Vyovyote itakavyokua ukweli ni kuwa waliofurahi ni wachache kuliko wasio na furaha kwa Bashite kurudi, kuna wachache waliowahi kushinda? jibu ni NDIO lakini ushindi ulikuwa kwa muda mfupi, basi tuamini hata sasa ushindi wa wachache utakua wa muda mfupi vilevile, sio rahisi kuubeba mzigo...
Kwa hali inayoendelea na kwa uzoefu wa mambo ya bongo yetu soon makonda atakula teuzi, naona kabisa kuna upande unamuhitaji kwa kudhani anaweza kuwa msaada kwao, haihitaji kuwa kwenye system kuijua bongo yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.