Search results

  1. Mchokoo

    Waziri, kilomita 7 ziendelee kutesa watu jimbo la Ukonga?

    Kwanza, niishukuru serikali ya mama Samia kwa kufanikisha mradi wa DMDP awamu pili ili kuboresha miundombinu ndani ya jiji la Dar es Salaam. Ambapo kutokana na ubovu wake imegharimu mali na maisha ya watu. Kimsingi mimi ni mkazi anayehudumiwa zaidi na barabara ya Nyerere. Ambapo barabara hii...
  2. Mchokoo

    Tazara sasa wanaiaibisha nchi

    Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara, vipi wageni wanajisikiaje? Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12, na hapo ni danadana tu zinaendelea. Nimeambiwa ilifika jana kwa nini hayo matengenezo hayakufanyika hiyo jana? Au kuna hujuma? Hapa wamejazana...
  3. Mchokoo

    Tutengeneze mazingira ya kuondoana madarakani kistaarabu

    Mtake msitake, binadamu ni tofauti na mnyama, ambaye hutamkandamiza akubali siku zote. Tulichokikataa kwa wazungu wachache wa Afrika ya kusini zamani; hatutakifanya leo kikubalike popote! Ubabe, maguvu siyo suruhu katika ulimwengu uliostaarabika! Si-mnaona mataifa yenye nguvu yanavyoaibika...
  4. Mchokoo

    BBC wanauchafua Uprotestanti ili kuufunika ushoga wa Kirumi?

    Kwanza nikiri kuwa mimi siyo miongoni mwa walioikubali hudima ya TB Joshua, kwa sababu ya mapungufu mengi yaliyoambatana nayo! Huenda hata hiki wanachokidai BBC kilikuwepo, au hata ni matatizo mengine tofauti. Sasa tusiwe na akili finyu, eti kwa vile tulikuwa hatukubaliani na TB. Joshua, ndiyo...
  5. Mchokoo

    Uchaguzi usipoleta maana hiyo ni uharibifu wa muda!

    Demokrasia tunayoifuata ni kuchagua kiongozi umtakaye katika mazingira yatakayoonesha kwamba ameshinda au kushindwa kihalali. Yaani haki ya mpigakura ionekane peupe, na kuheshimiwa na wadau wote. Hilo ni muhimu kwani siku mpigakura nitakapogundua kwamba nipige au nisipige kura yangu yote ni...
  6. Mchokoo

    Kinachowaponza watawala ni kuongoza kwa mazoea

    Eti, mbona lile walisema wee lakini bado tulifanya yetu na hakuna kilichotokea? Achana nao, kwa maana kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji. Halafu, mbona Magu alipokuwa anamua lake hakuna aliyefurukuta? Hatukatai, ila tambueni nyakati zinabadilika, vilevile watu wanabadilika. Yaani...
  7. Mchokoo

    Mpaka Freeman Mbowe aiue CHADEMA ndipo ataiachia

    Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini. Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha. Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha. Zitto hajaiacha ACT mpaka aporomoe kule Zanzibar. Sasa Mbowe aliyeimbiwa tuvushe sijui nani; alitegemewa na wengi akiweke chama...
  8. Mchokoo

    Msaada: Kuna sheria ngapi za mirathi?

    Kuna sheria za mirathi aina ngapi hapa nchini? Je, wa kike anaruhisiwa kurithi ardhi sawasawa na wa kiume?
  9. Mchokoo

    Kwa hili la DP World, Wabunge wetu wametusaliti sana

    Hawa jamaa wamejisahau mpaka wamepitiliza! Hawajui hapo walipo ni kwa niaba ya wananchi ili kutetea maslahi ya nchi. Wanalipwa mishahara minono pamoja na posho mbalimbali kwa pesa (kodi) tunazokatwa kwenye mafuta, mishahara, mazao, madini, tozo, na ushuru mbalimbali kwa kila bidhaa inayopita...
  10. Mchokoo

    Kuuza au kutouza nafaka nje: Serikali ichague kuumiza wengi au wachache

    Suala la kuuza au kutouza nafaka nje. Yaani niseme kwamba; kulingana na kiwango kidogo cha chakula tulichonacho, sikubaliani na wale wanaotaka tuuze chakula nje. Ndugu zangu msifikiri jambo hili ni rahisi kama mnavyoliona, mkaanza kuilaumu serikali kwa zuio lililopo. Mtu yeyote mwenye akili...
  11. Mchokoo

    Kwani kuomba radhi ni udhaifu?

