Search results

  1. tunalazimika

    Kamwe hatutakusahau Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais mpendwa na Watanzania

    kwa waliofika UDOM, MUHIMBILI University Mpya iliyojengwa Kibamba Dsm, Nelson Mandela University , Maandalizi yaliyokamilika ya Ujenzi wa IFM Msata Pwani -enrollment kubwa kuwahi kutokea kwa Wanafunzi wa Elimu ni ushahidi wa Maendeleo Makubwa uliyoyasimamia kwenye ahadi zako za Uimarishaji wa...
  2. tunalazimika

    Tambo za Lowassa, baaaaaaana!

    huwa nafikiria halafu nacheka:- 1. Nimekulia CCM na nimefanya kazi ktk Serikali ya CCM tangu 1977 kwahiyo asiyenitaka aondoke lakin mm siondoki. 2. mwaka 2005 tulikubaliana na Kikwete mwaka 2015 ni zamu yangu-kwahiyo nikinyimwa Urais namleta Balali 3. Jina langu likikatwa nchi...
  3. tunalazimika

    Mpango wa Mauaji ya Dr. Slaa mwaka jana Ulipangwa na CHADEMA na sio CCM

    Mpango wa Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea ni mkakati ulioanza muda mrefu sana na kizuizi pekee alidhaniwa kuwa Dr. Slaa. Ni kwa ajili hiyo mpango wa kumtumia msaidizi wake kumuwekea sumu ulikwama na hapo Lowassa akalazimika kuendelea kubaki CCM lakni aliendelea kukisaidia CHADEMA na ni...
  4. tunalazimika

    mafunzo ya dini na uadilifu wa WaIraQ havimruhusu Dr Slaa kudanganya

    hali ndio hiyo ndugu zangu. uamuz wake wa kustaafu siasa ni heshima kubwa kwake kuliko uamuzi wowote ambao Slaa angeufanya. utashangaa Watz ambao maadili yetu yamekufa tunamshangaa Slaa na kumuona kama mroho wa madaraka. iwapo Slaa angeendelea na siasa kwa kweli ningehamia kwa...
  5. tunalazimika

    Wanajamvi na jamii jihadharini na Total-Korogwe

    Vituo ving baada ya kulazimishwa kupunguza bei ya mafuta, wameamua kucheza na pump. uwezo wa tanki ya gari langu ni 80lts when empty, Jambo la kushangaza nimeenda kuweka mafuta nikiwa na takriban 10lts kwenye tanki lakini pump yao ikaonesha imeweka 86lts pamoja na akiba yangu ina maana tanki...
  6. tunalazimika

    Ndoa gani humu JF unadhani itavunjika iwapo tutatakiwa kuweka picha(avatar) za ukweli?

    unajua nimekuwa nikifuatilia malav dav ya kila cku humu jf na jinswatu wanavyozichapa kwa ajili ya madem huku hakuna hata moja aliyejitokeza kumtaka FaizaFoxy, kwa kuwa mim nabahat ya kuwajua weng kwa sura zenu halis wana jf weng, basi nikapenda kuwadokeza tu kuwa mngekuwa mnamjua FF kwa sura...
  7. tunalazimika

    cjui kwann jf wanamchukia diva wa clouds

    kwa bahat mbaya nimejikuta nikisikiliza clouds fm na kwa bahat mbaya nikamkuta diva hewan_kwa kwel nimejengewa humu jf ya kumchukia huyu dada ila baada ya kusikia tone yake kwny uendeshaj wa kipind chake, kwa kwel huyu dada anajitahid sana na nashindwa kujua ivi kwann hum jf tunamchukia_najua...
  8. tunalazimika

    Faiza Foxy bwana!

