Search results

  1. mgodi

    Wananzengo wanamaneno sana aisee.

    Mambo ni mengi, lakini muda hautoshi
  2. mgodi

    Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

    Mwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na...
  3. mgodi

    Rais uwachunguze vizuri hawa wawekezaji wa Kampuni ya Tanzanite One Mining, kabla ya kusaini nao mkataba mpya

    Naomba nianze kwa kumpongeza mh Raisi wetu Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kazi kubwa anayofanya ya kuhakikisha madini tuliyonayo hapa Nchini kwetu, yanawanufaisha Watanzania wote. Lakini pia nimuombe mh Raisi, ajaribu kuangalia tena timu yake. Naamini bado kuna watendaji katika timu yake...
  4. mgodi

    Kilimanjaro Marathon 26/02/2017

    Kwa wale wapenzi wa kukimbia mbio marathoni ndefu na marathoni fupi (Full marathon 42.2km & half marathon 21.1km) tuna muda wa kufanya mazoezi. Tukutane mkoa wa Kilimanjaro katika wilaya ya Moshi mjini, katika viwanja vya Ushirika tarehe 26/02/2017 siku ya jumapili. Kwa wale watakaopenda...
  5. mgodi

    Msaada, nokia n8 imezima haitaki kuwaka.

    Wakuu, poleni na majukumu ya kujenga taifa. simu yangu nokia n8 orijino imezima ghafla na haitaki kuwaka wala haingizi tena chaji! naombeni msaada wenu namna kuiwasha.
  6. mgodi

    Msafara wa First Lady waua mmoja Ruvu

    Ajari mbaya imetokea maeneo ya Vigwaza, msafala ulikuwa unatoka Dsm unaelekea Chalinze (Msoga). Magari matatu yamegongana, gari 1 aina ya toyota Land Cruiser ambalo lilikuwa kwenye msafara limegongana uso kwa uso na Basi la Moro Best, pia basi hilo liligonga kwa nyuma Toyota Hiace. Dereva wa...
  7. mgodi

    Ubalozi wa Kenya wahitaji maelezo

    Ubarozi wa Kenya nchini Tz, umetaka maelezo kuhusu raia wao aliyekufa kwny vurugu za Arusha. Polis tz yahaha kutafuta maelezo yatakayo watosheleza wakenya... Chanzo taarifa ya habari Passion FM, leo trh 11/01/2011 saa 21:00.
Back
Top Bottom