Search results

  1. S

    Manyerere Jackton ndani ya Star TV muda huu

    Ndugu wajumbe wa JF, Kwa wale wanaoendelea kufuatilia sakata la wizi wa fedha za umma nadhani tupieni jicho hapo Star tv mtamkuta Jacton Manyerere akiwa hewani muda huu wakijadili mwenendo wa Escrow. Nawasilisha.
  2. S

    Kwa kigezo hiki naweza kusoma masters degree?

    Mtu mwenye Advanced Diploma ya Project Planning and Management anaruhusiwa kusoma Masters degree? Ni hayo tu, natanguliza shukrani.
  3. S

    Wana Arusha nielekezeni nyumba za wageni, niko njiani naja.

    Jamani ee, niko njiani muda huu nakuja Arusha, hebu nielekezeni nyumba za wageni za kiwango cha wastani na mahala zilipo. Maelekezo yazingatie kua mimi ni mgeni katika huo mji.
  4. S

    Kipanya azidi kuumulika ukoo wa viwavijeshi

    Kila uchao jamii yetu imekua ikizidi kufanywa shamba la bibi kwa kulundikiwa mizigo ya kodi kila sehemu achilia mbali VAT, PAYE, Mikopo yenye masharti magumu, nk nk. Kibaya zaidi kodi hizo zimekua zikitumika kugharamia matibabu ya viongozi wetu nje ya nchi hata pasipo ulazima kinyume kabisa na...
  5. S

    MSAADA: Lisense name na Lisense code za Bigasoft Total Video Converter.

    Salaam wana jf wote. Naomba yeyote mwenye Lisense Name na Lisense Code za Bigasoft Total Video Converter anisaidie. Natanguliza shukrani.
  6. S

    Kinachojiri bungeni leo Ijumaa tarehe 14 Machi 2014

    Karibuni ndugu wajumbe wa jf, sina mengi isipokuwa nawapeleka moja kwa moja mjini dodoma kufuatilia shughuli za bunge. Kwako Chabruma na wadau wengine mlioko dodoma
  7. S

    Dudubaya ampa kichapo mkubwa mmoja wa polisi jijini Mwanza

    Wadau poleni na majukumu ya hapa na pale katika kupambana na maisha ili kuweza kujipatia kipato. Wakati taifa likiwa limeingia uhasama kati ya wanchi na majeshi ya ulinzi, zimenifikia taarifa kutoka Mwanza kua mwanamuziki wa nyimbo za kiswahili Tanzania bwana Godfrey Tumaini maarufu kama...
  8. S

    Rehema Chalamila live on clouds fm anatangaza mda huu wa mchana.

    Wadau namsikia Rehema Chalamila sasa hivi anatangaza clouds fm, wanaotaka kumsikiliza tune redio hiyo
  9. S

    Ipi bora kati ya Microsoft Security Essential na Kaspersky Antivirus?

    Wadau mambo vipi? Kwa yeyote mwenye kujua naomba anielekeze kitaalam ipi bora kati ya antivirus hizi mbili maana nataka kuinstall katika computer yangu. Asanteni.
  10. S

    Msaada "License blocked"

    Wadau naomba msaada wa key za Kespersky antivirus nimekuta blocked ghafla na inaniambia "License: blocked"
  11. S

    Polisi kikosi cha FFU wamwagwa mtaani usiku huu Iringa

    Habari wana jf popote mlipo. Nipo maeneo ya hapa Iringa mjini, mda si mrefu nimekutana na askari polisi kikosi cha FFU wakizagaa mitaani usiku huu. Mara ya kwanza nimewaona maeneo ya stendi kuu ya mabas sikustuka, mara ya pili nikakutana na wengine maeneo ya mashine 3 nikapata wasiwasi, mara...
  12. S

    Msaada PRODUCT KEY za Windows 7 ultimate

    Wandugu heshima zenu! Naomba mnisaidie product key za windows 7 ultimate 64 bits
  13. S

    Kituo gani cha Redio kinarusha matangazo ya Bunge?

    Naomba mwongozo kutoka kwa mwana jf yeyote kuhusu bunge. Ni stesheni ipi ya redio naweza kupata matangazo ya bunge live? Nipo dar
  14. S

    Kuna nini mzani wa Kibaha jioni ya leo?

    Yani tumefika hapa mzani naona magar hayapishani wala hakuna pa kupita, naomba mwenye kujua atupe tarifa. Tumekaa hapa zaidi ya nusu saa sasa.
  15. S

    Msaada kuhusu Standing Order ya vyuo vikuu nchini

    Ndugu wana jf, sina maneno mengi ya kuwachosheni isipokua naomba msaada kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia Standing Order ya vyuo vikuu hapa nchini anisaidie. Asanteni na natarajia msaada wenu.
  16. S

    Mwalimu aliyekatwa mapanga afariki dunia akiwa njiani kuelekea Arusha

    Ni yule mwalimu wa shule ya msingi digodigo wilaya ya Ngorongoro. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Na yule muuaji hajakamatwa mpaka sasa.
  17. S

    Arachuga ni nini?

    Wakuu heshima zenu. Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni member ninayependa kujifunza kwa hiyo naomba yeyote mwenye kujua anieleze nini maana ya neno "arachuga" maana nimekua nikiona likitumika mara kwa mara humu jf. Asanteni, nawasilisha.
  18. S

    Mwalimu akatwakatwa mapanga na kupoteza mkono wake mmoja.

    Mwalimu mmoja wa shule ya msingi digodigo jana alikatwakatwa mapanga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwake. Tukio hili limetokea jana majira ya saa 5 asubuhi ambapo mwalimu huyo wa kiume alivamiwa ghafla na kijana wa kimasai kisha kuanza kumshambulia kwa mapanga hadi kumfyeka mkono. Chanzo...
  19. S

    Jambo leo mnapotosha jamii.

    Gazeti la jambo leo la tarehe 8 Juni 2012 limeandika "LOWASA ACHANGISHA BILIONI 421". Ukifungua ukurasa unaofuata kwenye content utakuta wameandika hivyohivyo bilioni 421. Lakini baadaye nimepitia magazeti mengine yote yanasema ni MILIONI 421. Kwa mantiki hii ninawasiwasi na elim ya mhariri wa...
  20. S

    Asanteni wana arusha

    Nawashukuru sana wana Arusha kwa kunipokea, kunikirim na kunitembeza sehemu mbalimbali. Mmeniwezesha kutalii wilaya 3 ambazo ni Longido, Monduli na Ngorongoro. Kweli nimefarijika sana kwa ziara ya siku kadhaa sasa niko njiani narejea Arusha mjini tokea Monduli ili nirudi zangu maskani. Natarajia...
Back
Top Bottom