    Ivi jana ulikuwa na matatizo gan au ulikuwa unafikiria ukaweka bonge la topic eti Jf siku izi ni ze utamu_kabla hata jogoo hajawika kufuli hilo_enhe waelezee wandugu kupitia forum ulitaka kuwaambia nin maana with the very zero comment kufuli hilo_haya tuambie sasa
  9. tunalazimika

    haya mambo bwana

    kama kawa ya jumapili hapa dsm, ni vikao vya harus tu_kikao chetu kipo hapa Kilwa Road Pub_basi kaingia mshikaj mmoja kaulamba kweli na funguo zake za usafir_hata kabla hajaanza kuzungumza utajua mshikaj ana nyodo za kufa mtu_kasimama mpaka waiters wanamtafutia kiti chake_ghafla anawagombeza...
  10. tunalazimika

    Mjeshi anaposhiriki promotion ya Sengeti Beer na Gwanda zake

    make comment ya muelekeo wa nchi hii, maana nachokumbuka enzi zile isingewezekana kwenda Bar na Uniform za Jeshi-unadhan katika mazingira haya kwani wasisahau kurekebisha joto la maghala ya mabomu
  11. tunalazimika

    mambo ya safar kanivo

    yaan tumekwenda na rafiki yangu, akaniambia wahuhudumu wa hapa ni balaa kwa kuchakachua_akasema ngoja ucheki, akamwita muhudum akamuuliza bei ya Savannah, muhudum akasema 3500/_ingawa hatukuwa tunajua bei, mwenzangu akatishia kama anaenda kuulizia counter, hapa ndo nilipocheka mana muhudum...
  12. tunalazimika

    nakumbuka harusi ya Sinza Delux

    kama kawa wambea zetu kukaa karibu na mlango ili wanaoingia na kutoka tuwaone_mpango mzima ulianza wakat wa maakul ambapo mc aliwataarifu wajumbe kuwa sasa mtumish wa Mungu alikuwa anaingia ukumbin kufikisha injili kwa njia ya uimbaji_ghafla akaingia ndugu moja anatambaa, ni mlemavu wa miguu...
  13. tunalazimika

    preta na michelle

    unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana...
  14. tunalazimika

    Haya mambo ya unyumba tuyaachen tu!

    Hiki kisa ni cha leo leo. Nina rafiki zangu wawili ambao ni wafanyabiashara, ivo mara nying huwa nakutana nao weekend kwsbb ninaish mbali na wao ingawa wao mara zote hushinda pamoja kwasbb ya nature ya biashara zao na kwsbb pia ni majirani. Sasa leo nimefanikiwa kushinda na mmoja ya hawa...
  15. tunalazimika

    Pete ya uchumba kwann huvaliwa na mabinti pekee?

    polen kwa ambayo yamekuwa yakijiri nchini kwetu tangu uteuzi wa wagombea, kuanza kwa kampen, uchaguzi, matokeo na mpaka tarehe 5january_Arusha. Kuna jambo limekuwa likinitatiza kila siku juu ya masuala ya mahusiano, jambo lenyewe ni pete ya uchumba_kwanini avae mdada pekee? Binafsi kitendo...
  16. tunalazimika

    dare to talk freely in Jf, doesnt mean to talk non _sense things.

    ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama China, Japan, Malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni Utawala unaolenga kuwanufaisha wachache na wengine kuish kama watumwa ndan ya nchi yao. Inasikitisha kuona...
  17. tunalazimika

    wana siasa wameshindwa kuungana na wasomi wametusaliti, wanaharakati tusaidieni

    Kwa kuwa wanasiasa wameshindwa kutuunganisha watz na badala yake kugombania masilah na publicity na kwa kuwa wasomi (watendaji wakuu ndan na nje ya serikali) wamekubali kutusaliti sisi ndugu zao na kuamua kukaa kimya wasipoteze ulaji wao_kundi pekee ambalo linaweza kutuongoza watz na kuaminika...
  18. tunalazimika

    Kibonde_clouds live, hataki mabadiliko

    Kibonde live, ana critisize mabadiliko ya katiba kama kaka yake werema_watu wanapata wapi power hii ya kuzungumza upumbavu? Shime watz, watu tumekaa kimya wanatuona mabwege_hivi kwann_tz hiv ni ya nan! Huyo kibonde nae mjua mimi ana nin? Anajidai nin? Ndugu zangu hapa nahasira_achen tu
Back
Top Bottom