Search results

  1. S

    Rais Kikwete atunukiwa u-profesa na Rais wa China

    Prof. Dr. Dr. Dr. Jmk uko juu bana.
  2. S

    Jaji Lubuva ajibu mapigo ya UKAWA kuhusu BVR

    Hivi hilo daftari utaratibu wake ukoje? Yaani tarehe ipi litakuwa wapi na tarehe ipi tena litakuwa wapi ili wdau tujiandikishe maana mpaka sasa sijajua ni wapi pa kujiandikisha
  3. S

    Katuni niliyoipenda: Chama kimoja, tune moja ila uchezaji tofauti

    Picha tu imetupasuapasua mapafu, sasa na wewe umeongezea na haya maneno hasa hilo la mwisho ndo umeua kabisa mkuu daaaaaa
  4. S

    Katuni niliyoipenda: Chama kimoja, tune moja ila uchezaji tofauti

    Mkuu umenisaidia kuelewa, almanusura nipotee. Ila hapo kiwanzenza ya wasira full burudani aise
  5. S

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Mkuu huo ndiyo utaratibu na kawaida ya siasa zetu hapa nchini. Yaani wakati wa sakata watuhumiwa walikua kimya lakini lilipoisha ndipo wanaanza kujitokeza na kujifanya kutoa utetezi, yaani bure kabisa.
  6. S

    Walimu wote tafadhali someni hapa

    Hunioni wapi huko? Hapo kwenye red umenipoteza mkuu.
  7. S

    Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Mkuu mcubic huwa napitia hizi hadithi kila mara nipatapo wasaa japo kimyakimya.
  8. S

    Walimu wote tafadhali someni hapa

    Kwa walimu wa hapa nchi ya kusadikika haiwezekani kugoma wala kususia labda watu jamii ya daktari Ulimboka wabadili fani na kuwa walimu.
  9. S

    Scandals taint Kikwete legacy, jeopardise CCM's chances

    My view absolutely concurs with that of Kitila mkumbo in the sense that Jakaya Kikwete was mistakenly construed as the strongest man and tough corruption combatant leader by the time he was vying for presidency in 2005. This view turned out to be wrong as soon as JK marked only two years in...
  10. S

    CHADEMA district chairman deported Back to Rwanda

    Maybe the opposition party is riding high in our country.
  11. S

    Decades after independence, Tanzania still grapples with its leadership

    It is evident that everyday in Africa, particularly here in Tanzania, we keep on fighting against poverty and illiteracy along with corruption, embezzlement and all other forms of moral deterioration of the like. Most of the politicians nowadays are not considerate to their voters. There are...
  12. S

    How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    Oh I see! But again I am still puzzled why a person like jk cannot act on the parliament resolution accordingly while he is vested with all powers of doing the same! Mr zito, to my way of thinking, is still wandering about may be for the sake of public sympathy? I am not aware of what is...
  13. S

    How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    Nicholas, my fellow jf member, I think you are being too cynical. What if we allow time for them to excel? Perhaps they could deliver much. What's your view?
  14. S

    How our dear President Kikwete is Viewed outside TZ! ( A must read story)

    ..pathetic leader ..peacetime leader ..ape ..looter duu watu wanaua!! By the way I was about to explain something on this issue in connection with the escrow account when I came across those phrases and found myself speechless. Enjoy the night, bye bye. cc: meddie of JF meeku of JF
  15. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    I did not expect anything from this good for nothing prostate cancer guy.
  16. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Mkuu usipate jaziba, tezi ni ugonjwa wa kawaida kama yalivyo magonjwa mengine. Vumilia utapona tu.
  17. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    tezi dume hoyeee! Usijali utapona tu, hayo ni maradhi kama yalivyo maradhi mengine kama mabusha au malaria.
  18. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Hahaaa mzee wa matezi kumbe upo hapa kwa id hii! Poa mkuu ugua pole na nikutakie mandalizi mema ya hotuba yenye vijembe na vishoka ila uwe makini zile pini zisijefumuka kwenye matezi.
  19. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Kwani na mzee tezi hakutakiwa kuwa rais?
  20. S

    Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    "Haya mambo ya kisheria tuwaachie watu wa mahakama wao ndio watatoa hukumu" by jk j3
Back
Top Bottom