    Ndugu zangu Watanzania hakuna binadamu asiyekosea, iwe ni kwa makusudi au bahati mbaya. Kimsingi hilo ndilo hudhihirisha ubinadamu wenyewe. lngawa mara nyingi tunapogundua makosa yetu tunajaribu kutoyakubali kama ni makosa! Au tukikubali tunaona shida sana kuomba msamaha, tukidhani kuonekana ni...
  12. Mchokoo

    Kuna mengi ya kujifunza kwa hili la Musiba

    Kwanza, maisha yanaenda kasi sana, mpaka aliyekuwa anatisha wenzake, sasa anatishwa hata na panya tu! Pili, daima usiweke tegemeo na egemeo kwa mwanadamu, anayekula kisha akaenda chooni. Tatu, Tanzania ina viongozi wengi wa dini wanafki, wamevaa mavazi ya kondoo ila ndani ni mbwa mwitu wakali...
  13. Mchokoo

    DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
  14. Mchokoo

    Jumla ya Simba kufungwafungwa.

    1) Magumashi katika usajiri wao. Tizama Baleke, Kapama, Okra, Banda, Okwa, Kibu, Watara. Hawa ukiwachanganya na Boko utafungwa mpaka ucheke! 2) Wachezaji wanamwomba Mungu, hapohapo timu inaroga. Mungu na ushirikina wapi na wapi? Yaani timu imewekeza sana kwenye matunguri kuliko viwango vya...
  15. Mchokoo

    Tuwaite watoto majina mazuri kama Majaaliwa

    Tuache ubishi maana sasa tumeshudia wenyewe tena mchana, kweupeee. Kwamba Majaaliwa ndiye waziri mkuu, na amesoma, lakini pia hakukosa kazi, tena kazi kubwa sana! Na bado huenda mibaraka hiyo yaweza kumfanya siku moja akawa Rais wa nchi hii nani ajuae wenye majina yao mazuri? Hata ukimwita...
  16. Mchokoo

    Waziri, TAZARA wanatutesa sana abiria!

    Mpaka sasa niko hapa Mngeta stesheni pamoja na wasafiri wenzangu tunateseka! Jana tulikatiwa tiketi za kwenda Dar, TAZARA waliandika treni itapita saa 2 asubuhi. Ilipofika saa 2 ya leo wakaandika saa 6, kufika saa 6 wameandika saa 8, imefika saa 8 wamechoka hata kubadilisha muda. Mbaya zaidi...
  17. Mchokoo

    Simba kuna tatizo kubwa, Viongozi wanafeli kote

    Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana. Azizi K, wakasingizia hawakumtaka. Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine. Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza. Kiufupi mtoto wa bahiri hapendezi. Mo, jitafakari, chukua hatua.
  18. Mchokoo

    Tumuunge mkono mwanasayansi Masoud Kipanya

    Kwa moyo wa dhati najivunia hiki ulichokifanya ndugu yangu. Ni mwanzo mzuri kuliko awali ya magari mengi yaliyopo sasa duniani Ninachokiomba kwa watanzania wenzangu; ni tumuunge mkono mwenzetu ili afanikishe maono yake. Gari la Masoud siyo kwa ajili yake binafsi. Ni kwa faida ya taifa letu na...
  19. Mchokoo

    Simba iachane na Kocha Pablo mapema

    Nakubaliana kwamba huwezi uwe na ma-striker aina ya Boko, Kagere, na Mugaru, halafu tena utake kuchukua klabu bingwa au shirikisho. Huko ni kujenga gorofa wakati huna pesa. Lakini hutafanya hivyo pia ukiwa na kocha ambae hajui hata kupanga kikosi chake kinachoanza. Namaanisha hana kikosi maalum...
  20. Mchokoo

    Tigo, kwa wizi huu nawashtaki mchana kweupe!

    Watanzania wenzangu, hili ndilo nililolikusudia moyoni mwangu kwa maslahi mapana ya taifa langu. Hivyo naomba yeyote wa kuniunga mkono. Mkasa wenyewe uko hivi; Kiukweli mwezi huu nina shughuri nzito zinazonirazimu kutumia data nyingi. Hivyo kupitia makampuni husika; nikaona kwamba Tigo wana...
Back
Top Bottom