Search results

  1. mgodi

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Nitafutie IST au ALLEX kwa 4m ninayo mfuko wa shati,
  2. mgodi

    Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Weka na bei mkuu, bidhaa ipo poa
  3. mgodi

    Star wa Basketball USA Magic Johnson akiwa na mwanae wa kiume

    Hata mm ndiyo maana nikashawishika kuja kusoma
  4. mgodi

    Kesi ya Mbowe na wenzake 3 imebainisha DCI na CID hawajui kuendesha Sting Operations

    Hata mimi nimeisoma na sijaelewa kitu charii yangu
  5. mgodi

    Kuna mafundi Hyundai Santa FE Tanzania?

    Nadhani ungewapelekea mawakala wa Hyundai, ambao ni FK Motors. Ingawa nao wanamapungufu yao Hyundai Sentafee lakini watakusaidia.
  6. mgodi

    The tomorrow war: Nimeipenda hii movie.

    Mwendokasi BRT
  7. mgodi

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Ilitakiwa iwe hivyo mkuu
  8. mgodi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Echo Mic Copy
  9. mgodi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Afande alisema kuwa daftari tunaandikia, kwahiyo kuanzia kesho tutakuwa tunasaini kwa vidole (biometric)
  10. mgodi

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Itarudi baada ya muda gani, maana hata tozo ikipungua ghalama za mradi zitarudi tu
  11. mgodi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Ikifika mida gani haturuhusiwi kuchangia?
  12. mgodi

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Tuwaombe mamlaka husika wapunguze bei ya kivuko cha daraja, haiwezekani bei iwe sawa na bantoni. Bei ikipungua, wengi tutashawishika kuja kuishi huko
  13. mgodi

    Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Mungu ni mwema sana, hiyo kazi imenipa kumbukumbu muhimu sana katika maisha yangu, niliweza kusafiri hadi bara jengine, nimepanda usafiri wa aina tofauti kama Dreamliner, SGR, treni za underground, mabasi ya mwendokasi yanayotumia umeme. Kikubwa ni kumuomba Mungu, pia uvumilivu wakati mwengine...
  14. mgodi

    Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Nidhamu ya pesa ni kitu muhimu sana katika haya maisha.
  15. mgodi

    Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Unaweza ukaishi hadi ndani ya ofisi, na bado isikutoshe!! Hahahaa
  16. mgodi

    Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Mpaka nakuja kutoka hapo mshahara ulifika 700k, ila mengine nje ya mshahara ndiyo yaliyonipa heshima zaidi.
  17. mgodi

    Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Watu tumekaa dar tukiwa hatuna kazi maalumu ya kutulipa mshahara, sasa hapo kwenye kilo 3 na sunu, mbona Mangi nitaishi naye vzr tu. Kusa sehemu niliambiwa mshahara ni 120k ilikuwa mwaka 2007, nilitaka nikimbie kazi, wenyeji/ wafanyakazi wenzangu waliniambia nitulie nisome mazingira kwanza...
Back
Top Bottom