Search results

  1. Mchokoo

    Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Mkuu masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa! Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana! Ndiyo maana baadhi yetu wakipata nafasi wanapora mali za uma. Na kujilimbikizia mapesa mengi utadhani wana miaka 5000 hapa duniani. Huku wakiwaacha wenzao hohe hahe mzumgu...
  2. Mchokoo

    Waziri, kilomita 7 ziendelee kutesa watu jimbo la Ukonga?

    Kwanza, niishukuru serikali ya mama Samia kwa kufanikisha mradi wa DMDP awamu pili ili kuboresha miundombinu ndani ya jiji la Dar es Salaam. Ambapo kutokana na ubovu wake imegharimu mali na maisha ya watu. Kimsingi mimi ni mkazi anayehudumiwa zaidi na barabara ya Nyerere. Ambapo barabara hii...
  3. Mchokoo

    Tazara sasa wanaiaibisha nchi

    Mkuu, sijui nani katuroga?
  4. Mchokoo

    Tazara sasa wanaiaibisha nchi

    Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara, vipi wageni wanajisikiaje? Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12, na hapo ni danadana tu zinaendelea. Nimeambiwa ilifika jana kwa nini hayo matengenezo hayakufanyika hiyo jana? Au kuna hujuma? Hapa wamejazana...
  5. Mchokoo

    Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    Kimsingi ndilo tatizo kuu la nchi yetu! Nimeshangaa kumbe na wewe unalijua!
  6. Mchokoo

    Tutengeneze mazingira ya kuondoana madarakani kistaarabu

    Mtake msitake, binadamu ni tofauti na mnyama, ambaye hutamkandamiza akubali siku zote. Tulichokikataa kwa wazungu wachache wa Afrika ya kusini zamani; hatutakifanya leo kikubalike popote! Ubabe, maguvu siyo suruhu katika ulimwengu uliostaarabika! Si-mnaona mataifa yenye nguvu yanavyoaibika...
  7. Mchokoo

    BBC wanauchafua Uprotestanti ili kuufunika ushoga wa Kirumi?

    Na wenye akili kubwa wanaelewa kwamba mashirika haya yanaweza kutumia upumbavu kidogo ili kuufunika upumbavu wao uliokubuhu! Sijui unanisikia?
  8. Mchokoo

    BBC wanauchafua Uprotestanti ili kuufunika ushoga wa Kirumi?

    Hoja yangu ni je BBC ni wakweli kiasi cha kuaminiwa na wenye akili timamu? Ama, hawajawahi kudanganya kwa maslahi wanayoyajua wao? Tuanzie hapo kwanza. Au wewe ndiyo mdogo kiasi cha kutojua janjajanja zao zilizopita?
  9. Mchokoo

    BBC wanauchafua Uprotestanti ili kuufunika ushoga wa Kirumi?

    Yaani wakitaka lao mpaka walazimishe.
  10. Mchokoo

    BBC wanauchafua Uprotestanti ili kuufunika ushoga wa Kirumi?

    Kwanza nikiri kuwa mimi siyo miongoni mwa walioikubali hudima ya TB Joshua, kwa sababu ya mapungufu mengi yaliyoambatana nayo! Huenda hata hiki wanachokidai BBC kilikuwepo, au hata ni matatizo mengine tofauti. Sasa tusiwe na akili finyu, eti kwa vile tulikuwa hatukubaliani na TB. Joshua, ndiyo...
  11. Mchokoo

    Serikali iingilie kati Makanisa ya Miujiza? Watanzania masikini wa kutupwa wanakamuliwa mamilioni kwa utapeli huku wahubiri wakigeuka mamilionea

    Mimi pia sikubaliani na utapeli unaoendelea kwa baadhi yao. Lakini na wewe mwanasheria usiyejua madhara ya uhuru wa kuabudu; utatumia kigezo gani kujua huyu yuko sawa, huyu hapana?
  12. Mchokoo

    Kwanini wanadamu tupo Duniani?

    Maisha yenyewe hayajaanza bado. Hapa duniani tumekuja kwa muda mfupi, kupiga kura ya kumchagua Mungu au Shetani. Na uzuri uchaguzi wa kila mtu utaheshimiwa sana!
  13. Mchokoo

    Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

    Kuna mambo mawili nayaona kwako. Mosi, huenda wewe ni muislam mwenye mbinu ya kuwanasa wakristo wachanga. Pili, au kama ni mkristo, basi ni yule asiyejua ABC yake. Kama ni huyo wa kwanza sawasawa; wee endelea na kazi ya kumtumikia shetani. Lakini kama ni kweli ni mfuasi wa Yesu; ujue una jina...
  14. Mchokoo

    Uchaguzi usipoleta maana hiyo ni uharibifu wa muda!

    Demokrasia tunayoifuata ni kuchagua kiongozi umtakaye katika mazingira yatakayoonesha kwamba ameshinda au kushindwa kihalali. Yaani haki ya mpigakura ionekane peupe, na kuheshimiwa na wadau wote. Hilo ni muhimu kwani siku mpigakura nitakapogundua kwamba nipige au nisipige kura yangu yote ni...
  15. Mchokoo

    Ni kazi ngumu kuwatetea Watanzania

    Hii nchi wenye akili wanateseka sanaa!
  16. Mchokoo

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naunga mkono hoja. Naam, watoe wao ili tuone unavyochambua mkataba wa bandari.
  17. Mchokoo

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Naunga mkono hoja. Naam, watoe wao ili tuone unavyochambua mkataba wa bandari.
Back
Top Bottom