Search results

  1. tunalazimika

    Kwa nini Ben Saanane 'aliangukia pua' ubunge? Je, ni uwezo mdogo au bahati mbaya?

    Issue ni kuwa Wachagga type ya Ben Saanane (Warombo) ni nouma kwa roho mbaya na ukabila-kapigana kumuondoa ZZK CDM wabakie wao tu na baadae kumtetea fisad Lowasa , sasa ZZK ana shine wakat yeye na Lowassa wanafifia
  2. tunalazimika

    Nani nyuma ya kura fake uchaguzi huu?

    mim ni msimamizi wa Uchaguzi-sikuwahi kufuatwa na mtu au kiongozi yeyote ili nimsaidie kuongeza kura kwasababu wanajua haiwezekani kwasababu kura zinahesabiwa kituoni na utaingizaje kura wakat mawakala wa vyama wapo na wasimamizi walikuwa ni vijana 5 ambao ni wa vyama tofauti? hali kadhalika...
  3. tunalazimika

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    tueleze na GEPF na PSPF tuone big K wewe
  4. tunalazimika

    Lowasa: Wagombea wa ukawa majimboni wanasaidiwa na maparoko fedha na mafuta katika kampeni

    mzee anafikiria afya yake, kachanganyikiwa na nadhan akishindwa tu ndio safar
  5. tunalazimika

    Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    si ameshajua kuwa CDM ni makanja, hakua akijua
  6. tunalazimika

    Kama wewe unachukia rushwa, sema lolote kwa huyu mgombea

    yaan wachangiaji hawawez kuja kwsbb wanajua kabla ya kufungua kuwa atakayekuwa anasemwa ama kubwa la maadui atakuwa ni lowassa tu
  7. tunalazimika

    Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

    kwan Tv inaongea? wanaoongea ni watu km ni kueneza Chuki hakuna inayozidi ile iliyoenezwa na Lowassa ya kutaka KKKT wampigie kura yeye
  8. tunalazimika

    Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    kwahiyo Mnyika alibyokuwa akiahid alikiwa Serikali?
  9. tunalazimika

    Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

    ha ha ha -yaan CDM ndio malaika wa Mungu? labda Mungu wa kuzimu. Afadhali ungesema Shetani anayepigania ushetani mkuu
  10. tunalazimika

    Ushauri: CHADEMA muogopeni Mungu juu ya Edward Lowassa

    mnataka kumpa sifa mtoto wa shekh Yahya na utabiri wake
  11. tunalazimika

    Kunguni wawili aliowataja Magufuli Kilindi ni nani hao??

    mbona kauli ya kusema ni zamu wa Lutheri na ulivumilia? unaona kauli hiyo ni mbaya kuliko wito wa hao kunguni kwa Taifa hili?
  12. tunalazimika

    Hapana chezea mwanamke

    nimeipenda
  13. tunalazimika

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    sio timu lowassa ndo mtajamba cheche? haya tusubir 25Oct
  14. tunalazimika

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    ina maana Slaa ana madhara yanayalingana na kauli ya udini iliyotolewa na lowassa?
  15. tunalazimika

    Ufafanuzi kuhusu Ulutheri na Urais - Lowassa

    kwahiyo unadhan ndo amepanga tuwaingize wezi waje watuibie rasilimali zetu? unaweza kuwaelezea watz hiyo mihela mingi ya kampeni Lowassa anaitoa wapi na atairudisha kwa utaratibu gan km sio kutoa vitalu vya gas n.k
  16. tunalazimika

    Hongera ITV kwa kusajili watangazaji na Ripota wenye weledi

    mnafurahisha kwel, hata Slaa mlimpenda lkn leo mnamtukana-ITV wajiandae kutukanwa wakat wa kumuapisha Maguful
  17. tunalazimika

    Kauli ya Jana Morogoro naomba ufafanuzi

    huelewi wakat katutoa kwenye mdomo wa mamba Lowassa na kakubali kuvunja urafiki nae ili kutuokoa na Fisad mkubwa huyo
  18. tunalazimika

    Lissu na Marafiki wa Lowassa kutikisa Mtwara leo hii

    afadhal ya kwenu mmeiweka kwny website wazee vijijin wasome-ha ha ha
  19. tunalazimika

    Lissu na Marafiki wa Lowassa kutikisa Mtwara leo hii

    nilikuwepo kwny mkutano, niliongea na dafa mmoja muuza korosho stand pale alikuwa anajiandaa kwenda mashujaa juu ya mahaba yake kwa Lowasssa-alisema huku Ntwara watu wanapenda sherehe kwahiyo wanaenda kama burudan na wamechukizwa na Lowassa kwenda UKAWA baada ya kukatwa na kwamba kama kweli...
Back
Top Bottom