Wakati shule zikikaribia kufunguliwa 2. Wakiwa wanakaribia kurudi makwao(kama alikuja likizo, kutembelea ndugu etc) 3. Wakati wa sikukuu 4. Outings kama vile matamsha mfano marathoni ilofanyika Chuga. 5. Semina na mafunzo mbalimbali Ukiwa kama mzazi, mlezi au mume hakikisha hizi nyakati...
  6. famicho

    Ni njia gani zinatumika kwa Wapinzani waunge juhudi

    Habari za ijumaa wanajf! kama tunavyofahamu kwenye wengi pana mengi, Mh. Rais Magufuli inapiga kazi inayoonekana na wala sio ya kubabaisha licha ya vikasoro vidogo sana vya kibinadamu! Hongera Mh Rais na Mungu azidi kukutia nguvu na akujaze hekima zaidi. Back to the topic kumekuwa na wimbi...
  7. famicho

    Je, ulitamani uwe nani au ufanye kazi gani, kitu gani kilipelekea usitimize matamanio yako!

    1. Binafsi nilianza kwa ndoto ya kuwa Rubani, ilikuwa hivi: tulikuwa shambani baba, mama, kaka, dada na mimi tunapanda mpunga mara angani ikapita ndege, nikajisemea kwa sauti natamani niwe rubani, baba akadakia akasema kazana sana katika masomo yako ufaulu uende sekondari, na kule ujitahidi ili...
  8. famicho

    Tupeane Updates Mvua Zinazoendelea Katika Maeneo Mbalimbali Usiku Huu

    Kwa kweli hali ni mbaya, Kuna rafiki yangu yupo Manispaa ya Lindi amenitaarifu kuwa Lodge alofikia imezungukwa na maji,pia maji yameingia ndani wamelazimika kulala juu ya makabati. Picha; Sent using Jamii Forums mobile app
  9. famicho

    Karibuni Ruangwa

    Karibuni sana,tena sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. famicho

    Tunaomba Taasisi/Idara zifuatazo ziwe na akaunti JF

    Wahusika wa Taasisi zifuatazo ambao mpo humu, naomba muwe na akaunti ili tuweze kutoa maoni, dukuduku kwa kuwa huku tunakuwa huru. Lengo ni kuongeza ufanisi na kuwafikia kiurahisi na kujibu maswali tuliyonayo na pia kuwapongeza kwa kazi mbalimbali nzuri zinazofanywa na vitengo hivyo NIDA TISS...
  11. famicho

    Uniite Mpumbavu halafu Katika Matokeo Nikutangaze Wewe?

    Sijui ni jeuri, dharau au ni utemi sijui. Nina mke, michepuko, watoto, marafiki, ninaowaongoza, ndugu na jamaa wengine. halafu mbele za watu unaniita mpumbavu unanikosea sana. Na katika chaguzi matokeo nitangaze watu wako... Daaah dunia haina usawa. Haiwezekani haiwezekani, haiwezekani...
  12. famicho

    Ushauri: Wife yupo njiani anarudi, zana sijui sehemu nilipoziweka

    Habari zenu wanajf; Niende moja kwa moja, wakati wife kasafiri nilitafuta kamchepuko na nikatumia mipira miwili, mmoja nkarudi nao home kwa maana tulkuwa na ahadi ya kukutana tena... Daaah mpango si matumizi, leo wife anarudi, nami nimejaribu kuitafuta ile zana moja ilobaki bila mafanikio...
  13. famicho

    Msaada : Mwenye Soft Copy ya Barua ya Kuchumbia (Kuunganisha Familia /Koo)

    Habari za majukumu wanaJf, Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye soft copy au anajua the way barua ya kuchumbia kwa Bint ambaye natarajia aje kuwa mke wangu inaandikwa vipi ,naomba anisaidie maana nimechoka maisha ya ubachela. Karibuni kwa michango yenu. Nawatakia Jumapili Njema...!!!
  14. famicho

    Mifuko(Pockets) Kwenye Sare Za Jeshi La Polisi(Polisi na Trafiki) Ina Kazi Gani?

    Habari zenu wanajf, Ningependa kujua kazi ya mifuko katika sare za hili jeshi letu ina kazi gani katika sehemu zao za kazi? Karibuni wajuvi Wa hili.
  15. famicho

    Mchepuko umekuja kupanga nyumba ninayoishi na familia yangu

    Habari za jioni wanajf, Waungwana naandika Uzi huu nikiwa na uchungu mwingi sana, na nisijue chakufanya. Iko hivi; Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili. Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo...
  16. famicho

    Mume wa mke niliyempa ujauzito ananitafuta anipongeze

    Habarini wapendwa wana JF, Naandika uzi huu nikiwa na STRESS NYINGI SANA. Katika pitapita zangu za kujitaftia ridhiki, nilikutana na huyu mdada ambaye baadae tuka-fall in malavidavi. Katika kutambulishana aliniambia kwamba hana mume, hivyo nisiwe na wasiwasi wowote. Baada ya kucheki afya na...
  17. famicho

    Nina shida na picha za jini/shetani

    Habari za wikiendi wanajamvi, Kila siku nimekuwa nikiwaza kuhusiana na ukweli wa uwepo hivi viumbe, na napata hamasa zaidi pale viongozi/watumishi wanavyo vielezea viumbe hivi. Kwa muktadha huo, nimeamua niombe kupata walau picha ya hivi viumbe ili niondoe hili dukuduku langu, maana naishia...
  18. famicho

    Nina Pepo la kupendwa na wake za watu

    Habari wanajamvi, Kwa kweli nina tatizo la kupendwa na wake za watu, na mpaka hapa nishachangia kuvunja ndoa tatu katika maeneo tofauti. Na kwa sasa kuna wawili wananiwinda kwa udi na uvumba. Mmoja kati yao amesema yupo tayari tukacheki kwanza afya, baada ya hapo anataka nimpe ujauzito kwani...
  19. famicho

    Athari gani naweza kuzipata kwa kutoka na mke wa mtu?

    Wikiendi murua iwe kwenu wanaJF, Nikiwa katika shughuli zangu za kutafta maisha, kuna dada alifika ofisini kwangu na kuhitaji huduma, nikamhudumia ila huduma haikuwa kamilifu hivyo nikamuomba aniachie namba yake ili nimjulishe punde tu nikiikamilisha. Kwa bahati mbaya sikuwahi kumtafuta. Baada...
  20. famicho

    Msaada, naweza kupata ramani ya Ikulu?

    Habarini wanajamvi, Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa. So, i want to build my own buildings that will resemble with state house, but my problem is how and where may I get a map of state house so as i...
Back
Top Bottom