Search results

  1. berrie

    Itakusaidia kidogo

    Kuweka kitanda ambapo paka hupenda kulala, kula tunda ambalo limeguswa na mdudu inamaana gani
  2. berrie

    TTCL kwisha habari

    Kiukweli TTCL nimeikatia tamaa kwanza 1. Nikinunua vocha haiingii yote 2.Network shida 3. Customer care mbovu 4. Vifurushi ghali kuliko mitandao yote
  3. berrie

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mbn haiendelei hii simuliz
  4. berrie

    USHAURI: Simuelewi mume wangu

    Kiufupi Kabla ya kulala 1 piga mswaki 2.jitibu UTI 3 Vaa vizuri na unukie4 chamba kabla ya kulala
  5. berrie

    Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Njia rahisi ya kumfanya mwanaume astuke ni kubadilisha mwenendo wako.....we jifanye kama umebadilika na upo busy na mambo yako na hujali kuhusu mumeo Wala rafiki yake.....kiufupi punguza mapenz Kwa mumeo af uone atakavyochanganyikiwa
  6. berrie

    TUSHAURIANE: Nmepata ugeni wa dada yangu baada ya kukimbia kichapo cha mumewe

    Aisee tunaoa Kwa kua nntamaduni tuu.....kizazi Cha sasa n hopeless kabisa
  7. berrie

    True memories

    Mimi nikiwa na mahusiano sitaki kujua yaliyopita Wala mm simuhadithiii
  8. berrie

    Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Hapana mkuu hiyo Hali itaisha yenyewe, jirani yangu Kuna mtoto alikua anaitwa hamidu mpaka miaka sita alikua hawez kuongea ila ukimtuma ana fanya kiufupi yupo kama ulivyomuelezea.....baadae akapona kabisa so hiyo n Hali tuu na inaisha
  9. berrie

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Mke anaanzaje kuondoka nyumban bila taarifa yako..na dadaake amekaa nae tuu mwezi mzima.huyo hakua kwa dadaake ila alivyoona umerudi ndo akapeleka funguo kwa dadaake
  10. berrie

    Hii tabia ya kurusha majani na kanga barabarani kwenye msafara wa msiba itazamwe kwa jicho la 3

    Naungana na mleta mada, asubuhi nilikua nawaza hili jambo nimeona watu wakiweka majani barabaranj hii haina afya kiusalama kwan watu wenye nia mbaya wanaweza kuweka vilipuzi sio kwaajili ya kumuua marehemu au msafara wake ila ili kuutia doa msiba wa mpendwa wetu. Who knows?
  11. berrie

    Machinga waanza kuisoma namba stendi ya Magufuli Mbezi Mwisho

    Kwakweli huu ni mtihani, ukipita Mbagala rangi tatu watu wameweka mbao juu ya mitaro ya maji machafu wanapika vitumbua kiasi kwamba watu wa usafi wanashindwa kusafisha ile mitaro matokeo yake mitaro yote imejaa maji machafu. Pia hapo hapo Rangi tatu fremu za kuzunguka stendi ya magari ya Rufiji...
  12. berrie

    Brand hizi zinatamba miaka nenda rudi, kuna nini nyuma ya pazia?

    1.kuhusu maji kwa upande wangu ni hill,afya na dew drop kilimanjaro na hayo mengine hayana ubora 2.kuhusu soda mwaka huu pepsi kakimbiza mauzo mpk wakaamua kufanya patty kusherehekea mauzo ya juu
  13. berrie

    Baba mkwe amekopa kwenye kurudisha mkwanja anajisahaulisha. Hii siyo sawa ndugu zanguni

    Kimsingi kuna watu sio wa kuwakopa, unless useme umejitolea akikulipa sawa asipokulipa pia sawa au mpe pesa ambayo unauhakika unaweza kusamehe.
Back
Top Bottom