Search results

  1. kombesa

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    Je! Una camera ambazo azitumii wire?
  2. kombesa

    Biashara ya Kusaga na Kukoboa: Uzoefu wangu wa miezi 15

    Debe 1 la mahindi kusaga na kukoboa unatumia unit ngapi? Na mteja akija kusaga na kukoboa anakulipa bei gani?
  3. kombesa

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Mashamba yapo maeneo gani? Katika mkoa wa Kilimanjaro?nivema nikajua maeneo..
  4. kombesa

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Huko siha ni viwanja au mashamba?
  5. kombesa

    Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba kwa Bei nafuu

    Taja Maeneo ulikuwa na mashamba/ viwanja kwa Kilimanjaro..pamoja na bei zake
  6. kombesa

    Gharama za kununua gari kutoka Zanzibar

    Kabla ujanunua hilo gari ..chukua namba za gari nenda tra Zanzibar office zao zipo hapo mlandege..hapo utajua gharama zake alafu utajumlisha na gharama za kupakia kwenye meli mpaka dar.
  7. kombesa

    Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

    Kujua hiyo lugha kisiwe kipaumbele sana...tupende kiswahili chetu
  8. kombesa

    Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Shuka makuyuni au nyuma yake kidogo kuna campsite nyingi hapo utapata madereva wengi wa tours.. ila kuwa mjanja kwenye kupatana kwa maana pesa yako ni posho ya dereva..
  9. kombesa

    Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Kwa kupunguza gharama. Tumia usafiri wa kawaida mpaka .Mto wa mbu / karatu..hapo kuna madereva wengi wa tours.. utaunganishwa na wageni wengine..
  10. kombesa

    Kukaa nyumbani bila kuwa na kazi ya kuingiza kipato kunaninyima furaha

    Aisee pole sana, sekta ya utalii imearibika sana na hii covid..utalii utakuwa vizuri tena kuanzia mwezi wa 6 mwakani.
  11. kombesa

    Kigwangalla: Hali ya utalii ni mbaya, tutapoteza 75% ya mapato ya utalii sababu ya Corona

    Aisee ndugu! huu mwaka season imeshakuwa mbovu,nikujipanga kwa mwakani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kombesa

    Tumwamini nani kati ya Rais Magufuli au Daktari Ndugulile kuhusu kujifukiza ili kukabiliana na COVID-19?

    Nazani kunatofauti Kati ya chemistry na biology... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kombesa

    Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    mulwanaka, Dar es salaam na Zanzibar kuna ulazima wa lockdown Sent using Jamii Forums mobile app
  14. kombesa

    Naomba ufafanuzi kuhusu Ufugaji konokono

    Chukua chumvi ya unga wanyunyuzie.. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kombesa

    Wanaohitaji kuchimbiwa visima vya maji tuonane hapa

    Gharama ya scana bei gani? Kwa Maeneo ya mbezi ya msumi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom