Search results

  1. Bless the 12

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    Title na story mbona haviendani? Naona we ni mshabiki tu wa siasa za maji machafu, hauna fikra za kutosha za kufaa jamvini!
  2. Bless the 12

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Introduction This article attempts to gain a better understanding of corruption and efforts to control it through a case study of Tanzania. Since the socialist era of the 1970s, policy makers have been concerned about corruption. During the Nyerere years, corruption was defined as a form of...
  3. Bless the 12

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    --------------------------- Usibishe tu kama mswahili usome publication na sources mbalimbali, acheni uvivu na kubaki kuongea tu__hii chini itakupa msaada kdg. Tafuta na makala zingine then compare na kutafuta ukweli: Table 2: Overall and Per Capita Gross Domestic Product in 1992 Prices-...
  4. Bless the 12

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nimesoma kwa makini hii post. Nadhani vichwa vya waafrika vina shida fulani na ninadhani ni matokeo ya kitu kinachoitwa mental slavery, utumwa wa mawazo na umaskini wa mawazo pia ambao Nyerere alisisitiza pia. Pia ukiangalia kwa makini ndicho kilichotokea Libya (kwa kufananisha kwa uchache as a...
  5. Bless the 12

    Hivi nini kinachomfanya Vasco da Gama asiteue RC wa Dar hadi leo?

    Anasubiri Mama Batilda aliyeshindwa ubunge Arusha atoke kwenye kunyonyesha ndo ampe hicho cheo.
  6. Bless the 12

    Wasira Hajui majukumu yake

    Nakubaliana na wewe aise, mie ni mmoja wa watu waliokuwa wanafatilia hiyo hotuba yake. Kwa kweli inatia aibu ufinyu uliokuwepo kwenye hiyo hotuba. Nadhan ile ya upinzani imegusia mambo muhimu zaidi na coverage yake imekuwa bora kuliko ya Wasira. Wamekula posho tu hao, bado tuna kazi!
  7. Bless the 12

    JK acha kujipendekeza, wameshajua uswahili wako!

    Hivi karibuni nimeona msururu wa kujipendekeza kwa rais kwenda kwenye sherehe za kikristo. Nadhan Jk anajipendekeza tu kwa wakristo maana ameshajua ameriharibu mwenyewe kwa kutengeneza vita ya kidini. Sasa hivi kila kukicha anatafuta wapi wakristo wana sherehe, hahahaaa hata hana aibu kwani...
  8. Bless the 12

    Kwa hili la pongezi kwa Askofu Mbinga, JK kawa mnafiki tu!

    Leo TBC news, eti JK katoa pongezi za kuteuliwa askofu wa katoliki, mie naona Rais hili amekuwa mnafiki tu maana hizo pongezi za kuteuliwa askofu basi azitoe kwa makanisa mengine pia na hata masheikh basi. Naona kwa hili amechemka tu kama kawaida yake au anajigonga kwa Roman asionekane mdini...
  9. Bless the 12

    Sura na Picha ya CHADEMA

    Basi tufanye comparison na SURA YA CCM: 1) UFISADI syndrome- Pesa nyingi kuchukuliwa na kuendelea kuwalinda wezi hao kwa nguvu zote, na huduma za jamii kuendelea kudorora. 2) PROPAGANDA syndrome- Jamii kuendelea kudanganywa ili waogope kuvunja amani as much as possible, kutunga uwepo udini ili...
  10. Bless the 12

    Gazeti mwananchi halijaitendea haki Chadema - limenisikitisha sana!!

    Ni kweli ndugu, nimeiona pia hii. Nadhan ni vema pia ukapost hii msg kwenye website yao kabisa maana wakati mwingine hawapati haya maoni kirahisi. Message sent!
  11. Bless the 12

    Mukama ameikejeli Katiba!

    Nimemuona kwa tv jana, nadhani CCM watambue kuwa huyu Mukama basi ni tatizo lingine pengine kubwa kuliko Makamba. Maana uropokaji wake au kutoa hoja ya siasa hiyo jana imenipa kutambua kuwa ni mtu wa kukurupuka kama Makamba. Sasa hajui kwa kutoa hicho kihoja kuwa upinzani umeanzishwa na...
  12. Bless the 12

    SLAA's WEBSITE: Are you serious?

    Mkuu hiyo ramani ya marekani nahisi umeipandikiza bwana, mbona naona ina hang tu na jama imeziba website original!!?? Nina wasi wasi sivyo inavyoonekana bwana! Acha hizo
  13. Bless the 12

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Tusihangaike sana kutafuta mchawi, hiki chama kimeharibiwa na kitaendelea kuharibiwa na MWENYEKITI WAKE AMBAE NI KIKWETE. Tusizunguke zunguke sana kuwalaum kina makamba, shigela n.k. Hapa nyumba inapokwenda mrama mwenye jukum la kuokoa ni rais, kama rais ambae ndie baba yao ni bogus basi kila...
  14. Bless the 12

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Tukiwalaumu UVCCM tutawaonea tu, nadhani BABA zao ndo wenye shida maana hao watoto wamelelewa na baba zao ambao ndo viongozi wa juu wa CCM, huyo mwenyekiti wao yuko wapi kuchukua hatua za kurekebisha chama, kama baba yao amelala fofofo, sembuse vp vijana waliolelewa kwenye kulala wataamka!
  15. Bless the 12

    Stiff Necked Fool

    Nice from Bob Marley, I LIKE IT!
  16. Bless the 12

    Confused or divided Government?

    Everybody is confused, HATUNA RAIS!
  17. Bless the 12

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Yeah nimemkubali Sabato, ameonyesha uzalendo. Nimeona hicho kipindi jana kwa kweli hiyo ndio hali halisi ya uozo wa UVCCM....Baba zao pia ndo wameoza je vijana unategemea nini...
  18. Bless the 12

    Magufuli bila madaraka yukoje?

    Yeah ninakubaliana na uchambuzi huu. Kwa mtazamo wangu JPM anahitaji kuchagua kati ya mawili : 1. Afanye kazi kwa kuzembea kila kitu mpk ifikie mahali wizara iyumbe ili awafunze adabu, AU 2. Kuwa jasiri na kuendelea kujiuzulu.
  19. Bless the 12

    Kikwete amwambia Magufuli aache Ubabe kwenye bomoa bomoa; Magufuli ataaminika tena?

    Lkn watanzania jamani mnapenda uzushi, jamani kama ulikuwa unasikiliza vizuri maoni ya JK na kumwelewa wala hajampiga Magufuli, yeye ameconclude kwamba lazima road reserve ziachwe na amempa ruhusu kuendelea na kutimiza sheria ila zisiwaumize sana wananchi, hapo alikuwa anaweka moderation fulani...
  20. Bless the 12

    Ezekiel 18:21

    Kijana usipotoshe watu kwa andiko moja la Biblia bila kujua tafsiri yake. Biblia utaielewa tu kama utakuwa unasoma na kutambua maana ya maneno yanayoandikwa, nadhani hujui tafsiri ya kifo katika Biblia......kifo kinachozungumziwa katika Biblia na ambacho tukimtii Mungu tutakiepuka ni kile...
Back
Top Bottom