Search results

  1. ngota wa nzambe

    Masheni ya ct scan mloganzila imepona

    Baada ya Jamii forum kuripoti juu ya ubovu wa mashine hii, imetengenezwa
  2. ngota wa nzambe

    Utapeli wa Biashara za online

    Mimi huwa naangalia kwenye comments tu..pages za kitapeli utakuwa wamezima au ku restrict comment section! Au unaweza kukuta anacomment mtu mmoja tu, kwa kila post! Ukiona hivyo achana na page hiyo
  3. ngota wa nzambe

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Wewe nadhani umesikia tu kwa watu, na hao watu walisikia kwa watu! Tuna wagonjwa wengi tu, wanakuja bila fahamu, wanahudumiwa na kupona kabisa, baadhi pia hufariki sio kwa kukosa huduma, bali hatua ugonjwa wao ilikuwa juu sana kiasi kwamba isingewezekana kuzuia vifo vyao!
  4. ngota wa nzambe

    Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hahaha..mimi binafsi najisikia poa tu, Ni kweli kumekuwa na changamoto za hapa na pale kwenye uendeshaji wa Hospitali hii, lakini karibia changmoto zote zinahusiana na ukosefu wa fedha tu! Wakati huo huo, majority ya watu wanaotusema vibaya, hawajawahi kutibiwa, wamesikia tu kwa watu! Ambao nao...
  5. ngota wa nzambe

    Volkswagen Golf - Mkombozi wa Wanyonge!

    Brake pads tu hapo, unazungumzia 240k
  6. ngota wa nzambe

    Phone4Sale For serious buyers only

    290k tu mzee..bei sawa na bure
  7. ngota wa nzambe

    Phone4Sale For serious buyers only

    Ni Brand ya simu, inaitwa poco m3
  8. ngota wa nzambe

    Phone4Sale For serious buyers only

    Simu inauzwa, ni Xiaomi Poco M3 RAM:4GB ROM: 64GB RESOLUTION:2040X1080(full HD) Camera:Nyuma 48mp Mbele:16mp Betri:6000mAh Simu imetumika miezi minne tu! Ni nzima haina Tatizo lolote! Unapewa pamoja na boksi na warranty yake.
  9. ngota wa nzambe

    Upgrading from Toyota ist to AUDI A4

    Mkuu, isije kuwa na wewe una "Unjustified fear" tu ya haya magari! Ngoja tuwasubiri wanao yamiliki watupatie uzoefu!
  10. ngota wa nzambe

    Upgrading from Toyota ist to AUDI A4

    Shukrani sana mkuu kwa ushauri, nitaufanyia kazi
  11. ngota wa nzambe

    Upgrading from Toyota ist to AUDI A4

    Niaje watalaam wenye jamvi lenu? Kama mnavyokumbuka, nilipata ajali na ka baby walker kangu wiki kadhaa zilizopita, basi nimepata mtu nikamsukumia kama kalivyo kwa bei ya hasara, sasa nimeongezea ongezea, nataka nirudi barabarani soon, ila safari hii nataka nisogee juu kidogo, na mtima wangu...
  12. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    Vipi mkuu, ulikutana na habari kama yangu?
  13. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    Hata yeye pia gari yake iliumia! Zote mbili zilivutwa kupelekekwa kituo cha polisi Chalinze
  14. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    Ni mimi mkuu, Yaani jamaa amenitia hasara kinoma
  15. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    1.Kesi tayari iko mahakamani, ndio kwanza imeandikishwa hata kutajwa haijatajwa na sijui itachukua muda gani. 2.Gari ilikaa siku 2 tu kituo cha polisi Chalinze, nilipoenda kupeleka claim form na cover note ya bima yangu, mkuu wa kituo akanikomalia, kuwa pale sio gereji so nitoe mkweche wangu...
  16. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    Aaah..Ishakula kwangu..nina third part mkuu!
  17. ngota wa nzambe

    Mjinga mmoja wa IT ameniulia gari langu

    Wakuu, salamu zenu! Juzi natoka zangu Dodoma, Mdogo mdogo narudi zangu Dar! Basi nafika zangu pale Msolwa, mshenzi mmoja asiye na staha barabarani, anajifanya ana haraka ana overtake kijinga jinga! Tumekutana uso kwa pua, Ashukuriwe Mungu baba kwa kunitoa salama! Ila huyu mjinga nitadili naye...
Back
Top Bottom